wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Zanzibar 2025: Washinde Wananchi wa Zanzibar

    https://youtu.be/bLNkiqEcSlM?si=ETJ3sWsvSITvsvmj
  2. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Nishati; Tuutumie kwa kuneemesha Wananchi tuna Uwezo wa Kuwauzia Umeme Afrika nzima wala hatuna Sababu ya Kununua Gesi kutoka Nje

    Uwezo tunao ingawa sina uhakika kama tuna Nia.., Nilishasema kitambo kwa Kutumia Tanesco tuna uwezo wa kufanya mwananchi akatumia Umeme kwa bei ndogo (mfano kupikia kwa gharama ya chini ya Tshs 100 mpaka 0/=) na kuuza ziada kwa nchi nyingine...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuelekea uchaguzi mkuu, wenye mamlaka wanatukana wananchi. Case study Chalamila

    Haya mambo ya kiwaki hawapaswi kuchukuliwa poa wazee. Mtu Gani anatukana wananchi ambao wanalipa Kodi na ndiyo nguzo ya taifa lolote. Hivi huyu chalamila anavuta bangi? Au ana matatizo Gani ya kiakili huyu mtu? Unamtukana mama mjamzito bila sababu ya msingi? Kweli? Huu ni utopolo mkubwa mazee...
  4. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mkuu wa Mkoa wa Dar awajibishwe haraka kulinda utu wa Wananchi

    MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWAJIBISHWE HARAKA KULINDA UTU WA WANANCHI Chama cha ACT Wazalendo kinalaani vikali kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Albert Chalamila inayowataka wanawake kujifungua nyumbani kwa kutumia visu na mikasi endapo watakosa fedha za kulipia huduma...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Kivuko cha Busisi- Kigongo hakina ferry zote ni mbovu. Wananchi wanataabika. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ingilia kati suala hili

    Hizi ni habari za muda huu. Tunaomba Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Ntanda uingilie kati. Wasafiri wanataabika sana.
  6. JamiiForums Tanzania MSLAC yapamba moto Kakonko - elimu kwa wananchi yaendelea kutolewa

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko yashuhudia ongezeko kubwa la hamasa kupitia kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), ambapo elimu ya sheria inaendelea kutolewa kwa wananchi kwa kasi kubwa. Wananchi wamehamasishwa kuhusu masuala ya ardhi, mirathi, ndoa, haki za kijinsia, ajira, na mbinu za...
  7. JamiiForums Tanzania RC Chalamila aongoza wananchi kufanya usafi - Dar es salaam

    Na Mwandishi Wetu -Asema Tanzania inaingia kwenye historia nyingine ya kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Marais wa Afrika -Atoa taarifa ya kufungwa kwa baadhi ya barabara siku chache ambazo ugeni utakuwa katika Mkoa huo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 25, 2025...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wa kuiondoa CCM madarakani ni wananchi na siyo CHADEMA

    Wakuu salama, Baada ya CHADEMA kupata mwenyekiti mpya watu wamekuwa na imani kuwa huenda chadema wataitoa madarakani CCM, lakini uhalisia ni kwamba kama wananchi hawatoungana kwa pamoja CCM haiwezi kubanduka pale ikulu. Lissu mwenyewe amekiri licha ya kampeni ya 'No reforms no election'...
  9. JamiiForums Tanzania Njombe: Miaka 12 sasa ujenzi wa ofisi ya mtaa haujakamilika, Chapangishwa chumba elfu 50 kwa mwezi kama ofisi, wananchi wahofia faragha ofisini

    Licha ya Mtaa wa Kambarage kuwa na idadi kubwa ya wakazi zaidi ya mitaa mingine yote ya mjini Njombe changamoto kubwa inayoendelea ni kushindwa kumaliza ujenzi wa ofisi yake ulioanza miaka 12 iliyopita. Mtaa huu unaokaliwa na wakazi 15,195, unahudumiwa katika chumba kimoja kidogo cha kupangisha...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi wahangaika kilometa nne kutafuta matibabu, zahanati iliyojengwa 2021 bado haijatoa huduma

    Wananchi wahangaika kilometa nne kutafuta matibabu, zahanati iliyojengwa 2021 bado haijatoa huduma
  11. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi, Polisi na Usalama msijihusishe na siasa wananchi watawaona maadui

    Jeshi, Polisi na Usalama msijihusishe na siasa na kuanza kupendelea vyama kwasababu inaelekea wananchi wengi sio washabiki wa vyama bali ni wapenda haki. Vitendo vya watu kuona waziwazi wanaiba kura zao mnajenga uadui ambao utakuwa mbaya kuutoa. Ushauri ni kwamba kuweni upande wa haki...
  12. JamiiForums Tanzania Wananchi wachangishwa nguzo ‘hewa’ umeme wa REA Muleba

