wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maisha ya Watanzania yanachezewa na CCM, wananachi wanahangaika huku wanasiasa wa CCM wakiwaona wananchi ni wajinga

    Kuna msemo unasema kwamba usimuamushe aliyelala ukimuasha utalala wewe. Na hawa watanzania waliolala leo hii hawajui haki zao ipo siku wataamka. Hawatataka upuuzi. Hawatataka ujinga unaoendele sasa hivi. Maana wanasisa wanaotafuna kodi zao wanaona wao ni wajinga. Maisha yamekuwa magumu. Bidhaa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia punguza kuitetea serikali, waache wabunge watetee wananchi

    Ndugu Spika Ninakuelewa vizuri, pengine huna uchungu sana na wananchi, kwa sababu mazingira yako ya kuingia bungeni tangu mwanzo, na baada ya uchaguzi 'feki' wa mwaka 2020 ni kwa mbeleko ya dola. Kwa hivyo labda unadhani una cha kuilipa fadhila serikali. Lakini nataka nikukumbushe tu kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hujuma kwa mmiliki wa Bus la Hokas na kilio cha adha ya nauli kubwa kwa wananchi wa kata ya Loya, Uyui -Tabora

    Sumatra-Tabora Takribani miezi mitatu iliyopita Bus la Hokas lilianza safari zake za Loya kwenda Tabora na kuleta ushindani wa kibiashara KWA mmiliki wa Bus la Mama's one na kufikia hatua ya kushusha nauli kutoka 12000/= Hadi 8000,10000 na 7000/= wananchi walifurahia ushindani huo na kushuka...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania UVCCM mbona hawatoi Tamko kuhusu viongozi wao wanaotuhumiwa kwa mauaji Loliondo

    Wapo madiwani wa CCM 9 na mwenyekiti wa CCM wa wilaya, mbona mko kimya.
  5. JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa Tanzania wanyama pori wana thamani kubwa kuliko wananchi?

    Habari! Hii siijui niitaje kwa lugha ya kawaida isiyoumiza. Ila facts zitabaki kuwa facts. Tembo , twigs, digidigi , paa n.k wamepewa thamani halisi. Ukiwagonga kwa bahati mbaya utalipishwa kwa thamani yao halisi. Tembo thamani yake iko kama 35 milioni za kitanzania. Huyo tembo akitoroka...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Serikali iendelee kukopa ili kuwasaidia Wananchi wanyonge, ambayo naiita Samiacomics

    Dr Kigwangalla amesema ili kukabiliana na changamoto za vita ya Ukraine Serikali ni lazima Iendelee kukopa ili kuwanusuru wananchi masikini waliokwama Kigwangalla ameipongeza Serikali kwa kukopa tsh 1.3 za uviko ambazo zinachochea maendeleo hata sasa. Kadhalika ameipongeza Serikali kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake. -------- Wawekezaji hao wanatarajia kuwekeza kwenye sekta ya miundombinu, viwanda na utalii katika maeneo ya Igogo, Isamilo na...
  8. JamiiForums Tanzania Pakistan: Waziri awaomba wananchi kupunguza kunywa chai

    Wananchi wameshauriwa kupunguza unywaji wa chai ili kusaidia Uchumi wa Nchi. Waziri wa Mipango na Maendeleo, Ahsan Iqbal ametoa wito huo akisema, "Tunakopa ili kuagiza Chai, kunywa vikombe vichache kutashusha gharama kubwa za uagizaji" Inaelezwa kuwa, Akiba ya Fedha za Kigeni ya Pakistan...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais, Wananchi tunaomba msamaha wa Kodi za nyuma uhusishe pia kodi za Pango la Ardhi

    Wakuu Salam! Moja kwa moja kwenye mada! Hivi karibuni akiwa ziarani katika moja ya mikoa ya kanda ya ziwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alizitaka mamlaka za kodi kuacha kudai kodi za kuanzia miaka miwili (2) nyuma, huku akibainisha wazi kuwa kitendo cha kodi hizo kulimbikizwa ni uzembe wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Pamoja na muonekano mzuri, Waziri Mkuu ana tabia ya kudanganya wananchi

    Kazi ya Uwaziri Mkuu ni kazi ya heshima sana na kuna wakati anakuwa Muongeaji Mkuu wa Serikali. Kuna matukio makubwa matatu ambayo yameonyesha wazi kwamba Waziri Mkuu huyu ni mwongo na mnafiki 1. Wakati wa Rais Magufuli alipozidiwa mpaka kupoteza maisha alikuwa wa kwanza kusema ni uzushi kumbe...
  11. JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda: Wananchi wa Loliondo wanaohofia kuhamishwa, wasiwe na Wasiwasi (Machi, 2013)

