wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanajeshi wa Rwanda, amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji

    Wakuu Kuna video hii ikimuonesha Mwanajeshi wa Rwanda, ambaye amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji na kumzonga wakitaka avue mask Pia, Soma: + Jeshi la Rwanda kusalia Msumbiji + Kujiondoa kwa Majeshi ya Africa Kusini...
  2. R

    Wasiwasi wangu: Ingelikuwa story za Abdul Nondo kutekwa za kweli, haya yangelikuwa wazi kwa wananchi

    1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend 2. Picha za hospital zingelikuwa zinatrend 3. Most likely, nasema most likely with emphasis, CLOSE relatives wa Abdul wangelikuwa wameshatoa neno 4. Tv za mitandaoni zingelikuwa zimemwaga habari kedekede angani! na...
  3. LGE2024 CCM Simiyu watoa pongezi za shukurani kwa Wananchi Kuipa ushindi wa 98.8%

    Pongezi kwa Wananchi wa Mkoa wa Simiyu kwa Ushindi Mkubwa wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kinapenda kutoa pongezi za dhati kwa wananchi wote wa Mkoa wa Simiyu kwa kuonyesha imani kubwa na kuendelea kutoa msaada wa hali ya...
  4. LGE2024 Kigoma: Zaidi ya Wananchi 200 wakimbilia porini wakihofia Usalama wao

    Zaidi ya watu 200 wakazi wa kijiji cha Kagunga, Halmashauri ya wilaya ya Kigoma, mkoani Kigoma wako mafichoni/ porini huku usalama wao ukiwa shakani kutokana na kile kinachodaiwa uwepo wa oparesheni 'isiyo salama' inayoendeshwa na Jeshi la Polisi dhidi yao kijijini hapo Akizungumza na Jambo TV...
  5. Wananchi Wawakatae Viongozi wa kupachikwa

    Kila mmoja ameshuhudia jinsi uchaguzi wa Serikali za mitaa ulivyoharibiwa na taasisi za usimamizi. Ni dhahiri kulifanyika maandalizi ya kutosha toka mwanzo kuuharibu uchaguzi huu, ndiyo maana kuliwekwa mpaka kanuni za kuwalinda watakaoharibu uchaguzi. Wananchi wana haki ya kuwakataa na...
  6. Wananchi wa Mlolongo huko Nairobi wamlazimisha kiongozi wao kutembea kwenye maji machafu kuonyesha hali mbaya ya miundombinu

    Wakuu, Inaonekana kama Wakenya wameshachoshwa na ahadi za uongo kwa hivyo wameamua kuchukua sheria mkononi. Wakazi wa eneo la Mlolongo mjini Nairobi wameamua kumpitisha kwenye dimbwi la maji mchafu, kiongozi wa Kaunti yao Daniel Mutinda ili kumuonesha changamoto wanazozipitia kila siku. Video...
  7. LGE2024 Kagera: Wananchi waipa CCM Katerero 100% uchaguzi Serikali za Mitaa

  8. LGE2024 Arusha: Mbunge Ole Shangai alivyokumbana na Wananchi Ngorongoro wakimtaka aondoke Kituo cha Kura Endulen

    Wakuu Hapa mori ilipanda Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai, alikumbana na hali ngumu jana katika kijiji cha Nasipaoriong, eneo la Endulen, karibu na kituo cha Ormekeke. Wananchi walimtaka kuondoka haraka na kumzuia kuingia kwenye kituo cha kupigia kura.
  9. LGE2024 Halmashauri ya Mji Bariadi yautaka Umma kupuuza taarifa za upotoshaji za uwepo wa kura feki

    Hayo yamebainishwa katika taarifa iliyowekwa na TAMISEMI katika ukurasa wao wa Mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA JUU YA UPOTOSHAJI WA UWEPO NA KARATASI FEKI(BALLOTPAPER) ZA KUPIGIA KURA KATIKA HALMASHAURI YA MJI BARIADI Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Mji Bariadi Ndugu. Adrian Jungu anapenda...
  10. LGE2024 Kuenguliwa kwa baadhi ya wagombea wa upinzani kumefanya zoezi la uchaguzi kukosa mvuto kwa wananchi.