    Na Mwandishi Wetu WANANCHI wa Kijiji cha Bulembo, Tarafa ya Kamachumu, wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamechangishwa fedha za nguzo ‘hewa’ katika mradi unaotekelezwa na Wakala wa umeme vijijini (REA) kijijini hapo. Mradi huo unaotekelezwa na REA kupitia kampuni ya Naproi umegubikwa na...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Hamas huwa wanakimbilia mahandakini na kuwaacha raia wakati jeshi la Israel huwapa kwanza usalama raia kwenye mahandaki

    Wakati makombora yanarushwa kutoka Gaza kuelekea Israel, Jeshi la Israel huwa wanawaisha raia kwenda kwenye mahandaki. Hamas hali ipo tofauti, huwa wanakimbilia kwenye mahandaki na kuwaacha raia watajijua wenyewe WHY ???
  14. JamiiForums Tanzania Mzee Wasira sisi Wananchi hatuna ugomvi na CCM hayo maridhiano unayosema ni ya Nini?

    Nimekusikia katika hotuba Yako unasema kuwa hautafanya maridhiano na mtu mmoja na kwamba utafanya maridhiano na jamii, asasi za kiraia, jamii za kimataifa n.k Sasa nakuuliza tu Kuna ugomvi gani Kati ya jamii na CCM?
  15. JamiiForums Tanzania SUWASA: Yasogeza huduma ya maji kwa Wananchi wa Mtaa wa Mungu Maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) kupitia mradi wa Uboreshaji wa huduma imefanikiwa kuwasogezea maji safi na salama wananchi wa mtaa wa Mungu Maji uliopo Manispaa ya Singida, hatua inayolenga kumtua mama ndoo kichwani. Mradi huo uliofadhiliwa na SUWASA na kusimamiwa na...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Madaraka Mabovu yanavyoendelea kuwatesa wananchi wa Tanzania kila siku

    Katika muktadha wa siasa za Tanzania, kuna changamoto nyingi zinazohusiana na utawala bora, uwajibikaji, na uhuru wa kujieleza. Viongozi wengi wanaonekana kuendesha shughuli za kiongozi kwa maslahi yao binafsi, huku wakiacha nguzo muhimu za uongozi ambazo zingesaidia kuinua maisha ya wananchi...
  17. JamiiForums Tanzania DC Wilman Ndile: Kama kuna Wananchi hawajalipwa fidia ya kuhama Bonde la Mto Ruhila waje ofisini milango ipo wazi

    Uongozi wa Wilaya umetoa maelezo kuhusu madai ya kuwepo kwa Wananchi ambao hawajalipwa fidia ya kuhama katika Bonde la Mto Ruhila ambapo wametakiwa kuhama ili kupisha sehemu hiyo ya hifadhi. Mdau wa JamiiForums alidai Wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile...
  18. JamiiForums Tanzania DC Meatu: TAKUKURU inachunguza tuhuma za Watumishi waliochukua fedha za michango ya Wananchi kujenga Shule

    Baada ya Mdau wa Kata ya Kabondo Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu kuomba Serikali kupitia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa kufuatilia madai ya ‘upigaji’ wa fedha za Wananchi uliotokea katika Kata hiyo, suala hilo limetolewa ufafanuzi. Kusoma zaidi hoja hiyo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Hali ya Barabara Mtaa wa Chenga ni mbaya, Wananchi wakitaka kuiboresha wanazuiwa

    Huku kwetu Mtaa wa Chenga pamoja na maeneo ya jirani ya Kata Nyegezi tumekuwa tukilalamikia changamoto ya barabara ambayo imekuwepo kwa muda mrefu ambayo inasababisha usumbufu mkubwa kwetu ambao tunaitumia. Barabara hiyo ni muhimu na inatumiwa na Wanafunzi kwa asilimia kubwa kwa kuwa ipo karibu...
  20. JamiiForums Tanzania RC Mrindoko: Ufyekaji wa Mahindi ya Wananchi wa Wilaya ya Tanganyika si maelekezo ya Serikali

    https://www.youtube.com/watch?v=gLonjJFJotY Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,amesema kitendo cha wakulima wa wilaya ya Tanganyika kufyekewa mahindi kwenye msimu huu wa kilimo sio maelekezo ya serikali na si haki kufanya hivyo. Mwishoni mwa mwezi Disemba,2024 baadhi ya wakulima wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…