Habari wanajukwaa,
Nisiwachoshe sana twende kwenye mada moja kwa moja.
Siku hizi kuna kampeni kubwa ya kukataa kufunga ndoa kwa vijana wa kiume, matokeo yake wanachukua vimada wanaishi nao na baada ya muda fulani mwanamke anatimuliwa bila chochote anaondoka na kwenda kuanza maisha mapya huku...
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya mfano katika udhibiti wa maambukizi ya Ukimwi na vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Ukimwi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Ukimwi (UNAIDS), Winnie Byanyima amesema, sababu ya uzinduzi wa ripoti hiyo kufanyika nchini ni kutokana na...
Live-in relation ship ni mahusiano ya uchumba wa muda mrefu sana bila ndoa rasmi, na ni zaidi ya uchumba, maana watu huishi maisha utadhani ya mume na mke. Mfano nina rafiki yangu, huyu ni rafiki yangu hataki kuoa na huu ni mwaka wa 10 yupo anaishi na bibie ndani ya nyumba yake na wana watoto...
Habari za usiku wapendwa katika bwana.
Nimeona ni vyema hili suala tukalijadili ili tuone kama linamanufaa au hapana.
Mimi nimekulia Igogo ambapo ni moja ya sehemu iliyotajwa wakazi wake watapaswa kupisha uwekezaji, hadi hivi sasa wazazi wangu wanaishi Igogo, Igogo napajua vyema.
98% ya...
Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake.
--------
Wawekezaji hao wanatarajia kuwekeza kwenye sekta ya miundombinu, viwanda na utalii katika maeneo ya Igogo, Isamilo na...
Hii ipo sehemu nyingi sana, nimepigwa na butwaa imefika mpaka marekani kwa sasa ambako wamarekani weusi wanalalamika wanaijeria wanaiba kazi zao, cha kushangaza wamarekani weusi wengi hata elimu za kuajiriwa kwenye kazi wanazoomba wanaijeria hawana.
Unakuta mtu analalamika mnaijeria anaiba...
Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto...
Mnapokwenda kutafuta maisha na kuwekeza nyumbani, mlishafikiria maisha ya uzeeni na gharama za matibabu? Nchi za Scandinavia na baadhi ya nchi za Ulaya matibabu ni bure hasa ukiwa umelipa tax katika maisha yako ya kazi.
Unapoamuamua kustaafu nyumbani, umejenga ghorofa zuri tu, lakini...
Mtanzania aliyeopo Ukraine aeleza jinsi hali ilivyo katika mji wa Kharkiv ambapo anasoma masomo yake ya udaktari bingwa. Akizungumza, Dkt. Evans Liseki. Amesema milipuko kadhaa imesikika na. wameamriwa kukaa ndani na mamlaka hivyo ameshindwa kuhudhuria masomo.
Vladimir Putin alitangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.