wanaharakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Upinzani na Wanaharakati ijibu so called hotuba kwa weledi mkubwa, bila jazba wala vijembe kama alivyotumià. Onesha dhamira safi

    Mjibu kwa ufasaha, one point after another. Bila jaziba, dharau wala mipasho kama alivyotumia yeye. Consult wataalamu wa kila uwanja wa weledi. BILA KUCHELEWA as the saying goes: Strike the Iron when still hot! Mwonyeshe kuwa mna dhamira safi na nchi yetu.
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwako AG na Serikali ya Samia; Hakuna Nchi itawapa ushirikiano kuwarudisha Wanaharakati

    Kwenu kilaza mkuu AG na vilaza wengine mliojazana kwenye Serikali isiyo halali ya Samia na CCM. Nyaraka zilizowasilishwa ICC zimeeleza wazi Serikali ya Samia na CCM inafanya enforced dissaperance na extra judicial killings kwa activists na dissents. Zimeonesha jinsi mlivyowanajisi Wanaharakati...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Wanaharakati wanalipwa kuchochea vurugu. Juzi kuna kijana amepewa bilioni 5

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika maeneo mbalimbali nchini. Akihutubia leo Jumapili, Novemba 30, 2025, katika mkutano wa hadhara...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani na wanaharakati ndiyo WASALTI wakubwa

    Viongozi wa upinzani na wanaharakati ndiyo WASALTI wakubwa serikali itamalizana na kila mtu kwa uwazi siyo kupitia wawakilishi wa upinzani na wanaharakati ambao wanapokea bahasha na kupotea. Serikali ifanye mikutano na kufungua ofisi za ufuatiliaji kero za wananchi kwa uwazi siyo kwa uwakilishi...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Itafutwe namna serikali izungumze na viongozi wa upinzani na wanaharakati kuona tunamalizaje haya Mambo. Maana!

    Habari za Sabato! 1. Ndugu Watanzania nichukue nafasi hii Kwa sehemu yangu kama raia wa Nchi hii kama mlivyo nyie. Kuzungumza machache kama sehemu ya maoni na mchango wangu. 2. Binafsi nipo kwenye hali ya Wasiwasi mkubwa na hali inayoendelea. Naamini sio mimi pekee yangu nipo katika hali hii...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Roma Mkatoliki: Siku hawa wanaoitwa wanaharakati, wakosoaji wa serikali na viongozi wakiamua kukaa kimya, ndiyo mtajua thamani yao

    Aminini nawaambieni. Siku hawa wanaoitwa wanaharakati, na hawa wanaoikosoa serikali na viongozi wakiamua wanyamaze wakae kimya wasiongee kitu, ndio mtajua thamani yao. Na zaidi mtauona umuhimu wa kukosoa!! Hakuna kikubwa wanachopata zaidi ya kupoteza vingi, Sana sana nyie ndio mnafaidika!!
  7. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wakubwa wa haki walikuwa mitume, neno wanaharakati lisitumike vibaya

    Nimeona maoni watu wengi juu ya neno mwanaharakati na matumizi yake. Neno mwanaharakati linatumika kujenga taaswira mbaya juu ya jitihada wapigania haki za watu. Mwanaharakati ni mtu anaetetea aina flani ya mtizamo na kupinga kila kilicho kinyume chake. Kwa Maana hiyo mtu yeyote mwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Taratibu wanaharakati wanakata pumzi

    Jana zogo lilikua kubwa baada ya ripoti ya upande mmoja ya mkenya pale CNN,mitandao ikafurika, wanaharakati povu likawatoka, wengine wakatuahidi kwenda makaburini kwa kondo Leo wala kelele hazihanikizi tena, hakuna ripoti toka kwa kondo,hata kule Arusha ambako mchukiwa alikuwepo akigawa...
  9. JamiiForums Tanzania Kufubaza wapinzani, wakosoaji na wanaharakati Tanganyika kumeibua kundi hatari zaidi

