wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kinachoendelea Serikalini Muda huu. Tukisema tukafukue kusema hakuna miili wananchi watauliza mmewaweka wapi ndugu zetu?

    Mnyetishaji wangu mmoja ameniambia hili. Kuna mijadala mikali inaendelea Serikalini. Kuna watu wanataka kwenda kufukua sehemu fulani ya kubumba ili kuendeza propaganda kuwa taarifa ya CNN haiko sawa. Hofu kuu iliyopo ni kuwa hata wakitafuta eneo kusema wafukue bado Wananchi watauliza ndugu...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM mliomdanganya rais Samia kuwa anakubalika wakati wananchi hawamtaki hamuoni aibu?

    Alipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure. Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi na semitela ili kujaza watu kwenye ziara zake. Lakini kumbe watu hawamtaki. Nasema kuwa mna dhambi...
  3. JamiiForums Tanzania Kila Mtaa/ Kijiji kiwe na Database ya wananchi wake hasa Vijana na Mikopo itolewe kwa njia hizo

    Habari Tanzania ! Nawaomba wenye Mamlaka kwa kuwa mmewaza kuanzisha Wizara rasmi inayohusu Vijana. Napendekeza mfumo mzuri wa kusaidia vijana hasa kuanzia ngazi ya chini wanakoishi. 1. Kila Kijiji/ Mtaa pawepo na Ofisi ya Vijana (Vijana Village/ Street Department). (Kata = Vijana Ward...
  4. JamiiForums Tanzania Tumeshashinda mapambano wanapumulia kisoda mafisadi, tumesha wapoteza hawaaminiki tena na wananchi wala kimataifa

    Utaona wanajifanya wapo bize kana kwamba hakuna kinachoendelea kumbe presha zao zipo juu sana, Tukutane kwenye Final #D9 tuwakimbize kwenye nchi yetu
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi wana mamlaka ya kupindua na kumuwajibisha kiongozi yeyote fisadi na mwizi

    Wananchi wana mamlaka ya kupindua na kumuwajibisha kiongozi yoyote fisadi na mwizi. kumpindua mwizi na fisadi sio kosa. Hakuna mwenye nguvu kuliko wananchi, taifa linaweza kuwepo bila rais lakini haliwezi kuwepo bila wananchi, kwamba wananchi ndio wanaunda rais mtu akijichagua yeye mwenyewe...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Ndauga: Nguvu hutumiwa kwa ulinzi na siyo kuadhibu sauti za wananchi

    "Tunatoa wito kwa serikali na taasisi za ulinzi na usalama kutumia utaalamu busara na weledi katika kudhibiti misuguano kuepuka matumizi ya nguvu kupita kiasi, kushughulikia sababu badala ya dalili. Kujihusisha na mazungumzo ya kujenga nchi badala ya vitisho na matumizi ya nguvu. Katika taifa...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sigrada: Mimi ni mbunge wa wananchi, sina ubia na serikali

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo, ametoa wito kwa taasisi zote za Serikali na umma mkoani Njombe kushirikiana naye ili kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Akizungumza mara baada ya kurejea mkoani humo, Sigrada amewashukuru...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi wote hawakutaki, hauko sawa na Kagame, Unagombana na Kenya halafu unalazimisha ugomvi na Marekani. Aliyesema akili ni nywele hakukosea

    Umeua maelfu ya Wananchi wako. Wananchi wana hasira kiasi wakipata nafasi watakunyonga live dunia ishuhudie. Viongozi wa dini ya kikristo wamekukataa waziwazi. Waislam wenye akili na hofu ya Mungu kweli wamekukataa waziwazi. Uchaguzi uliofanya umesemwa na kila chombo na taasisi duniani kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, waziri mkuu anajikomba kujifanya anatembelea hospitali kwa kushtukiza ili kukwepa ghasia za wananchi

    je, waziri mkuu haramu anajikomba kijifanya anatembelea hospital kwa kushtukiza ili kukwepa ghasia za wananchi. Mimi nafikiri huu ndio mwisho wake hawezi kutembelea wananchi uso kwa uso nchi imeshagawanyika hii. Hayupo na hata kuwepo mtu atakaye kuwa na ubavu wakuingia mitaani kwa watu ambao...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bashiru Ally: Maridhiano sio kati ya serikali na vyama vya siasa bali wananchi wenyewe

    Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, amesema kuwa dhana ya maridhiano ya kweli haiwezi kujengwa juu ya makubaliano ya kisiasa pekee, bali lazima iyatokane na wananchi kama msingi wa mamlaka ya nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena nakubaliana na watanganyika wengi kuwa hatuna Jeshi la Wananchi

    Muda wa kukupesa macho na kumung'unya maneno ushaisha tangu MO29. Kwa video niliyoona niseme wazi huenda haya mauaji hayajafanywa na Police tu bali hata jeshi limehusika Kama jeshi halijahusika kabisa na mauaji kwanini police wafanye hivyo ili hali jeshi lilikuwa mtaani siku hiyo? Tulijenga...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 "Kufreeze" kwa Vyombo vya Sauti za Umma: Hatari Iliyofichika Kwenye Njia Mbadala za Wananchi

    Hali hii imeonekana kwa uwazi nchini Tanzania katika miaka ya karibuni, ambapo baadhi ya vyombo ambavyo kiasili na kisheria vinavyopaswa kuwa mabega ya wananchi kama vile Bunge na vyombo vya habari vimeshindwa kuendeleza wajibu wao ipasavyo. Matokeo ya hali hiyo ni pamoja na kuziba kwa mianya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC: Hasira za wananchi zimechangiwa na kukosekana kwa sehemu ya wao kupeleka malalamiko pindi haki zao za msingi zinapokiukwa

    Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025 Wamesema kuwa hasira za wananchi zimechangiwa na kukosekana kwa sehemu ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi wampongeza Rais Samia kwa hatua ya Maridhiano

    Wakuu, Naona ITV wameona hii ndo habari muhimu zaidi, tena wameweza kupata uhuru wa vyombo vya habari kwenda mtaani kuhoji watu kuhusu hotuba ya Samia ya kutaka maridhiano, lakini walishindwa kuripoti habari kuhusu mauaji kama walivyofanya BBC, kwao habari muhimu ni pongezi ----------- Baadhi...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia

    Rais Samia amesema Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi za Ulaya na Marekani na Nchi Rafiki zitatoa angalizo kwa Wananchi wao wanaopanga kwenda Tanzania kufanya Utalii kuelekea DEC 9

    Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake. Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29!!. DEC 9 ni maandamano makubwa ya Amani.
  17. JamiiForums Tanzania Kwa sasa Rachel Dangwa ndio msanii maarufu anayesimama na wananchi

    Katika ukombozi wa taifa la Tanganyika sekta ya kulaani na matusi alikabidhiwa Sativa ila kwa sasa rasmi hii sekta kapewa Rachel Dangwa, ambapo inasemekana huwa hata akiota, anaota anaitusi serikali ya madhalimu. Huyu mwanadada kaamua kusimama na wananchi kwa kuitusi serikali ya ccm kwa matusi...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi wa Kimara nawasalimu. Muwe wavumilivu wakati mwendokasi zikiwa zinatengenezwa

    Kwa yaliotokea iwe funzo kwa wote wanaopenda kuharibu miundo mbinu kwa malengo ya kiasasa, ni upumbavu kuchoma miundo mbinu ambayo unaitumia wewe mwenyewe
  19. JamiiForums Tanzania Kupuuza maoni ya Wananchi Mtandaoni: Hatua ndogo inayoweza kuigharimu Taifa kubwa

    Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyochapishwa Julai 2025 inaonyesha kuwa idadi ya watumiaji wa intaneti nchini imefikia milioni 54 kufikia robo ya nne ya Mwaka wa Fedha 2024/2025, hilo ni ongezeko kubwa kutoka milioni 29, Mwaka 2020. Katika kipindi cha miaka minne hiyo...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwita Waitara ala kiapo bungeni tayari kuwatumikia wananchi wa Tarime vijijini

    Mbunge Mteule wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) rasmi le amekula kiapo leo Novemba 12, 2025 katika bunge la 13 Mkutao wa kwanza kikao cha pili kwenye viwanja vya bunge Dodoma, ikiwa ni ishara ya utayari kutumikia wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…