wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KIWANJA CHA NDEGE CHATO FANYENI CHUO CHA URUBANI LA SIVO MTAKUWA MMEPOTEZA PESA ZA WANANCHI

    Naumia sana na hii nchi yangu japo na mimi nipo hapa nikisubiri mabadiliko.ila najiuliza kwa nini kile kiwanja cha chato ambacho kinaweza kutua ndege za kila aina kikatelekezwa tu. Kwa nini serikali isitafute wabia toka nje kuja kukifanya kiwe shule ya urubani ili kuendeleza uchumi.mbona...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Serikali hujifanya kiziwi haki ya wananchi ikidaiwa kwa taarifa za media au maandamano, sasa migomo ndio iwe lugha mpya kwa Serikali hadi kieleweke!

    Naunga mkono asilimia 100% mgomo wa wafanyabiashara. Tena ningependa kuona ukienea nchi nzima! Sababu ni kwamba uongozi wa Tanzania huwa unajifanya kiziwi pale Watanzania wanapoonyesha kutopendezwa na jambo fulani, na kutoa madai yao kwa njia ya vyombo vya habari au maandamano. Serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Hali ya maisha kwa wananchi ni ngumu kweli!? Ama tulizoea Dezodezo

    Ukiangalia awamu ya tano na ya Sita kumekuwa na mzunguko hafifu wa fedha kwa wananchi... Pesa imepotea. Ukilinganisha na awamu ya nne kurudi Nyuma inaonekana mzunguko wa pesa ulikuwa mkubwa mno(pesa ilikuepo). Nimetafakari na kujiuliza maswali; "inawezekana awamu ya nne kurudi Nyuma tulikua na...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa aingilia kati mgogoro wa ardhi wa Wananchi na Kampuni ya Tanzania Road Haulage

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kati ya Wananchi wapatao 246 na muwekezaji wa Kampuni ya Tanzania Road Haulage katika eneo la Kurasini wilayani Temeke jijini Dar Es Salaam ambapo wananchi hao wanadai kutolipwa malipo...
  5. JamiiForums Tanzania Nyie Viongozi wa Tanga nimeshindwa kukaa na wananchi wenu? Enyi watu wa Tanga kudanga sio kazi ebu fanyeni kazi Bwana

    Watu wa Tanga mnanishangaza aisee sie Wanawake wala wanaume Wote ni mwendo wa kudanga tu ili wapate pesa Za kula ila kufanya kazi hapana wananishikitisha Sana hawa watu wanaudhalilisha uislamu na kuonekana ni dini ya watu wasiopenda kufanya kazi kumbe Hapana ni watu tu wenyewe aisee Tanga...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Ushiriki wa wananchi katika maandalizi ya bajeti ya nchi: Njia bora kwa maendeleo endelevu

    Kila mwaka wa fedha, serikali huandaa na kuweka wazi makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha unaofuata. Licha ya umuhimu wake, swali kubwa linabaki kuwa ni kwa kiasi gani wananchi wanashiriki katika mchakato mzima wa maandalizi ya bajeti hizi? Bila shaka, upo umuhimu mkubwa wa...
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Ushirikishwaji wa wananchi katika uandaaji na mapendekezo ya bajeti namna unavyoweza kuchochea uwajibikaji nchi

    Katika nchi nyingi za kidemokrasia raia wana jukumu kubwa katika mchakato wa kupanga bajeti ya nchi, kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na mwitikio kwa mahitaji ya Umma. Miongoni mwao nchi hizo ni ICELAND, USWIS,URENO, BRAZIL na AFRICA KUSINI. Hapa nitaeleza 1. Njia zitakazo pelekea uwajibikaji...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani, Wananchi Hawaelewi Kilichopo Kichwani Kwa Rais Wao ni nini!

  9. JamiiForums Tanzania Tuhuma zinazobuniwa na upinzani zimeanza kuwatokea puani wenyewe, wananchi wakosa imani nao

    Wananchi hawana imani tena na upinzani, wamechoshwa na stori na porojo na kusingizia rushwa mara kwa mara sababu ambazo hazina mashiko kwenye mahitaji na changamoti zao za kila siku. Hali iyo imebainisha na imedhihirisha kwamba upinzani hawana mipango, hoja, sera, nia wala mikakati mbadala ya...
  10. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza kwenye matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia pamoja na kuboresha matumizi ya (internet) mtandao kwa kuweka gharama nafuu kwa wananchi

    Mpaka hivi sasa watu wengi wanatumia vifaa mbalimbali vya sayansi na teknolojia katika kufanya shughuli zao. Ukuaji wa sayansi na teknolojia umekuwa hivi sasa kulinganisha na miaka kadhaa iliyopita. Uwekezaji katika matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia utaleta matokeo chanya kwani dunia...
  11. 3

    JamiiForums Tanzania Kujua hatma ya wananchi kupewa hati ya viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni na Wizara husika

    Mhe Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, nyumba, maendeleo na makazi tunaomba kujua hatma ya kupewa HATI kwa wananchi walionunua viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni mwaka jana. Wizara husika imeweka zuio la kutoa hati kwa wananchi waliokwisha maliza kununua...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Awamu Moja Kwa Mbunge inatosha kabisa, wananchi tunahitaji changamoto mpya.