    Habari za uchaguzi Wakuu! Nafikiri siku ya Leo imeenda kinyuma na lengo lilivyopangwa. Serikali iliiweka siku ya Leo kama siku ya mapumziko ili kutoa fursa kwa watu kupata muda wa kwenda kupiga Kura katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa. Lengo lilikuwa zuri lakini likapoteza maana baada ya...
  11. LGE2024 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu ahamasisha wananchi kupiga kura

    MWENYEKITI WA CCM SIMIYU AHAMASISHA WANANCHI KUPIGA KURA. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed, ameendelea kuhamasisha wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi leo kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Mara baada ya kupiga kura katika kituo cha...
  12. LGE2024 Arusha: Maoni ya Wananchi kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa

    Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu. Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha...
  13. LGE2024 Shinyanga: Wananchi wafichua kukosekana kwa karatasi za kupigia kura. Karatasi za kwenye notebook zatumika kama mbadala

    Wakuu, Wakiwa wanahojiwa kwenye kituo cha TVE wananchi wa mbalimbali wametoa maoni kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye Uchaguzi. Mmojawapo wa wapiga kura alidokeza kwenye mtaa wake hakuna karatasi maalum za kupigia kura na badala yake karatasi za notebook zinatumika...
  14. Mjue kwa undani msemaji wa wananchi

    Jina lake : Ally Shaban Kamwe Nafasi : Kitengo Afisa habari Yanga Mkoa aliozaliwa : Kilimanjaro Kabila : Mpare Umrefu : 5.1 Urefu wa ume wake : 4.7 Uzito : 59kg Kabila la Mama : Mchanga Kabila la Baba : Mpare Mama anashabikia : Yanga Baba anashabikia : Simba Amekulia : Dar es salaam...
  15. LGE2024 Mwanza: RC Mtanda ahimiza Wananchi waende kupiga Kura, ataka wasiogope mvua

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka wananchi wa Mwanza kujitokeza kushiriki katika kutimiza haki ya kidemokrasia na kikatiba ya kupiga kura licha ya kuwepo na hali ya mvua na kuwataka hali hiyo isiwatie uvivu. Mhe. Mtanda ametoa rai hiyo mapema leo Novemba 27, 2024 mara baada ya...
  16. LGE2024 Simiyu: RC Kihongosi ahamasisha Wananchi kujitokeza kupiga Kura na kuepuka kusalia Vituoni

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaasa wakazi wa mkoa huo kuendelea kujitokeza kwa wingi katika vituo vya kupigia kura katika mitaa yao ili kuchagua viongozi watakaowaongoza katika mitaa yao. Akizungumza baada ya kupiga kura katika mtaa wa Sesele uliopo kata ya Nyakabindi wilayani...
  17. LGE2024 Dar: IGP Camillus Wambura apiga Kura, awahimiza Wananchi kutimiza Haki ya Kikatiba

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Novemba 27,2024 amepiga kura kuwachagua viongozi wa serikali za Mitaa. IGP Wambura amepiga kura Jijini Dar es salaam ambapo amewasisitiza wananchi pamoja na askari kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba.
  18. W

    LGE2024 Iringa: Wananchi na viongozi mbalimbali washiriki kupiga kura

    Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewasihi wananchi kuimarisha utulivu wakati wote wa zoezi hilo
  19. LGE2024 Wananchi Dar wafurahishwa na Utaratibu wa Upigaji Kura

    Baadhi ya Wananchi waliojitokeza katika zoezi la Upigaji kura katika kituo cha shule ya msingi Viziwi Buguruni iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam wameonyesha kuridhishwa na jinisi ambavyo zoezi hilo ambalo linaloendelea katika kituo hicho. Wakizungumza na ManaraTv wananchi hao wameeleza sababu...
  20. LGE2024 Tanga: Mkuu wa Mkoa Batilda Buriani atoa wito kwa Wananchi kuondoka Vituoni baada ya Kupiga Kura

    Ikiwa ni siku iliyosubiriwa na watanzania kutekeleza demokrasia yao ya hatima ya Fyucha ya Kitaa, mkuu wa mkoa wa Tanga Batilda Buriani amewataka wananchi kuondoka eneo la kupiga kura mara baada ya kukamilisha haki yao ya kupiga kura.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…