wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Wanafunzi wa shule za msingi na chekechea wasogezewe mbele masaa ya kuanza masomo.

    Ni Asubui ya saa 12 naelekea zangu kituo cha daladala ili niwai kazini,pembezoni mwa barabara naona watoto wawili wa kike wamesinzia na kulaliana.Mdogo kamlalia mkubwa mapajani,mkubwa kajiegemeza kwenye ukuta.Niliwafikia nikamuona mdogo kavaa sare za shule ila mkubwa kavaa nguo za nyumbani na...
  2. UDOM yatoa ufafanuzi wa madai ya Wanafunzi 400 kuondolewa masomoni, wasema walidukua mfumo na kuchezea matokeo ya mitihani

    TAARIFA SAHIHI KUHUSU TUHUMA ZA WANAFUNZI 400 WANAODAIWA KUONDOLEWA MASOMONI Kusoma taarifa ya awali, bofya hapa ~ Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Kuna Nini? Wanafunzi zaidi ya 400 wame disqualify Chuo Kikuu cha Dodoma kimepitia taarifa zinazosambazwa mitandaoni za madai zenye madai ya wanafunzi 400...
  3. Waziri Kombo ateta na wanafunzi wa Diplomasia Hungary

    Waziri Kombo ateta na wanafunzi wa Diplomasia Hungary Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Chuo cha Diplomasia cha Hungary na kutoa mhadhara kwa wanafunzi wa Chuo hicho kuhusu Sera ya Mambo ya Nje na mchango wa Tanzania...
  4. Patandi maalum shule ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu wasiopatiwa lishe stahiki. Wanakula vyakula visivyoendana na afya zao serikali iimulike!!

    Shule hii ilijengwa ama ilianzishwa na rais john pombe magufuli ! Ni shule iliyobeba wanafunzi wenye ulemavu mchanganyiko ! Ukipata bahati ya kuitembelea unaweza kuangua kilio kulingana na Hali ya wanafunzi ilivyo ! Wako wasio sikia viziwi)wasioona vipofu) walemavu wa viungo wanaotembea kwa...
  5. Kambi kwa Wanafunzi wa Kidato cha Pili katika Shule ya Sekondari Mkuu

    Natumai barua hii itakufikia salama. Mimi ni mzazi wa mwanafunzi aliye katika Kidato cha Pili katika Shule ya Sekondari Mkuu, wilayani Rombo. Nimeandika barua hii kuwasilisha maswali na malalamiko yangu kuhusu kambi inayotarajiwa kufanyika kwa wanafunzi wa Kidato cha Pili kwa gharama ya shilingi...
  6. L

    Wataalamu wa China watoa maarifa ya kujikinga na magonjwa kwa wanafunzi wa Zanzibar

    Kengele ilipolia katika Skuli ya Sekondari ya Simai iliyopo Pemba visiwani Zanzibar, wanafunzi darasani walichangamka wakiwa na hamu kubwa. Wataalamu wa China kutoka timu ya mradi wa kuzuia kichocho walikuwa wamefika kutoa mafunzo maalumu ya afya kuhusu kuzuia kichocho, ugonjwa unaodhoofisha wa...
  7. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutoa elimu kwa wakazi na wanafunzi Iringa

    Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Dkt. Thomas Masanja amesema THBUB inatarajia kutoa elimu kuhusu haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa Wakazi na Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Vyuo katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Iringa kwa lengo la kuwawezesha...
  8. H

    Kwanini wanafunzi kutoka bara wanalazimika kulipia mafunzo kwa vitendo Zanzibar?

    Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je...
  9. P

    PreGE2025 Mchengerwa akerwa wanafunzi kukaa chini: Nadhani ameingia leo Tanzania

    Maisha ya kibongo ni vituko tu.
  10. Serikali yatoa mwongozo unyonyeshaji wanafunzi waliojifungua hawaruhusiwi kwenda shuleni na watoto wao badala yake wazazi kuwajibika kuwalea

    Serikali imesema mwongozo wa wanafunzi wanaorejea shuleni baada ya kujifungua hawaruhusiwi kwenda shuleni na watoto wao na badala yake, unawataka wazazi kusaini makubaliano na uongozi wa shule ya kuwajibika kuwalea wanafunzi na watoto wanaorudi shuleni. Novemba 24, 2021 aliyekuwa Waziri wa...
  11. Kondoa, Dodoma: Ujenzi wa shule ya sekondari iliyogharimu milioni 544, wanafunzi wapya watakiwa kufanya vizuri kwa kupata daraja la kwanza

