wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea kwa Wananchi kususia michezo, ni mgomo wa waziwazi kwa Taifa lao dhidi ya Viongozi

    Hiki kinachoendelea kususiwa kwa Timu ya Taifa na mashabiki ni dhahiri kwamba wananchi wana kinyongo na Taifa lao, sio tu timu ya taifa itafika mpaka kwenye vilabu vya Yanga na Simba. Wajitayalishe kwa hilo; huwezi kumlazimisha mtu afwate siasa ambazo yeye hazipendi na bado ukamnyima haki, na...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Wananchi wamkataa aliyeongoza Kura ya Maoni CCM katika Jimbo la Mbarali

    Baadhi ya wananchi Jimbo la Mbarali Mkoa wa Mbeya wametishia kutokushiriki uchaguzi Mkuu Oct ,2025 wakidai kuwa mgombea aliyeshinda kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo hilo sio chaguo la wananchi ni chaguo la chama. Wananchi wa jimbo hilo wametuma ombi kwa uongozi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Tujadili suala la makaa ya mawe, iweje wananchi wa eneo husika wawe masikini ila magari yanasomba tu

    Ikiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa . Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
  4. R

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA wanatendea sana haki sera yao ya Ubwabwa kwenye Mikutano lazima wananchi wale

    Wakuu, Nadhani CHAUMMA ndo chama kinachosimamia na kutekeleza Sera zake kwa uwazi Yaani sera ya Ubwabwa inasimamiwa ipasavyo, wananchi wanakula tena kwa mwenendo huu lazima watu wajae kwenye mikutano yao maana tunatika nyumbani bila bajeti ya mchana tunaenda kula ubwabwa wa CHAUMMA
  5. JamiiForums Tanzania Majukumu ya TAKUKURU yahamihishiwe Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

    Wakuu asalaam ! Kwa mujibu wa sheria, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliundwa kwa lengo la kuchunguza, kuzuia na kupambana na vitendo vya rushwa nchini Tanzania. Inatakiwa iwe nguzo ya haki na mwanga wa matumaini kwa kila raia anayetafuta msaada dhidi ya dhuluma na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa wananchi wanaomsifia Shigongo leo waliishije miaka minne iliyopita bila maendeleo yaliyokuja tu ghafla kuelekea uchaguzi 2025?

    Wakuu wa JF, nimekutana na video inaonyesha wananchi wa Buchosa wakitoa maoni wanamsifia aliyekua Mbunnge wao ambaye tena ni Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM Eric Shigongo. Imenifanya nifuatilie hayo maendeleo wanayozngumzia yamefanyika kipindi gani? na kwa nini kipindi hiko? Nimegundua...
  7. JamiiForums Tanzania RC Arusha Apiga Marufuku Ada ya Matumizi ya Vyoo Hospitali ya Mount Meru

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi, amepiga marufuku kutozwa fedha kwa wananchi wanaotumia vyoo vilivyopo katika eneo la mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha-Mount Meru kufuatia malalamiko ya wananchi kwamba wamekuwa wakitozwa shilingi 200 kwa kila matumizi. Akizungumza Agosti...
  8. JamiiForums Tanzania Netanyahu: Israel ipo Tayari kuisaidia Iran Maji nchi nzima, kila jiji kila kijini Wananchi wa Iran waamue

    Alikumbuka kuzindua chaneli ya Telegram ya lugha ya Kiajemi karibu muongo mmoja uliopita ili kufundisha usimamizi wa maji, ambayo ilivutia haraka wafuasi 100,000. "Kiu ya maji nchini Iran inalingana tu na kiu ya uhuru," alisema. Netanyahu aliahidi kwamba "wakati nchi yako iko huru, wataalam...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 RC Kihongosi aongoza Wananchi wa Arusha kumdhamini mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kenani Laban Kihongosi leo Jumanne Agosti 12, 2025 amewaongoza wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha kujitokeza kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Arusha, kumdhamini Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni...
  10. JamiiForums Tanzania CCM walisambaza BAISKELI na PIKIPIKI Nchi nzima ili waje kukusanya hela kwa Wananchi hao hao

    Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa. Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori. Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama w CCM Tabora wajitokeza kumdhamini rais Samia

    Wanachama wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Tabora wamejitokeza kushiriki zoezi la kujaza fomu ya kumdhamini mgombea mteule wa nafasi ya Urais kupitia Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Agenda ya Wananchi katika uchaguzi sio katiba bali ni maswala ya Elimu,Maradhi na Umasikini

