wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Machawa wa jeshi, wanasiasa acheni unafki mnampigania samia kweli au mnapigania vyeo na buku saba ?

    Machawa wa jeshi, wanasiasa acheni unafki mnampigania samia kweli au mnapigania vyeo na buku saba ? ukiwaona wanajitoa akili wewe waulize tu hivi unapigania samia au buku saba ? nyuma ya pazia hawa jamaa hawana time kabisa na samia bali ni njaa na tamaa. hawafikirii watanzania wenzao ni...
  2. JamiiForums Tanzania Wanasiasa ni ishara mojawapo ya dini kutokuwa na umuhimu au maana kwa binadamu.

    Mfano Wanasiasa wa Tanzania wanaongoza kumtaja mungu na kumuhusisha katika harakati zao za kisiasa ila ni waongo, wadhulumaji wa haki, wala rushwa na mafisadi kuliko. Fikiria watu wanajua kabisa wameingia madarakani kwa kupitia uporaji uchaguzi, kuumiza na kuua wengine ila kauli ya kwanza...
  3. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Madaktari waongoza kwa kuaminika zaidi duniani, Wanasiasa washika mkia

    Utafiti mpya wa kimataifa uliofanywa na Ipsos Global Trustworthiness Index 2024 unaonesha kuwa madaktari ndio taaluma inayoaminika zaidi na watu duniani kote. Zaidi ya asilimia 58 ya washiriki walisema wanawaamini Madaktari, ikifuatiwa na Wanasayansi (56%) na Walimu (54%). Utafiti huo...
  4. JamiiForums Tanzania Wanasiasa tambueni kuwa Wananchi tumeshachoka kuvurugwa, kaeni myamalize, habari za huyu kafanya hivi mara yule kafanya vile tumezichoka

    Ifike mahali kelele za kila siku ziishe Too much is harmful Wanasiasa tambueni kuwa Wananchi wanafuata maelekezo yenu Mkisema nchi itulie basi itatulia Mkisema iwake basi itawaka Ninyi ndio wenye uamuzi wa mwisho kabla ya matokeo Twendeni Mataifa makubwa tuone namna yametulia na yanafanya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jinsi Porojo za wanasiasa zinavyoharibu Sekta ya Afya nchini

    Kumekua na kukithili kwa porojo za kisiasa juu ya sekta ya afya nchini, hali inayopelekea huduma kuendelea kuwa duni na zisizoridhisha. Jambo moja wapo ni hili la kupitiwa na kubadilishwa kwa miundo ya kimshahara katika sekta ya afya,, jambo hili kila Waziri anaepewa dhamana kuongoza wizara ya...
  6. JamiiForums Tanzania Watu wanatumia Jina la CHADEMA kuendesha donation za kitapeli wanaweka account zao binafsi ili waishi na familia zao siyo chama huu ni wizi

    Nashangaa mtu anaamka asubuhi kwa kutumia jina la chadema anaweka account number yake binafs anaanza kutafuta hela za mwaka mpya kwaajili ya kula na familia yake na watu wanamchangia kweli hii ni aibu mno huu ujinga utaisha lini, acheni kuwalisha hawa matapeli ya chadema na ikumbukwe kuwa hizo...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wakuu wa vyuo vikuu vya umma Tanzania huwa ni wanasiasa, viongozi wa serikali au majaji wastaafu wazee?

    UDSM-Rais mstaafu, JK Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein SUA- Jaji Joseph Warioba UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma Ardhi University- Jaji Mohamed Chande Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda MUST- Abeid Amani Karume
  8. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wataacha lini kutumiwa na wanasiasa kufanikisha agenda zao huku wakiachwa katika umasikini?

    Nimeona hii clip ya mchekeshaji Crazy Kennar, inaakisi hali halisi ya jeshi la Polisi ambapo askari wamejikuta wakiwatumikia wanasiasa kufanikisha mambo yao huku lenyewe likiendelea kulalamikiwa na kudharauliwa.
  9. N

    JamiiForums Tanzania List ya wanasiasa waliofanikiwa Tanzania wenye umri baada ya miaka 50?

    Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba list ya waliofanikiwa baada ya miaka 50 Tanzania?
  10. JamiiForums Tanzania Clemence Mwandambo: Hivi wanaoitwa usalama wa taifa ni kweli ni usalama wa taifa , au ni usalama wa wanasiasa?