    Maono mafupi kimo cha mbilikimo ni jambo hatari sana.. Maono ya kuona mwisho wa macho yako ambayo ni sawa na sekunde 15 mbele! Hakuna mmea hatari majini kama gugumaji.. Kuliangamiza hili gugu hakuhitaji nguvu bali akili kubwa muda na uwekezaji wa kueleweka.. Maana unapoliona limechomoza juu jua...
  10. JamiiForums Tanzania Kuchanganyikiwa na kutokuwa na akili kwa wanaojiita wanaharakati

    Wanaukumbi. HUKU SASA NI KUCHANGANYIKIWA NA KUTOKUWA NA AKILI KWA WANAOJIITA WANAHARAKATI... Moja ya sifa za hovyo sana za wanaojiita wanaharakati ni kuwa watu wasiotaka kila kitu na hawataki kusikia mambo tofauti na wanavyowaza wao na kufikiri wao. Mheshimiwa Rais Samia amehutubia bunge jana...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Maandamano yajayo yawe ni ya viongozi wa kisiasa/uponzani na wanaharakati na familia zao

    Hakuna kiongozi wa serikali na kisiasa aliyepoteza ndugu wa familia au mtoto ktk vurugu zilizopita sasa iwe zamu yao kuandamana/kufanya vurugu wakati ujao. Za kuambiwa changanya na za kwako
  12. JamiiForums Tanzania Wanaharakati mngehamasisha maandamano ya amani bila kufanya uhalifu kusingekuwa na madhara yoyote

    Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote. Kwenye maandamano ya wiki iliyopita...
  13. JamiiForums Tanzania Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

    Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura?

    Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura? Tuna siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Uchaguzi huu umegubikwa lindi la kukosa uhalali pengine kuliko uchaguzi mwingine wowote Tanzania. Hata mgombea wa CCM ameshutumiwa na mpaka kufunguliwa kesi kuwa kajipitisha bila...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI Boniface Jacob asema 'Sakata la Polepole ni mradi wa kutengeneza hofu unaoratibiwa na wanaharakati uchwara nchini'

  16. JamiiForums Tanzania SI KWELI Zitto Kabwe asema 'Hatutakubali kuvurugwa na kelele za wanaharakati nje'

  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makundi ya Kiraia Kenya yaitaka Uganda kuachia Huru Wanaharakati Bon Njagi na Nicholas Oyoo waliotekwa

    Makundi ya kiraia nchini Kenya pamoja na ndugu wa wanaharakati wawili waliopotea nchini Uganda wametaka wale wanaowashikilia kuwaachia huru. Bon Njagi na Nicholas Oyoo walitekwa nyara na vikosi vya usalama vya Uganda wiki iliyopita baada ya kuhudhuria mkutano wa kampeni wa kiongozi wa upinzani...
  18. JamiiForums Tanzania Watu majasiri na hodari huwa hawakimbii nchi zao upambana humo humo na hata kufa kishujaa katika nchi zao

    Hii ni mifano tu Saddam Hussein, Muhammad Kadafi, kina Polepole hawa ni watu majasiri sana na upambana kwenye ardhi zao hata kukubali kufa katika ardhi zao. Hakika Mungu uinua watu wake hakuna wa kuzuia.
  19. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaharakati wawili kutoka Kenya watekwa Uganda wakiwa katika Kampeni za Bobi Wine

    Wanaharakati wawili kutoka Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo, walidaiwa kutekwa nyara Oktoba 1, 2025 mchana na wanaume wanne wenye silaha wanaoaminika kuwa maafisa wa usalama. Wawili hao walikuwa wameungana na mgombea urais wa National Unity Platform (NUP), Bobi Wine, katika kampeni zake nchini...
  20. JamiiForums Tanzania Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote

    Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote kwa uzalendo wetu 29/10/2025 ni maandamano ya nchi nzima wa Tanzania wenzangu, tunapitia wakati mgumu ambapo ufisadi na rushwa vimezidi kuathiri maisha yetu ya kila siku. Miundombinu yetu ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…