    Bado kama Taifa yatupasa kuakisi agenda muhimu za uchaguzi. Kwangu mimi bado narejea katika agenda mama ma za msingi zilizowahi kusemwa mara baada ya kuoata uhuru. Bado kama Taifa hatujakamilisha kwa kiwango stahiki utekelezaji wa agenda na maono haya muhimu yaliyowahi kutajwa miaka hiyo...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa waTanzania ni kujidanganya kuwa kodi zinazokusanywa ni zao wananchi

    Yaani watu wakae vikao ambavyo wewe huingii wapange kodi,wakusanye,wapange matumizi yake,walipe madeni,wapange matumizi,wajilipe wao,nk bado mnakomaa tu kuwa hela za kodi ni zenu mna akili kweli nyie? Hela ambayo huna maamuzi nayo ni yako kvp? WaTz mjitafakari!!
  14. JamiiForums Tanzania MOI yahudumia Wananchi 1,981 Maonesho ya Nanenane 2025 Dodoma

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha ushiriki wake katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane 2025' jijini Dodoma kwa kutoa huduma kwa wananchi 1,981. Huduma zilizotolewa na MOI zilihusisha uchunguzi wa awali (Screening), ushauri wa kitaalamu kuhusu matatizo ya mifupa...
  15. JamiiForums Tanzania TRA Kodi za Wananchi ni Maisha ya Viongozi?

    Tanzania Revenue Authority (TRA), taasisi iliyoundwa rasmi mwaka 1995 kwa madhumuni ya kukusanya mapato ya serikali, leo hii inakabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi wanaohoji uhalisia wa mchango wake katika kuboresha maisha ya Watanzania wa kawaida. Wapo wanaosema kuwa mfumo huu wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makosa ya kiuongozi aliyoyafanya Rais Samia na kujikuta anapoteza uungwaji mkono wa wananchi kwa wingi na kasi ya kutisha

    Rais Samia alipoingia madarakani kwa kiwango kikubwa alipokelewa vizuri sana na watanzania. Wengi walimuona kama hewa mpya, walimuona tumaini jipya baada ya maisha ya mbilingebilinge ya utawala wa awamu ya tano. Samia alitetewa, kukingiwa kifua dhidi ya critics mbalimbali, akapewa jina la mama...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wasiopaza sauti zao kupinga utekaji na mauaji mkifa kwetu wananchi ni sherehe

    Habari hii iwafikie wote na napenda kutoa angalizo tusije kulaumiana baadae na kutafutiana ubaya Kama wewe unajijua ni kiongozi wa serikali au ni kiongozi wa kidini au kama wewe ni msanii au mwanamuziki au mtu mwingine yeyote wenye ushawishi katika jamii ambae mpaka sasa haujatumia nafasi yako...
  18. JamiiForums Tanzania Rais anasikitika wananchi wanafurah hii Ina maana Gani kwa Rais, naomba wakamatwe wote mpaka tuzike ndo watoke rumande

    Nauliza hivi kweli Rais anauzunika ANALIA wananchi mnaruka ruka mna adabu nyie kweli? Nafahamu Pascally Mayalla na Proffesa Mussa Assad mnafurah ila ndo mkodi mziki? Naomba mwekwe ndani mpaka azikwe.
  19. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 SIRARI -Tarime wananchi waandamana Diwani ambaye amepotea baada ya kutangazwa ameshinda

    Muda huu risasi za moto zinarindima baada ya wananchi kuandamana na kufunga barabara kumtaka diwani ambaye inadaiwa ametekwa akiwa Tarime na hajulikani alipo! Hali ambayo imepelekea wananchi kuandamana kumtafuta Inadaiwa huyo diwani alikuwa yupo upande mwita waitara, na mpinzani wake alikuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania CCM wametufikisha hapa, Tangazo la kuzuwia maandamano ya wananchi wakifurahia pindi anapokufa mwana ccm litataanza kutolewa soon

    Tayari tumefika kubaya na hakuelezeki kabisa Haya yote yanajiri ni kwa sababu tu, CCM mmekosa huruma, mmekosa utu, mnazurumu, mnateka na kuuwa watu peupe pe na bila aibu Wananchi wataanzia wapi kuwaona kuwa nyinyi ni binadamu wenzao Kifo??? Wananchi wanaandamana kufanya sherehe? Kufurahia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…