    Unaweza kusema jitu la msituni Clemence Mwandambo mr Teacher anaendelea kupiga kwenye mshono mbichi kabisa! Leo kaja ya kuhoji kazi ya usalama wa taifa, kwamba usalama wa taifa ni kwaajili ya taifa au ni usalama wa wananasiasa? na anasema kama ni usalama wa wanasiasa kwa nini waitwe usalama wa...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Sasa: Jamii, siasa na wanasiasa

    Sote twafahamu msingi wa taifa hili toka hapo awali nisingependa sana kugusia mambo ya kale japo vya kale ni dhahabu lakini kwa muktadha wa mada hii nitaangazia mambo ya sasa.. Si jambo geni ama la ajabu kuona migomo na maandamano katika taifa lolote lile lakini sikuzote jamii ndio hushawishi...
  12. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanasiasa, raia, wanaharakati, wakosoaji wanalalamikia utekaji, tukimbilie kwa nani??

    Ndani ya vipindi tofauti kwa Mwaka 2024 na 2025 tumeshuhudia ongezeko la matukio ya Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha, kutekwa nchini Tanzania na bado kumekuwa kukiripotiwa kwa matukio kadhaa ya aina hiyo kuendelea. Hali hii inanigusa kwa kuwa inavunja misingi ya haki, uhuru wa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wakiitaka kupata HAKI ya kweli wasiwategemee wanasiasa na viongozi wa dini

    Wanasiasa wote duniani ni wachumia tumbo wapo kwaajili ya matumbo yao na famila zao na ndiyo wasaliti wakubwa kwa jamii zao. Viongozi wa dini na waumini wao ndiyo wasaliti wakubwa wa wananchi kwani wamesaliti UAFRIKAWAO na ASILI ZAO na kufuata imani,mila na desturi za WAKOLONI ambao ni warabu...
  14. JamiiForums Tanzania Tunawalaumu Wasanii kwa kufanya Usanii (sio Wanasiasa) badala ya Kulaumu Wanasiasa (Watunga Sera) kuleta Usanii

    Sio tu kumekuwa na Kasumba ya Cancel Culture; bali kutegemea baadhi ya watu kuwa malaika na kuwalaumu, badala ya lawama hizo kuzipeleka kwa mashetani tunaowalipa... Binafsi lawama kwa wasanii tazipeleka pale wakitoa kazi mbovu (sitaisikiliza) na sio kuangalia msimamo wao katika jamii au busara...
  15. JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kuchochea hasira kwa wananchi

    Kilasiku mnatoa matamko kwamba Tanzania ni nchi Tajiri na ina rasilimali za kutosha ndio maana majirani na mataifa mengine ulimwenguni yanachochea machafuko hapa nchini. Mlishawahi kujiuliza ni kwanini mnakopa pesa kila uchwao na mkikosa mikopo mnakuwa na unyonge na kusema tuna hali mbaya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kama Chuo Kikuu Huria (Open University) kilitengenezwa kwa ajili ya Wanasiasa pekee, mngetuambia mapema

    Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati. Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo, unaweza kuwekewa matokeo wiki mbili baada ya Graduation na ukakosa nafasi ya ku-graduate mwaka husika...
  17. JamiiForums Tanzania CDF Mkunda amechangia kwa kiwango kikubwa kutokea mauaji ya maangamizi ya wananchi

    Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi wanasiasa wetu wateule wanakula viapo kwa sababu za kiimani za dini zao au ni kutimiza wajibu tu wa majina yao?

    Hivi wanasiasa wetu wateule wanakula viapo kwa sababu za kiimani za dini zao au ni kutimiza wajibu tu wa majina yao?
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 JWTZ ni "Jeshi la Wananchi" au "Jeshi la Wanasiasa"?

    JWTZ Haina Sifa ya Kuwa Jeshi la Wananchi Katika muktadha wa mageuzi ya kijeshi na kisiasa duniani kote, tunapaswa kujiuliza: je, Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lina sifa ya kuitwa "Jeshi la Wananchi"? Au ni jeshi la watawala na wateule wachache? Ingawa JWTZ inajivunia historia ndefu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…