Mamia ya wananchi wamepokea hati zao za ardhi ndani ya muda mfupi kupitia huduma za Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba).
Wananchi wapongeza huduma zilizotolewa, wakieleza kuridhishwa na weledi, ufanisi na ubora wa huduma...