wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

    Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo. Tatizo letu kubwa ni kuhusu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi wa kitongoji cha Njoka wasaidiwe mazingira rafiki ya kupata elimu

    Kitongoji cha Njoka kinapatikana katika Kijiji cha Kizuka wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma. Wanafunzi hawa wanakumbana na hadha kubwa sana ya kutembea takribani zaidi ya km 10 kuzifuata shule ya msingi Kizuka. Lakini kitongoji hiki kinapakana na Kijiji cha Miembeni ambacho kipo takribani km 3...
  3. K

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshwaji wa malipo ya 'Booms' unakwamisha shughuli za Wanafunzi wa Chuo

    Bodi ya Mkopo Heslb inatupa wakati mgumu sana hasa wanafunzi tunaotokea familia ya vipato vya chini, maana wanafanya kazi kama wanavyojisikia wao Bali si kama wajibu wao wanafunzi tunalala njaa hatuna pesa. Lakini pia kupata allocation inafanyika mapema lakini sasa pesa ya kujikimu inakuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanafunzi Wafundishwe Nidhamu Bora na Tamaduni za Kitanzania: Bashungwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Wazazi, Walezi na Walimu kuwalea, kuwaandaa na kuwafundisha Wanafunzi katika misingi ya nidhamu bora na tamaduni za kitanzania ili iweze kufaa katika jamii na kuwa na mchango kwa Taifa kupitia taaluma zao. Bashungwa ameeleza hayo Novemba...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Wenye Wanafunzi Wanaotaka Kuanza kidato cha 1 Na Vyuo

    Ndugu Zangu Shule Na Vyuo Mpaka Ufadhili Kuanzia Kidato Cha Kwanza Mpaka Vyuo. Tafadhali Tembea Shule Iliyo Jirani Nawe Elimu Ni Bure,
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa 2 na wa 3 waanza malalamiko ya chini chini kisa kubadilishiwa makazi yao bila kushirikishwa

    😁😁😁😁😁, Unajua nacheka Kwa nini, hii ni maajabu! Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu wameanzisha malalamiko ya chini chini kupinga utaratibu unaotumiwa na uongozi wa chou wa kuwahamisha sehemu (blocks/mabweno) walikokuwa wanajihifadhi. Wanafunzi wanadai kuwa wanapangiwa sehemu...
  7. JamiiForums Tanzania DC wa Ikungi: Tunachunguza tuhuma za Mwalimu wa Shule ya Mandimu (Singida) anayedaiwa kudhalilisha Wanafunzi

    Mwanachama wa JamiiForums, aliandika kuhusu kinachondelea katika Shule ya Mandimu kuwa kuna Mwanafunzi ambaye anawadhalilisha Wanafunzi ikiwemo kuwapa adhabu kali kiasi cha kusababisha wengine waache Shule. Shule hiyo inapatikana Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, Serikali imesema...
  8. JamiiForums Tanzania Upungufu wa Hostels kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu ni janga jipya, Serikali ichukue hatua

    Hii naomba Serikali kupitia @wizara_elimutanzania , @owm_tz @ormipango_uwekezaji waone hili. Nchini Tanzania sasa hivi kuna tatizo kubwa sana la upungufu wa Accomodation Hostels kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu. (Nyumba za Malazi kwa Wanafunzi). Hii ina maana ya kwamba vyuo vingi nchini vina...
  9. JamiiForums Tanzania Sengerema: Polisi awanasa wanafunzi wa kifanya biashara muda wa masomo

    Ujira kwa watoto bado upo, na hii inasababishwa na hali duni ya familia zao ambapo inabidi waingie nao mtaani kujitafutia riziki wakale wao na famila zao. ==================== Baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi Sengerema na Mwamondi zilizopo kata ya Dutwa wilayani Bariadi wamekutwa na...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Walimu wa Shule ya Green Acres (Dar) wanaotuhumiwa kulawiti na kuwadhalilisha Wanafunzi, wanalindwa na nani?

    Shule ya Msingi ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam kuna matukio ya ukatili yameripotiwa kutokea, naomba kutumia jukwaa hili kupaza sauti ili haki ipatikane. Tukio la kwanza ni la ulawiti na udhalilishaji wa kingono ambalo limefanywa na Mkuu wa Shule hiyo...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo Kikuu Wafurahia Uwepo wa Coca-Cola Kwenye Tamasha la Hot Rhythm Music Festival

    Dar es Salaam - Tamasha la Hot Rhythm Music Festival lililofanyika katika Hostel za Mabibo siku ya jumamosi jijini Dar es Salaam, liliwaleta pamoja wanafunzi wa Chuo Kikuu kwa ajili ya kusherehekea muziki na burudani huku wakipata ladha safi ya vinywaji vya Coca-Cola. Tamasha hilo lilivutia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Japokuwa Tanzania ina watu wengi kuliko Kenya, ila wanafunzi wanaohitimu Tanzania ni wachache kuliko Kenya. Sababu ni nini?

