wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni Kinyonga Mwenye sura Mbili, Wazee wa Machame wamuonya, Saashisha apewa heko

    MBOWE UMEZEEKA SASA, ACHA KUTENGENEZA ZENGWE JIMBONI HAI, WANANCHI WALISHAAMUA KWENDA NA SAASHISHA MAFUWE Na Rogan Swai, Narumu Blog Habari za Siku nyingi Mwenyekiti wa kudumu wa Chama chetu Cha Ufipa, natambua unaendelea na matibabu Kwasasa baada ya afya yako kuzorota Kwa muda Fulani, pole...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape ahamasisha wananchi kutoa ushirikiano kwa Makarani wa Sensa 2022

    WAZIRI NAPE AHAMASISHA WANANCHI KUTOA USHIRIKIANO KWA MAKARANI WA SENSA Na Mwandishi Wetu, WHMTH, DAR ES SALAAM Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amewataka watanzania kutoa ushirikiano kwa makarani wa Sensa ya Watu na Makazi watakaopita kuchukua takwimu za...
  3. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa, Rais Samia angekuwa na uchungu na wananchi asingekubali tozo na maisha kuwa ghali namna hii

    Vyakula vimepanda bei. Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali Maisha yamekuwa ghali. Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini. Sasa unaleta porojo! 👇
  4. JamiiForums Tanzania Wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tunakupongeza Rais Samia, ziara ya Rais kama hii haijawahi tokea toka uhuru

    Rais Samia akiwa Iringa Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi. Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela. Marais...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa wananchi nguzo muhimu kwenye kuleta maendeleo

    Ushiriki wa wananchi katika mambo mbalimbali ya kijamii ni muhimu sana katika kuleta maendeleo kwenye jamii husika. Serikali ikiachiwa ifanye kila kitu wenyewe bila kushirikisha wananchi kwa umoja wao ama kwa makundi ni vigumu kufikia malengo yaliyowekwa, na kwa kufanya hivyo itakuwa ni sawa na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Makambako: Mbunge alia fidia za wananchi mbele ya Rais Samia, Waziri amjibu

    Mbunge wa Jimbo la Makambako, Deo Sanga amemuomba Rais Samia Suluhu amuagize Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kulipa fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yalichukuliwa. Mbunge huyo ametoa malalamiko hayo leo hii katika ziara ya Rais jimbo la Makambako. Kwa mujibu wa mbunge huyo, kuna maeneo...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanafunzi wa Uhandisi na Udaktari kusoma bure

    NJOMBE Kijiji cha Mtwango Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha Sensa huja kila baada ya miaka kumi. Twendeni tukapate idadi yetu kamili ili Mh. Rais aweze kuwaleta mafungu yanayo endana na idadi yenu. Tuendelee kuongeza mapato, tumefanya vizuri lakini bado tunaweza kufanya vizuri zaidi ili...
  8. JamiiForums Tanzania Njombe: Rais Samia Awahutubia Wananchi Katika Mkutano wa Hadhara, Asema Serikali Imezuia Kupandisha Hadhi na Kukata Maeneo ya Utawala

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Njombe katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Sabasaba Njombe Mjini, leo tarehe 10 Agosti, 2022. DKT. PINDI CHANA – WAZIRI, MALIASILI NA UTALII Kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwakweli...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ataka wananchi wasibugudhiwe

    Katika Ziara ya kikazi inayoendelea Mkoani Njombe, Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kutowachangisha wananchi fedha kwa nguvu badala yake watumie utaratibu mzuri.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Barua kwa wajukuu zangu

    Wajukuu zangu leo nataka niwaeleze mambo fulani, fundo ambalo limenikaa kooni mpaka nashindwa kuhema. Aliyewaroga kafa na katupa gunia chini ya bahari kukiwa na chuma kizito ndani yake kusiwe hata na chembe ya matumaini kuwa ipo siku litaonekana na kufunguliwa mkawa huru. Mmefungwa akili, ama...
  11. JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini tunashuhudia miradi mbalimbali ya maendeleo inatekelezwa lakini hatuoni suluhisho kwa wananchi?

