Ndugu zangu watanzania,
Napenda kuwataarifu ya kuwa serikali ya Rais Samia Inatambua Umuhimu na upekee wa Bandari yetu ya Dar es salaam,Inatambua kuwa bandari hiyo ndio moyo wa uchumi wetu,ndio mboni ya Taifa letu kiuchumi,ndio Uti wa mgongo wa mapato yetu,ndio usalama wetu wa Taifa...