wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Wapinzani wana nia ya kuwagawa wananchi suala la Muungano

    Lengo La Wapinzani Wanaoipinga CCM (Chama Cha Mapinduzi) Ni Kuwapeleka Wananchi, Zanzibar, Kwa Hati Ya Kusafiria (Passport) 🚮 Huku Ni Kuwagawa Wananchi Huku Ni Kupoteza Uhuru wa Wananchi Huku Ni Kuwatesa Wananchi, Hasa Wafanyabiashara Wanaotegemea Kufuata Mizigo Yao Visiwani Pia soma Waziri...
  2. Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha: Serikali Ina Mpango gani Kuunga Mkono Juhudi za Wananchi Ujenzi wa Zahanati?

    Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha; Serikali ina mpango gani wa kuunga mkono juhudi za Wananchi kwenye Umaliziaji ujenzi wa Zahanati! "Wananchi wa Kitongoji cha El'gong'we Wilayani Longido wanatembea zaidi ya Kilomita 35 kutafuta huduma za afya. Je, ni lini Serikali itaunga Mkono...
  3. Shemsa Mohammed (Mwenyekiti CCM Mkoa wa Simiyu): Sikilizeni na Kutatua Kero za Wananchi

    SHEMSA MOHAMMED, MWENYEKITI CCM SIMIYU (M): SIKILIZENI NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed amewataka viongozi wa chama hicho na viongozi wa serikali wa ngazi mbalimbali katika mkoa huo kusikiliza na kutatua kero zinazowakabili...
  4. Kwa hali inayoendelea sasa nchini wananchi wanaenda kwenye mikutano ya kisiasa kusikiliza sera au kuangalia Wasanii?

    Habari zenu Wakuu, Kwa hizi siasa zinavyoendelea nchini sidhani kama raia wanaojaa kwenye mikutano ya kiasiasa wanakuwa wanaenda kweli kusikiliza sera, hasa wale wanaojaza wasanii kibao utafikiri wanafanya tamasha. Kila mtu sasa hivi ni chawa, viongozi ni chawa ili kubakia kwenye nafasi zao...
  5. Kusema Maji ya mafuriko ya Rufiji yatafutiwe njia ya kwenda baharini, si kumtukana Rais. Wananchi wanateseka

    Tunashukuru Serikali ya Tanzania kwa kuyoa Tan 300 za unga, mchele na maharage kwa watu wa Rufiji japo ambazo zimefika na kuonekana kwa macho ni Tan 32. Labda hizo tani nyingine bado zipo njiani. Huko Rufiji Serikali imepeleka tan 100 za maharage, tani 100 za mchele na tani 100 za maharage...
  6. UWT Kutoa msaada kwa waathirika wa mafuriko Rufiji na Kibiti

    UWT KUTOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) imeendelea na zoezi la ukusanyaji wa mahitaji muhimu kwa ajili ya kutoa misaada kwa waathirika wa mafuriko katika wilaya za Rufiji na Kibiti Mkoani Pwani. Akizungumza na Wanahabari Aprili 15, 2024...
  7. P

    Hivi inawezekana wananchi tukajulishwa vyanzo vyote vya mapato na kiasi gani tunapata kwa mwezi?

    Tumekuwa tukisomewa budget za wizara zote ila sina kumbukumbu kama wananchi tuliwahi kujulishwa vyanzo vyote vya mapato na kiasi kinachopatikana kwenye kila chanzo kwa mwezi au mwaka. Usikute tunaenda kuomba misaada au kuingia madeni na wakati tunajitosheleza. Hizi taarifa zinapatikana wapi...
  8. Rais Samia kaza Roho usikubali kuyumbishwa, wananchi tuna imani na Uongozi wako

    Habari za jumatatu Mh. Rais Nimesikia kuwa baadhi ya wasaidizi wako wa karibu wanawatumia baadhi ya watu kukuchafua ( kukutukana). Nilikua nataka nikushauri Rais usije ukakubali kuyumbishwa na watu hao kwasababu ukiyumba wewe kama kiongozi wetu na sisi wananchi tutapoteza mwelekeo. Kama...
  9. M

    Jerry Slaa Kumbuka waonee huruma wananchi wa Sae Mbeya

    Leo alfajiri Tarehe 13/4/2024 limepita gari la matangazo katika jiji la Mbeya na vitongoji vyake kwamba waziri wa ardhi atakuwa ukumbi wa mkapa kusikiliza na kutatua KERO. Slaa unajua uamuzi wako uliotofautina na WA mtangulizi wako Lukuvi unavyowatesa wananchi wanaotakiwa kubomolewa makazi Yao...
  10. A

