wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania MOSHI:chakula cha wanafunzi chasombwa na magari kupelekwa shule,hii ni hatari

    Wazazi wa wanafunzi wanaosoma kwenye shule Moja ya mchepuo wa kiingereza iliyopo ndani ya manispaa ya Moshi (j'ina tunayo)wameingiwa na hofu kutokana na uongozi wa shule hiyo kuanzisha utaratibu wa kupika chakula cha mchana nje ya Shule hiyo na kukisomba kwa kutumia magari kupeleka shuleni hapo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Majengo ya Skuli ya Msingi Mchangamdogo - Pemba yanahatarisha usalama wa Walimu na Wanafunzi

    Nimepita katika mitaa ya karibu na ndugu zangu, nilichokiona kilinipa masikitiko, kuna baadhi ya majengo la Skuli ya Msingi Mchangamdogo iliyopo Wilaya wa Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba sio salama kwa matumizi. Wazazi pamoja na Walimu wa skuli hiyo wamekuwa wakilalamikia juu ubovu wa madarasa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mjadala Wenye Mapendekezo ya Uboreshaji wa Ufundishaji, Ujifunzaji na Uelewa wa Wanafunzi Wetu - Musoma Vijijini

    MUSOMA VIJIJINI, ELIMU: "THE DIALOGUE" - MJADALA WENYE MAPENDEKEZO YA UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI NA UELEWA WA WANAFUNZI WETU Tarehe: 25 - 27 Machi 2025 Wataalamu: 1. Dr Zabron Kengera, UDSM 2. Dr George Kahangwa, UDSM 3. Mr Japhet Makongo, Ubunifu Associates Washiriki...
  4. JamiiForums Tanzania KUNA MAONI GANI KUHUSU WANAFUNZI WA VETA KUPEWA MKOPO

    Mimi kwa mtazamo wangu wanafunzi wa VETA wapewe fedha za kujikimu na Ada pia . Wewe je?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kero ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi za afya, Ongezeni mikopo

    ๐’๐š๐ฅ๐š๐ฆ๐ฎ ๐ณ๐š ๐ก๐ž๐ฌ๐ก๐ข๐ฆ๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฃ๐š๐ฆ๐ข๐ข ๐ฐ๐จ๐ญ๐ž ๐•Ž๐•’๐•Ÿ๐•’๐•—๐•ฆ๐•Ÿ๐•ซ๐•š ๐•จ๐•–๐•Ÿ๐•˜๐•š ๐•จ๐•’ ๐•ž๐•จ๐•’๐•œ๐•’ ๐•จ๐•’ ๐•œ๐•จ๐•’๐•Ÿ๐•ซ๐•’, ๐•™๐•’๐•ค๐•’ ๐•จ๐•’๐•๐•– ๐•จ๐•’ ๐•œ๐• ๐•ซ๐•š ๐•ซ๐•’ ๐•’๐•—๐•ช๐•’, ๐•ฅ๐•ฆ๐•Ÿ๐•’๐•ก๐•’๐•ฅ๐•’ ๐•”๐•™๐•’๐•Ÿ๐•˜๐•’๐•ž๐• ๐•ฅ๐•  ๐•œ๐•ฆ๐•“๐•จ๐•’ ๐•œ๐•’๐•ฅ๐•š๐•œ๐•’ ๐•œ๐•ฆ๐•๐•š๐•ก๐•š๐•’ ๐•’๐••๐•’ ๐•ซ๐•–๐•ฅ๐•ฆ. โ„๐•š๐•š ๐•Ÿ๐•š ๐•œ๐•จ๐•’ ๐•ค๐•’๐•“๐•’๐•“๐•ฆ ๐•ž๐•š๐•œ๐• ๐•ก๐•  ๐•ช๐•’ ๐•ค๐•–๐•ฃ๐•š๐•œ๐•’๐•๐•š ๐•™๐•’๐•š๐•ฅ๐• ๐•ค๐•™๐•š ๐•œ๐•ฆ๐•—๐•š๐••๐•š๐•’ ๐•ž๐•’๐•™๐•š๐•ฅ๐•’๐•›๐•š ๐•ช๐• ๐•ฅ๐•– ๐•ช๐•’ ๐•–๐•๐•š๐•ž๐•ฆ. โ„๐•’๐•ฅ๐•’ ๐•ฅ๐•ฆ๐•Ÿ๐•’๐•ก๐• ๐•ก๐• ๐•œ๐•–๐•’ ๐•ก๐• ๐•ค๐•™๐•  (๐•“๐• ๐• ๐•ž), ๐•š๐•Ÿ๐•’๐•œ๐•ฆ๐•จ๐•’ ๐•™๐•’๐•š๐•ฅ๐• ๐•ค๐•™๐•š ๐•œ๐•ฆ๐•ฅ๐•ฆ๐•Ÿ๐•š๐•ค๐•™๐•’ ๐•ž๐•’๐•™๐•š๐•ฅ๐•’๐•›๐•š...
  6. JamiiForums Tanzania SHULE NA WANAFUNZI BORA WATAMBULIWE NA WATANGAZWE