    Salaam, Shalom!! Miaka mitano, ni muda unaotosha kabisa kutimiza kusudi na malengo na KAZI ambayo mbunge amepewa na wananchi. Ikiwa miaka mitano pekee, ya Rais Magufuli, ilitosha kuonyesha matokeo makubwa kuliko waliokaa miaka kumi, iweje mbunge ashindwe kudeliver Kwa miaka mitano? Kwa kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo iwezeshe wananchi kujiamini

    TANZANIA TUITAKAYO IJIKITE ZAIDI KWENYE ELIMU YA VITENDO. Tanzania kama ilivyo kuanzia ilikotoka hadi sasa iliandaliwa kwa misingi bora na imara ingawa kuna watu wachache wasio waadilifu wanaharibu misingi hiyo. Yafuatayo ni mambo ya Muhimu yanayoweza kujenga Tanzania iliyo bora endapo...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi wengi wakilipa kodi ndio wataweza kuwadhibiti viongozi wao. Lakini sio kwa nchi yetu ambayo walipakodi hawafiki hata robo ya idadi

    Kwema Wakuu! Taifa ambalo wananchi wanaolipa kodi ni robo tuu ya idadi ya Watu lazima viongozi wawe na nguvu kuliko raia. Zaidi mafisadi huneemeka kwenye nchi za namna hiyo Kwa sababu watakaolipa kodi ndio watakaokuwa na uchungu na nchi. Watakaokuwa na uchuñgu na kodi wanayoitoa. Sasa kama...
  15. A

    JamiiForums Tanzania TRC mnazua taharuki na madaraja yenu! Kwa hili mmetukosea sana wananchi

    TRC - shirika la reli Tanzania kwakweli mmekuwa kero Kubwa sana kwasasa! Tunaheshim sana kazi mnayofanya lakini nyie hamtuheshimu WANANCHI wa Tanzania. 1. Mmeziba Barabara zoote za waenda kwa miguu, mkilazimisha watu wapite juu ya MADARAJA ambayo kiuhalisia bado hayajakamilika kujengwa. Hakuna...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia aambiwe ukweli kuwa hakubaliki kabisa na wananchi?

    Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia. Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia. Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Treni ya Umeme yatumia dakika 114 Dar hadi Morogoro, Wananchi 600 wasafiri

    Safari ilianza Saa 12:01 na kufika Morogoro Saa 1:55 Hongera Rais Samia. Hongera Dr Mpango. RIP Shujaa Magufuli ======== Ilikuwa safari ya dakika 114 zenye bashasha, abiria zaidi ya 600 wakiwa kwenye mabehewa 14 ya treni ya umeme iliyoanza safari ya kwanza leo Juni 14, 2024 ikiongozwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali tafuteni namna ya kutoa semina kwa wananchi juu ya kutambua wajibu wao.

    Nimeshaona kipindi cha upigaji kura kuna matangazo mengi kwenye vyombo vya kupashana habari,mitandao ya kijamii na kupitia mikutano ya kijiji inatoa semina kwa wananchi katika umuhimu wa upigaji kura,nimeona kelele za wanasiasa wakiwaambia wahitimu kuwa wajiajiri,nimeona makongamano mengi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yawataka Wananchi kufunga Vifaa vya Kudhibiti Umeme (Circuit Breaker) majumbani

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuchukua hatua za kufunga vifaa vya kuzuia athari za umeme kwenye nyumba (circuit breaker) ili kujilinda na majanga yanayoweza kutokea pale umeme unapokuwa mwingi au kupungua. Kapinga amesema hayo leo Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yawataka Wananchi kufunga Vifaa vya Kudhibiti Umeme (Circuit Breaker) majumbani

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuchukua hatua za kufunga vifaa vya kuzuia athari za umeme kwenye nyumba (circuit breaker) ili kujilinda na majanga yanayoweza kutokea pale umeme unapokuwa mwingi au kupungua. Kapinga amesema hayo leo Juni 13, 2024 bungeni jijini Dodoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…