    Utaratibu wa NHIF kumtaka mgonjwa akapate Rufaa toka Hospitali za Wilaya ni kero

    Kuna ndugu yangu amelipia kifurushi cha NHIF cha Tshs. 530,000 kwa mwaka. Hapa karibuni amepata tatizo la maumivu ya jino. Kwa vile anaishi Oysterbay, akaamua kwenda kwenye hospitali binafsi iliyo karibu ili kupata matibabu. Alivyofika hospitali, walimwambia kabla ya kupata matibabu inabidi...
  11. A

    DOKEZO Responded IGP Wambura, kuna Askari wako Mpanda wamevamia Wananchi mtaani na kuwachapa kwa waya bila maelezo

    Mimi ni kijana ambaye ninajishughulisha na shughuli halali za kawaida na ninajipatia kipato halali, ninaomba niwasilishe kilichotokea mtaani kwetu Mkoa wa Katavi, Kitongoji cha Makanyagio Mjini Mpanda mnamo tarehe 3 Aprili 2024. Tukiwa mtaani hatuna hili wala lile, watu wakiwa wanaendelea na...
  12. Sakata la Makonda: Mpaka sasa Samia hana CCM, hana wananchi, hana serikali

    Samia kupitia CCM aliweka katibu mwenezi laghai kwa wananchi kwa jina Makonda, wakamwamini, baadae alamuondoa, wananchi hawamuelewi, na CCM hawamuelewi, amekuwa akiitukana serikali kila leo, lwa hiyo Baraza zima la mawaziri na serikali inamuona katumwa na Samia, uongozi mkuu wa ccm hauko na...
  13. N

    KERO Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya, mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi

    Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi. Hali Soko la Mabibo maarufu kama soko la ndizi inasikitisha hasa kipindi hiki ambacho mvua inaendelea kunyesha kwa mfululizo, karibia kila kona kwenye soko hilo ni tope tope, katika hali ya kushangaza...
  14. Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

    Wananchi huyu shabiki wa Simba aitwae Patrick Nyembera anaefanya kazi Azam media amekuwa akitumia nafasi yake pale Azam kuihujumu Yanga. Popote utapomuona huyu kolo mwambie kaa mbali na Yanga ikibidi tumia ile kauli mbiu sisi tuna watu.
  15. B

    Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

    11 April 2024 Dar es Salaam, Tanzania (Google translator) Mchengerwa hands over Tshs. 50,000,000 from his salary to help the Rufiji people affected by floods in the River Rufiji delta Member of Parliament for Rufiji constituency Hon. Mohamed Mchengerwa hand over Tshs 50,000,000 (over...
  16. P

    Ni kwa kiwango gani TBS iko makini kuhakikisha Wananchi wako salama?

    Huwa kuna vita ya kiuchumi, Huwa kuna makosa ya kiufundi Wananchi tunatumia bidhaa zinazozalishwa nchini na nje ya nchi na uwezo wa ku control kila kitu ni mdogo. Je hatuoni haja ya TBS kuwa taasisi imara na yenye kila resources ili waweze kufungua ofisi sehemu mbali mbali nchini na hivyo...
  17. UVCCM Wawasili Rufiji Kutoa Faraja kwa Wananchi

    ✳️UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI. Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamewasili Rufiji mkoani Pwani kutoa faraja na kuwajulia hali wananachi wa Rufiji...
  18. Maoni na malalamiko ya wananchi wa hali ya chini yasipuuzwe

    Awamu iliyopita ilijitahidi sana kuwa karibu na wananchi hususan wale wa tabaka la chini, Kwa kuwasikiliza! Haijalishi hoja anayokuja nayo mwananchi yeyote ukiwa kama kiongozi unapaswa kusikiliza na kuwa humble! Ni vibaya mno kiongozi kukataa kusikiliza sauti ya yule anayemuongoza! Bila...
  19. Sijaona viongozi wa Serikali wakiizungumzia Rufiji kama ilivyotokea sehemu nyingine zilizopata majanga

    Habari JF Kama ilivyo Kichwa Cha habari hapo Juu Roho inauma sana Sijaona Hata kiongozi mmoja mwenye nyazifa kubwa Kuizungumzia Rufiji, wakati huu mapango wa mafuriko kama kule Bwana la nyerere walifungulia maji ili kunusuri Kuta kubaomoka,vipi mbona Hakuna hata hamamatsu yoyote Kuhusu watu Wa...
  20. B

    Heche: Nyamongo haina mbunge, miezi 3 wauawa wananchi 11

    John Heche akihudhuria mazishi ya Sylverster Benson Nyangige aliyepigwa risasi ya kisogoni mgodini https://m.youtube.com/watch?v=bqg33ul1HPA John Heche asisitiza haiwezikani watu 11 wanauawa katika kipindi cha miezi 3 na mbunge hajapiga kelele, hatuwezi kunyamaza hili jambo liendelee ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…