    Salaamm Wakuu, Hapa chini ni barua ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliyomuandikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakati huo Magesa Mulongo, akitaka akawaondoe Wasiwasi Wananchi wa Loliondo wanaohofu kwamba Watahamishwa. Tuisome kwa Pamoja na tutafakari, je kulikuwa na Lazima ya kutokukaa meza...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Fedha zimepungua mikononi mwa Wananchi

    Ni ukweli usiopingika, fedha zimepungua mikononi mwa wananchi. Mfano hai ni pale hapa Mwanza bei ya nyama imepungua kutoka Tshs. 8000 kwa kilo mpaka Tshs.7000. Hii inaonesha dhana ya supply and demand. Tunaiomba Serikali iachie fedha ili ziingie kwenye mzunguko. Watu wengi hawana fedha.
  13. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu anapaswa akemee matumizi mabaya ya Mhimili wa mahakama kukomoa wananchi wasiokuwa na hatia

    Kumekuwepo na kesi za kisiasa ambazo kimsingi hazina ushahidi wa kuthibitisha madai husika. Raia wamekua wakikaa mahabusu muda mrefu kwa kesi za kubumba kabisa. Ushahidi wa hayo ni kesi za sabaya ambazo zilifunguliwa kisiasa tu na imethibitika hivyo baada ya mahakama kuona katika kesi zote...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi wamechanganyikiwa hawatambui kama wapo awamu ya Nne au ya Sita

    Ukiangalia mfumo wa uongozi wa awamu ya sita na nne vinafanana sana. (Makusanyo hafifu ya kodi na gharama kubwa za maisha kwa wananchi kwa manufaa ya wafanaya biashara, huduma mbovu za sekta ya umma). Viongozi waliokuwa awamu ya nne katika mashirika ya umma na taasisi nyingine wamerejea kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa safarini kuelekea Mkoani Kagera, asimama njiani kuzungumza na Wananchi leo Juni 8, 2022

    ======= Rais Samia akiwa Bwanga Wilaya ya Chato Geita Akizungumza na Wananchi wa Bwanga Wilayani Chato, Mkoani Geita Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwasababu ya Vita inayoendelea Nchini Ukraine, bei ya mafuta imepanda duniani kote Ameeleza, "Dunia nzima tunaziambia zule Nchi mbili ziache...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: CCM haikutupora viwanja tu, CCM imetupora wananchi uhuru wetu, haki na usawa!

    Kumtaka Rais kutoka CCM aingilie swala la wizi na uporaji wa mali za wananchi uliofanywa na CCM, chama ambacho hakioni aibu kumiliki mali hizo, ni ndoto za Alnacha. Rais ni zao la chama hicho na anaingia madarakani baada ya kuwaridhisha waporaji wenzake ndani ya chama hicho kuwa atalinda na...
  17. JamiiForums Tanzania Tumaini Kweka akemewe aache kutumia kodi za Wananchi kumtengenezea Sabaya kesi za mchongo ili apige pesa

    Hapo vip!! Leo natua kwa huyu mtu anaitwa Tumaini kweka ambaye ni naibu DDP wa serikali,kwanza sitaki nimjue sana kwa sasa napata kichefu chefu. Niwazi huyu mtu amemgeuza Sabaya kama project ya kujitengenezea pesa kutoka katika kodi za wananchi pasipo Samia kujua hilo.Wananchi na wanaccm...
  18. JamiiForums Tanzania Hili sio Bunge tena bali ni genge la watafuna kodi za walalahoi wanaosifia Royal tour isiyokuwa na tija

    Anasimama mbunge bila hata aibu anasema sasa Mahotel ya Dar es salaam yamejaa watalii sababu ya Royal tour. Ni aibu kabisa kuwa na mbnge kama huyu naona aibu hata kumtaja. Mwingine bila hata aibu anasema Royal tour imeibua fursa mpya kwa wananchi wa Tanzania kuanzia kusini mpaka Kaskazini...
  19. JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Serikali inaua wananchi wangu wa Tarime vijijini. Tume zinaundwa na hakuna majibu

    Namsikiliza mbunge wa Tarime vijijini ana hoja nzito juu ya raia ambao ni wananchi wa jimbo la Tarime vijijini anatoa ushahidi wa majina na ya raia waliopigwa risasi na waliouwawa na waliojeruhiwa. Blah blah za George Simbachawene zikataka kumziba Waitara. Spika akaomba ushahidi juu ya tuhuma...
  20. JamiiForums Tanzania Wananchi DRC Waandamana kupinga Rwanda kuunga mkono kundi la waasi la M23

    Mamia ya watu wameingia katika mitaa ya mji mkuu wa Kongo, Kinshasa, kulaani madai ya Rwanda kuwaunga mkono waasi wa M23. Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika aonesha wasiwasi mkubwa kutokana na mvutano kati ya Rwanda na DRC. Mei 30, 2022, mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Rais wa Senegal Macky Sall...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…