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Shaban Millao amewataka wanafunzi wa shule mpya ya Mnenia Sekondari kufanya vizuri kwenye mitihani yao na kuhakikisha kwamba wanapata Daraja la Kwanza (Division One) wote kwani wao ndio wanafunzi wa kwanza hivyo wanapaswa...
  12. Moshi: Bweni laungua moto, wanafunzi 50 wanasurika

    Zaidi ya wanafunzi 50 wa Shule ya Sekondari ya Kaloleni Islamic ya mjini Moshi mkoani Kilimanjaro wamenusurika kuungua na moto baada ya bwenì walilokuwa wakiishi kulipuka moto leo saa saba mchana. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limefika katika eneo la tukio na kufanikiwa kuzima moto katika bweni...
  13. Katika sherehe za miaka 48 ya CCM Ludewa, mbunge ahaidi kukamilika kwa ujenzi wa shule ya sekondari mwezi Machi wanafunzi wasisafiri umbali mrefu

    Serikali imeanza kujenga shule ya Sekondari Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe ili kupunguza adha ya watoto kusafiri umbali wa takribani Km 15 Hadi Manda Sekondari na Km 30 Hadi Mchuchuma kupata elimu. Kwa hatua za awali Tayari madarasa mawili yapo mwishoni kukamilika na Mbunge wa Jimbo la...
  14. A

    Je Serikali imabariki Dar es Salaam Secondary kufukuza au kuhamisha wanafunzi wanaopata daraja la IV katika mitihani ya ndani?

    Naomba mamlaka zinazoshughulika na elimu kuanzia Afisa elimu jiji LA Dar es salaam, Afisa elimu mkoa wa Dar es salaam na Waziri wa elimu, mtupatie majibu sahihi ya hiki kinachofanyika Dar es salaam secondary na baadhi ya shule za serikali kama Pugu secondary na kwa shule za msingi kinatokea kwa...
  15. K

    DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

    Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Morogoro, changamoto kubwa ambayo naiona kwenye chuo chetu ni suala la mazingira machafu. Chuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya Wanafunzi wanaoishi kwenye Bweni kuwa wanatupa taka hovyo na kumwaga maji bila mpangilio maeneo ya...
  16. M

    KERO Wanafunzi Teofilo Kisanji University (TEKU) hatujapata vyeti vyetu vya digrii 2024 hadi leo

    Habari za muda huu Sisi kama wanafunzi wa digrii tuliomaliza chuo mwaka Jana 2024 katika chuo kikuu TEOFILO KISANJI tunamalalamiko juu ya kile uongozi wa chuo unavotufanyia watahiniwa wake kuhusu vyeti vyetu ambapo Hadi Leo tarehe 29/1/2025 hawajatupa vyeti vyeti na hawajatoa au kutupa taarifa...
  17. Geita: Wanafunzi Saba wafariki na wengine kujeruhiwa na Radi

    Wanafunzi wa Kidato Cha Tatu Shule ya Sekondari Businda Wilayani Bukombe Mkoani Geita, wamepoteza maisha katika msiba, huku wengine 82 wakijeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa Masomoni Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Paskas Muragili amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea leo Jumatatu...
  18. Serikali yaelekeza Wanafunzi pia wasomee nyumbani kwa Januari 27 na 28, 2025

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe 27 na keshokutwa 28, Januari 2025, kutokana na kufungwa kwa barabara nyingi za jiji la Dar es Salaam...
  19. P

    Serikali tangazeni tar 27 na 28 kuwa siku za mapumziko kwa wote na wanafunzi wakae nyumbani kuondoa kabisa huo 'usumbufu' mnaosema

    Wakuu, Kusema watumishi wa umma wafanyie kazi nyumbani huku sekta nyingine zinafanya kazi kama kawaida ndio mmepunguza nini? Kwanza tunajua serikali hainaga utaratibu wa ku-work from home. Hiyo ni holiday ya moja kwa moja. Akifunga vitu ijumaa atakuja kuendelea jtatu pale alipoishia. Lengo la...
  20. Mwalimu aliwapa wanafunzi zoezi kuwa wachore kile kilicho kwenye meza

    Mwalimu analiwapa wanafunzi zoezi kuwa wachore kile kilicho kwenye meza. Matokeo yake ni ya kusisimua 📸 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10 11. 12. 13. 14.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…