    Kwa takwimu za wanaofanya mitihani ya kidato cha nne mwezi huu Novemba 2024 Kenya ina jumla ya watahiniwa 965, 501 na Tanzania ina watahiniwa 557, 731. Je, ni kwa nini Tanzania watahiniwa ni wa chache ilihali idadi ya watu ni kubwa kuliko. Kenya au ndio idadi kubwa ya wanafunzi wanaacha shule...
  13. JamiiForums Tanzania Kipigo cha Yanga dhidi ya Tabora United chatumika darasani Wanafunzi kujifunza kusoma

    Doh! Sio Mchezo Kipigo cha Yanga dhidi ya Tabora United cha bao 3-1 kimetumika darasani kama somo la kusoma kwa wanafunzi wanaojifunza Kiswahili. Soma, Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024 Katika video iliyosambaa, wanafunzi...
  14. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule ya Msingi Irunda (Sengerema - Mwanza) ina Wanafunzi 900 ila madawati yapo 60

    Kuna Shule ya Msingi Irunda ipo Kata ya Ngoma Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza inakabiliwa na upungufu wa madawati ambapo karibu nusu ya Wanafunzi hulazimika kusoma wakiwa wameketi sakafuni. Shule hiyo yenye Wanafunzi wapatao 900 ina madawati yasiyozidi 60, inapofika nyakati za Mitihani...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mlevi aua Wanafunzi Watatu wa UDOM, Mama mjamzito na bodaboda wawili Dodoma

    Mlevi mmoja akiendesha gari huku amelewa amewagonga na kuwaua Wanafunzi wa Tatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mama mjamzito na boda boda wawili maeneo ya Makulu opposite na ofisi za TISS na makutano ya Shoppers mkoani Dodoma, baada ya ajali wananchi nao walimshikisha adabu kidogo kwa kumpa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari Mangamba day wamfanyia umafia mwalimu wao kwa kisa ambacho hakina uthibitisho

    Ni ijumaa nyingine tena tukiwa tuna uanza mwezi mpya wa November. ALLAH atujalie kila lililo la Lessons from the stories Walimu acheni tamaa za muda mfupi hawa wanafunzi ni kweli wanavutia kwa macho ila jela sio nzuri na mwisho wa siku unapata aibu ww na familia yako Wivu umehusika hapa huyu...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanafunzi wa kike shule ya sekondari Thaqaafa Mwanza wanusurika Kubakwa

    Wanafunzi wakike shule ya Sekondari Thaqaafa iliyoko mkoa wa Mwanza , wilaya ya Nyamagana wamenusurika kubakwa baada ya vibaka watatu kuingia ndani ya bweni saa nane usiku. Wakiwa katika harakati za kumziba mdomo mmoja wa wanafunzi ili asipige kelele waanze kumbaka, ghafla mwanafunzi mwenzake...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanafunzi wa form 4 na wazazi, Form 5 na 6 ilishapitwa na wakati.Ni vizuri kuanza chuo mapema baada ya form 4 na hupanua zaidi goli la ajira

    Hasa kwa wale wenye malengo ya kuja kuajiriwa kwasababu ukweli mchungu wa mfumo wetu wa elimu yetu inaandaa zaidi wahitimu kuajiriwa serikalini, wachache sana wamevunja mwiko huu kwa kutumia elimu zao kujiajiri kwa hiari Ni kwanini form 6 ilitokea kuwa maarufu zaidi ? Hapo zamani nchi ilikuwa...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Nawasisitiza walezi na wanafunzi, Form 5 na 6 ilishapitwa na wakati, kuanza chuo baada ya form 4 ni maamuzi sahihi na hupanua zaidi goli la ajira

    moved jukwaa la elimu
  20. JamiiForums Tanzania Ufanyike uchunguzi kwa Wanafunzi wanaoandika matusi kwenye mitihani ya taifa

    Mhadhara - 51: Inaleta ukakasi kwa mwanafunzi mdogo (kiumri) anayefanya mitihani ya taifa ya kuhitimu elimu ya shule ya msingi kuandika matusi kwenye karatasi la majibu (Answer sheets). Napendekeza ufanyike uchunguzi kwa wanafunzi ambao wanaandika matusi, huenda nyuma ya hii tabia kuna watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…