wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi lipo na wananchi, linawalinda wananchi kutumiza azma yao

    Kama mnavyoona na kusikia kwenye video hapo jeshi limetulia na kuwaacha wananchi wafanya yao bila shida! Polisi wakatika kuzidi nguvu wananchi, Jeshi linazogea mbele kuwangika na kuacha maadamano yaendeleee. Ni suala la muda kazi inaisha, heshima inarudi tanzania.
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi kadhaa wajeruhiwa kwenye maandamano katika majibizano na polisi

    WAkati maandamano yakiendelea kushika kasi na kupamba moto, wananchi kadhaa wameonekana kujeruhuwa baadhi wakiwa wanaingizwa kwenye magari ya polisi huku wengine wakisaidiwa na wananchi wenzao. Hapa inatakiwa kuhakikisha mtu hakamatwi na polisi, akiumiwa asaidiwe na kupatiwa msaada wa kwanza...
  3. JamiiForums Tanzania Machawa wote waliodharau wananchi lazima tukawasalimie ili siku nyingine tuheshimiane

    Machawa wote walio dharau wananchi lazima tukawasalimie ili siku nyingine tuheshimiane wachunge sana hatutaki uchawa wao
  4. JamiiForums Tanzania Twendeni tukawasimilie dp world tuwafungishe virago waondoke kwenye nchi yetu nguvu ya wananchi

    Twendeni tukawasimilie dp world tuwafungishe virago waondoke kwenye nchi yetu nguvu ya wananchi
  5. JamiiForums Tanzania Hali ni shwari wananchi wapenda mabadiliko jitokezeni kwa wingi tuzuie huu uchaguzi bandia

    Hali ni shwari wananchi wapenda mabadiliko jitokezeni kwa wingi tuzuie huu uchaguzi bandia leo ndio leo tunataka nchi yetu.
  6. JamiiForums Tanzania Wanachofanya waandamanaji ni kuligombanisha jeshi la wananchi na askari

    Kuna video nimeiona waandamanaji wapo nyumba ya gari la jeshi huku kwa mbele askari wakiwatupia mabomu ya machozi waandamanaji
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Mkoa wa Morogoro: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Morogoro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (11) ambayo ni Jimbo la Kilosa Jimbo la Mikumi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Kigamboni, Dalmia Mikaya: Hali ya usalama ni shwari wananchi waendelee kujitokeza kupiga kura

    Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa "Hali ya Usalama ni nzuri, watu wamekuwa na amani na utulivu mkubwa. Niendelee kuwasisitiza na kuwahimiza kwa wale ambao bado...
  9. JamiiForums Tanzania Uislamu hautaki mtu dhaifu. Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu

    Mimi ni muislamu. Uislamu hautaki mtu dhaifu Pia ni mwanaume , najivunia kwa hilo. Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu. Tusiangushane. Hatuna muda mwingine zaidi ya huu. Tukipoteza hii nafasi hatutoipata tenaaaaaa.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa, Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa wananchi makundi yote, abarikiwe

    Salaam! Mtu huyu wa Mungu, ameonyesha njia Katika kipindi hiki kigumu na Yuko tayari kulipa Gharama. 1.Alipotekwa Roma Mkatoliki, alipaza sauti kukemea. 2. Clouds media walipovamiwa, alitoka kukemea. 3. Alipoonewa Lissu na wananchi waliotekwa kuuwawa na kuumizwa, alitoka mbele kukemea. Kwa...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Maandamano yanatisha! Pamoja na wauaji wa wananchi, Rais atajificha Zanzibar siku ya uchaguzi

    Imepangwa kwa makusudi kwamba siku ya uichaguzi rais atakuwa Zanzibar. Kama ni kweli ni kuogopa usalama wa Bara, hili nalo ni jambo la ajabu kwa sababu majeshi yanayolinda nchi, bara na visiwani yako chini ya mkuu mmoja. Yawezekana ni kuogopa maandamo, lakini ni hakika kwamba visiwani wao...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hamasa ya Wananchi Kushiriki uchaguzi na kumpigia Kura ya Ndio Rais Samia Ni kubwa sana Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 RC Katavi: Wananchi msijipange, msihamasishe, msishiriki wala msiwezeshe maaandamano yasiyokuwa na amani

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka wananchi wa mkoa huo kujiepusha na vitendo vya kuandaa, kuhamasisha au kushiriki maandamano yasiyo halali, badala yake waendelee kudumisha amani na mshikamano kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu. Akizungumza...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 SACP Richard Abwao: Wananchi puuzeni wito wa maandamano yasiyo halali

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa kupitia mitandao ya kijamii. Kamanda Abwao amesema maandamano hayo hayana msingi wa...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Kinje: Unaonya wananchi kuhusu maandamano. Na wao wakikupa Onyo je?

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP) Kinje Kingunge Ngombare amesema viongozi wanatoa maonyo kuhusu maandamano je raia nao wakitoa onyo itakuwaje. Kinje amesema hayo kukemea gabia za wakuu wa wilaya na mikoa ambao huto maonyo kwa raia. Amesema kama yeye akiwa Rais, mkuu wa wilaya au...
  16. JamiiForums Tanzania Wanajeshi mnaoungana na Wananchi, Hakikisheni Nchi inakombolewa, Duru zimethibitisha, Samia akifanikiwa Mtafanyiwa Persecution ambayo haijawahi tokea

    Wakuu Hawa wahuni wako serious sana sana !!. Sasa Kuna Taarifa za kuthibitika , ni kwamba Genge la Akina Samia limeamua mambo yafuatayo Kwanza, Wahakikishe iwe ni Kwa Jasho ,Damu Samia aapishwe. Pili, Baada ya Uhapisho wake, KUTAFUFANYIKA PERSECUTION DHIDI YA WANAJESHI WOTE AMBAO...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Karema wameishukuru Serikali kwa kuwajengea kizimba cha kuwazuia Mamba

    Wananchi wa Kijiji cha Karema wilayani Tanganyika, mkoani Katavi, wameishukuru Serikali chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwajengea kizimba maalum pembezoni mwa Ziwa Tanganyika ili kukabiliana na changamoto ya mamba waliokuwa wakiwaua na kuwajeruhi wananchi kwa muda...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Tangazo la uchaguzi kama uchawi, Oktoba tunatoka hakuna mganga zaidi ya wananchi

    Amkeni watanzania Bongo Movie ya CCM imetoka Rami ebu watuache kidogo hahahahahahahahahaah
  19. JamiiForums Tanzania Kwamba nao watakaa tu kimya na kutazama imani yao inavyobagazwa na kubanangwa?

    Nimekaa tu na kutafakari kuhusu ujumbe huu hapo chini. Waliomo serikalini wamekubaliana na hali hiyo? Wanapata nini hasa kinachowafumba kiasi hicho wasihoji wala kuchukua hatua? Watadhalilishwa hadi lini? Wameshakufa au kufwa wa kutosha. Wanaona na kujua. Wana mkakati ambao hatuujui au tuwaite...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 DC Haniu: Wananchi jitokezeni kupiga kura Oktoba 29, msikubali wasio na nia njema na Nchi

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametoa wito kwa Wakazi wa Halmashauri ya Rungwe na Busekelo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika siku ya tarehe 29, Oktoba, 2025. Uchaguzi Mkuu utahusisha Wananchi Kumchagua Rais, Wabunge pamoja na Madiwani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…