wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Wananchi wafunga Barabara ya Babati/Singida wakipinga kuuza mazao yao katika mfumo wa stakabadhi ghalani

    Wananchi Wakulima na Wafanyabiashara wa Kata Masakata Wilayani Hanang mkoani Manyara, wamefunga barabara ya Babati /Singida na kusababisha msongamano mkubwa wa magari kwa saa moja, huku wakipinga kuuza mazao yao katika mfumo wa stakabadhi ghalani, kwa madai ya kucheleweshewa malipo yao kwa muda...
  2. TANROADS Geita Yatekeleza Maagizo ya Waziri Bashungwa, Yakamilisha Usanifu wa Barabara ya Ushirombo - Nyikonga - Katoro

    TANROADS GEITA YATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI BASHUNGWA//YAKAMILISHA USANIFU BARABARA YA USHIROMBO-NYIKONGA-KATORO Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetekeleza maelekezo ya Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa kwa kukamilisha Upembuzi Yakinifu na Usanifu wa Kina wa Barabara ya...
  3. Waziri Gwajima: Majukwaa kama JamiiForums.com yanaibua Sauti za Wananchi na kuongeza uwajibikaji

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalumu, Dorothy Gwajima akizungumza mara baada ya kupewa tuzo na JamiiForums kwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya Wananchi na kuyafanyia kazi amesema kuwa majukwaa ya Kidigitali yanasaidia kuongeza uwajibikaji sambamba na kuisongeza...
  4. Kutokufanikiwa kwa maandamano ya CHADEMA: Uhalisia wa maandamano yasiyo na nguvu kwa maslahi ya wananchi

    Maandamano yaliyofanyika jana, yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yameonyesha wazi changamoto kubwa ambazo chama hicho kinakabiliana nazo katika kuhamasisha wananchi na kuonekana kama nguvu halisi ya upinzani. Hii ni mara nyingine ambapo CHADEMA imeshindwa kufanikisha...
  5. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
  6. L

    Maandamano ya CHADEMA yapuuzwa na kukataliwa na Wananchi

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA imepata pigo kubwa sana baada ya wananchi kuyapuuza na kuyakataa maandamano yao haramu na yaliyopigwa marufuku na jeshi la police pamoja na kulaaniwa na mamilioni ya watanzania,kutokana na kauli zake zenye kuhamasisha vurugu na machafuko hapa Nchini. Wananchi...
  7. Maandamano ya Kisiasa ndîo huomba Kibali Kwa Polisi. Maandamano ya wananchi hayaombagi Kibali Kwa Polisi au serikali. Boss haombi Kibali Kwa mtumishi.

    MAANDAMANO YA KISIASA NDÎO HUOMBA KIBALI KWA POLISI. MAANDAMANO YA WANANCHI HAYAOMBAGI KIBALI KWA POLISI AU SERIKALI. BOSS HAOMBI KIBALI KWA MTUMISHI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maandamano ya Kesho kutwa tarehe 23/09/2024 siô maandamano ya wananchi isipokuwa maandamano ya Kisiasa...
  8. UDP,CHADEMA, CUF N.K PANAHITAJIKA MABADILIKO MAKUBWA MNO YA KIMFUMO, KIKATIBA NA KIUONGOZI ILI KUWE NA TIJA YA KISIASA MPAKA KWENYE MAISHA YA WANANCHI

    vinginevyo kwa mazingira na hali ya siasa ilivyo hivi sasa, bado vyama hivyo havitakua na msaada wala mchango wowote katika kusaidia kuchochea au kuhamasisha mabadiliko au mageuzi yoyote katika maendeleo ya wanainchi kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini, Kazi ambayo, kipekee sana imekua...
  9. Wananchi Dodoma Jiji Wagawiwa Majiko ya Gesi 1,000 Kuunga Mkono Nishati Safi

    WANANCHI DODOMA JIJI WAGAWIWA MAJIKO YA GESI 1000 KUUNGA MKONO NISHATI SAFI -RC Senyamule ampongeza Mbunge Mavunde kwa ufadhili wa majiko -Vituo vya Afya,Shule,Vituo vya kulea watoto na Mama/Baba Lishe wanufaika -Mbunge Mavunde amuunga mkono Rais Samia kwenye kampeni ya Nishati safi Dodoma📍...
  10. M

    Wananchi hawana imani na vyombo vya usalama

    Katika jaribio la "wasiojulikana" kutaka kumchukua raia huko Kariakoo, wananchi wamegomea watu hao kufanya hayo. Raia wamesikika kuwa "sasa hivi watu wanatekwa, wanauawa" Kauli hizi za wananchi ziwatafakirishe polisi na Usalama wa Taifa kuwa wananchi hawataki uhuni. Na wakijifanya kufanya kazi...
  11. PICHA: Wananchi Kariakoo wamgomea aliyejitambulisha kama Polisi kuondoka na mtuhumiwa