    Kazi iendelee! Wadau mtakuwa mashuhuda wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na seriksli kupitia Ilani ya CCM tangu awamu ya kwanza hadi hii ya sita. Pongezi nyingi ziwafikie viongozi wote wa awamu zote kwa jitihada zao za kutatua changamoto za wananchi. Pamoja na hayo, kuna baadhi ya miradi...
  12. JamiiForums Tanzania Ziara ya Raisi Mbona hawa wananchi hawaelezi kero zao

    Wandugu nawashangaa hawa wananchi wanaotembelewa na Raisi Samia siwasikii wakieleza kero zao wamesimama tu kama makatuni flani hivi,hawajielewi au wametishwa.
  13. N

    JamiiForums Tanzania HAJJ MANARA AHIMIZA WANANCHI WAVIMBE WASIOGOPE

    The greatest master of ceremony wa kujitegemea aliyelipwa milion 15 kusheheresha shughuli kubwa kabisa iliyojaza uwanja pomoni yaani mwananchi day iliyojaza watu 60,000 bila mapengo kuonekana amewahimiza wana yanga kuvimba kuviiiimbaaa kwelikweli Kuanzia week ijayo ataendelea pia kuwepo kwenye...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tupo kama kilele cha Wkii ya Wananchi kinawshusu TFF. Kama haiwahusu, wanawzaje kuwa na mamlaka nalo?

    Kwanza nitamke wazi kuwa mimi ni shabiki wa Yanga kabla ya kuandika ninachotaka kukiandika hapa. Tukirudi kwenye mada, TFF kama shirikisho la soka hapa nchini, ni wazi limeundwa kwa mujibu wa sheria na shughuli zake zinafahamika na bila shaka lina mipaka yake Kwa misingi huo, si kila tukio...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Maboresho ya Sera za Bima ili kufikia lengo la serikali la kuwafikia wananchi walio wengi zaidi

    Bima ni nini? Bima ni njia ya ulinzi wa kiuchumi dhidi ya hasara ya kifedha au hata dhidi ya kifo ambayo watu au kampuni wanafuata kwa kulipa kiasi fulani kwa shirika la bima kadiri ya mkataba maalumu, hivi kwamba shida ikitokea shirika litoe fidia. Zipo aina mbalimbali za bima kama vile bima...
  16. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Je, ni nani anapaswa kusimamia suala hili?

    Suala la unyanyasaji wa mtandaoni limekua suala kubwa sana lenye madhara mengi kwa wahanga wakiwemo watoto na vijana ambao ndiyo watumiaji wakubwa wa mitandao hii hususani mitandao ya kijamii. Madhara haya yamekua moja kwa moja katika afya yao ya akili na kusababisha kushindwa kushirikiana na...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwasalimia wananchi wa Chalangwa wa Mkoa wa Mbeya, leo Agosti 6, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Chalangwa Mkoani Mbeya tarehe 06 Agosti, 2022.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua mradi wa Maji wa Mbalizi na kuzungumza na Wananchi

    KAZI INAENDELEA, RAIS SAMIA KUZINDUA MRADI WA MAJI WA MBALIZI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI ASUBUHI HII SAA 5. Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa Agosti 05, 2022 anatarajia Kuzindua Mradi wa Maji wa Mbalizi (Songo- Igale). Mhe. Rais Samia pia atazungumza na Wananchi wa Mbalizi...
  19. JamiiForums Tanzania Mabilioni ya ruzuku kwenye mafuta bora yangefanya kazi nyingine tu

    Nasikitika nilichogundua Ugumu wa maisha siyo kwa wote Kuna wengine kama wale wanawekewa mafuta kwenye gari serikali ,wanaletewa vyakula nyumbani na serikali watoto wanasomeshwa na serikali ,hawa wakisikia mafuta kupanda bei wanaona kama hadithi tu. Nchi isingepitiwa na bahari hii ingekuwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mbeya wamruka Dkt. Tulia 'hatujamtuma bungeni kutetea wezi na walanguzi'

    Baadhi ya wananchi wa Mbeya Mjini wamesema hawajamtuma bungeni Mbunge wao Dk. Tulia Ackon kutetea wezi na walanguzi wa kuwakamua wananchi kupitia biashara ya mafuta. Hii ni baada ya wachangia kuwashambulia wananchi wa Mbeya kwamba ndiyo wamesababisha tatizo hili kwa kuwa maamuzi ya Spika Tulia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…