    Polisi aliejitambulisha wa kituo cha Magomeni wamefika Kariakoo muda huu wakataka kuondoka na mtuhumiwa wakaulizwa kesi yake nini awasemi, RB namba hawana wananchi wamegoma Askari kuodoka na mtuhumiwa huyo Katika picha hizi mtu aliyevaa Kofia ndiye Askari na mwenzake ni huyo mweupe aliye simama...
  12. Ujenzi wa jengo la mapumziko la Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma waanza leo Septemba 20, 2024

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa changamoto zinazowakabili Wananchi. Uzinduzi huo umefanyika nje ya jengo hilo ambalo kuna eneo wanakaa...
  13. M

    Rais Samia, unadhani vyombo vyako vinaaminika mbele ya wananchi kwenye kuchunguza sakata hili la mauaji na utekaji nchini?

    Mheshimwa Rais. Umesikika ukiagiza vyombo vyako kufanya uchunguzi wa masuala ya utekaji hata hivyo nasikitika kukwambia kuwa 1. Vyombo vyako haviaminiki tena Tangu jeshi la polisi na mamlaka mbalimbali za uchunguzi kukataa/kushindwa kuchunguza tukio la Lissu kupigwa risasi, kupotea kwa Ben Saa...
  14. K

    Watu wakiuliwa kikatili ni haki wananchi kuandamana! Hii hapa mifano kutoka nchi mbalimbali duniani

    India https://youtu.be/F6fkGJ_3yQc?si=xzOYkBmFdJ_Ux7OY UK https://youtu.be/Kb9inxsQGTc?si=wcxd1UF13Jic_1ts Ukrain https://youtu.be/E3bnkIqB_sw?si=q8hqcfQaTkfkRBte Nigeria https://youtu.be/5hrzaPpPBfs?si=tGZRFleL6w3vrl_l Zimbabwe https://youtu.be/vU8mLzt6QQ0?si=jlAayqdtinLbqCxs Port au Prince...
  15. R

    Viongozi wa CCM na kauli kinzani kwenye suala la utekaji, wananchi wabebe lipi?

    Salaam, Shalom! Sintofahamu inaendelea katika vyama vya siasa, wakati huu ni chama cha kijani. Katibu Mkuu wa chama cha kijani ametoka mbele na kukubali kukaa meza moja na kupata picha ya pamoja na katibu mkuu mwenzie wa chama cha bluu, akaenda mbali zaidi kwa kukemea mauaji ya wananchi...
  16. Nani mwenye muendelezo wa hii habari ya wananchi Mwanza kuzuia watu waliovaa kiraia kukamilisha ukamataji?

    Jana kulisambaa video ikisemekana ni maeneo ya mwz. Wananchi wakilisonga na kuzuia gari kutoondoka na watu waliokamatwa hadi hapo ocs wa pamba aje.
  17. A

    Ili kuweka Shinikizo la Katiba Mpya wananchi wakikatae Chama Tawala kwenye Uchaguzi wa 2024 na 2025

    Ndugu wananchi hususani "Paskali" kumekuwa na juhudi mbali mbali za kukitaka Chama Tawala kuweka mazingira mazuri ya uongozi Kwa kuwa na Katiba Mpya na yenye kuakisi Hilo. Zaidi ya hadithi njoo uongo koleaau kwakuwa wao ndio waneshikulia siri zao na uwazi wa kila moja wetu (mpini Sisi...
  18. Kwa siasa anazofanya Mh. Luhaga Mpina kwa sasa, ni kuwaandaa kisaikolojia wananchi wa jimbo la Kisesa kwa ajili ya chama kipya au kuhama nao upinzani

    Friends, ladies and gentlemen.. Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025... Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
  19. Wananchi wa Njonbe waomba wezi, wauwaji walawiti wakikanatwa wapewe mrejesho, matukio yamezidi

    Naona wananchi wameanza kuchoka Wananchi wa njombe wamemwomba rpc husika kama wakikamata wauwaji walawiti wezi wanahitaji feedback Wananchi wamesema hawaoni msaada kama wanakamatwa na baadae wanapishana na wezi walawiti mtaani wauwaji Wameomba kama wanavyojionyesha kwenye tv wakipelekwa...
  20. H

    Kwenye hili la mauaji Rais Samia amekasimu madaraka hafiki moja kwa moja kwa wananchi tumpe haki yake

    Habarini, Yawezekana kabisa Rais Samia hausiki kwenye mauaji au uvunjifu wa sheria uliopo sasa kwani amekasimu madaraka kwa watu wenye kujua majukumu yao na kujiona wanaweredi,hivyo basi hao waliokasimiwa na kwenda kinyume ndiyo wawajibishwe na nguvu ya umma hasa nguvu ya mila na albadiri,huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…