    Anayefanya vizuri lazima apongezwe na atambuliwe, haiwezekani mtoto amefanya vizuri mpaka kufikia kuwa Tanzania One lakini hatambuliwi na kupewa heshima yake, vilevile kwa shule zinazofanya vizuri zaidi. Kama kuna kasoro na mapungufu, mamlaka husika ziyafanyie kazi na sio kuondoa utaratibu wa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kagera: Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wamshukuru Rais Samia kutenga bilioni nne ujenzi shule ya wasichana

    Wakuu uchawa unapandikizwa kwa nguvu mpaka kwa wanafunzi, hizi kauli za mitano tena kwa hawa watoto na za kumezeshwa na watu wasiojitambua. ==== Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera...
  8. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo na application ya AI ya chatGPT! Watoto wetu siku hizi hawafikirii kabisa!

    Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kufelishwa kwa wanafunzi wa Utabibu TCOHAS - Tabora

    Wanafunzi wa chuo cha afya na sayansi shirikiri Tabora, wamekuwa wakipitia changamoto ya kupewa matokeo yasiyo sahihi kwa muda mrefu sasa, hali ambayo imepelekea wengine kupewa barua za kusitishiwa kuendelea na masomo (DICO), wakifuatilia matokeo yao wanaambiwa hawakufeli bali walikuwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Kitendo cha kugeuza elimu kuwa biashara, ni mateso kwa wazazi/walezi na wanafunzi.

    Asikwambie mtu watu wanataka A's na hela tu mengine mtajua wenyewe wazazi 1. watoto wanakalishwa madarasani kama wafungwa 2. wanakaririshwa midude hadi wanachanganyikiwa 3. watoto hawako huru, hawajifunzi vitu vya ziada nje ya masomo 4. wazazi wanteseka na ada ada ada hadi wanachanganyikiwa 5...
  11. JamiiForums Tanzania Mwalimu Yufresh kipenzi cha wanafunzi

    Huyu jamaa kanikumbusha mbali mno. Tunahitaji waalimu kama hawa. Mwanafunzi haboreki na masomo. Anatamani kukuche aende shule. Big up kwake. https://youtube.com/shorts/smNPZVl8nGE?si=8C3e38CLNc5pW4Va
  12. JamiiForums Tanzania Polisi watoa msaada kwa wanafunzi wenye ulemavu Arusha

    Jeshi la Polisi la Mkoa wa Arusha kupitia mtandao wa Polisi Wanawake limetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye ulemavu wanaosoma katika kituo cha Mafunzo kwa Watu wenye ulemavu kilichopo wilaya ya Arumeru mkoani humo. Mwenyekiti wa mtandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Arusha (TPF NET)...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali imekamilisha ujenzi wa shule ya sekondari, Wanafunzi wamezeshwa script iliyowasaliti kumsifia Rais Samia

    Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya kata ya Hinju, halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea shule ya kisasa ya kata, iliyogharimu zaidi ya shilingi Milioni 560. Kwa kipindi kirefu wanafunzi wa kata hiyo, wamepitia mateso ya kutembea umbali umrefu kwenda...
  14. JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali ina mpango gani na shule hii chakavu, yenye mwalimu mmoja na wanafunzi zaidi ya 90?

    Wananchi wa kitongoji cha Kwaduria wilayani Chemba, mkoani Dodoma wamelazimika kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kunusuru watoto wao ambao wanatembea umbali wa km 8 kwenda shule ya msingi Songolo
  15. JamiiForums Tanzania Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa mafunzo ya uwekezaji kwa wanafunzi UDOM ili waweze kujiajiri. Mafunzo kama haya ni vema yaambatane na uweze

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Gilead John Teri, amewahimiza wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya biashara na uwekezaji ili waweze kujiajiri mapema hata kabla ya kuingia rasmi kwenye soko la ajira. Amesisitiza hayo Februari 28...
  16. JamiiForums Tanzania Mtwara: Wanafunzi 74 wa shule mpya ya sekondari walazimika kuanza masomo bila sare ili kuendana na ratiba

    Uongozi wa shule ya sekondari ya Kiyanga halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, umelazimika kuanza masomo na wanafunzi 74 wa kidato cha kwanza wasiokuwa na sare, ili kuendana na ratiba za masomo. Mkuu wa shule hiyo Vagrey Kidava, amesema shule yao ni mpya na imefunguliwa Februari 10, 2025...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Geita: CCM yawanunulia wanafunzi TV kwa ajili ya kufuatilia yanayofanywa na Rais Samia ili yawasaidie katika masomo yao

    Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Nyangโ€™hwale iliyopo wilayani humo Mkoani Geita wamekabidhiwa Runinga pamoja na Kisimbuzi kwa ajili ya kufatilia maendeleo ya Miradi inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan. Makabidhiano hayo yamekuja baada ya Mwenyekiti...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa shule za msingi na chekechea wasogezewe mbele masaa ya kuanza masomo.

    Ni Asubui ya saa 12 naelekea zangu kituo cha daladala ili niwai kazini,pembezoni mwa barabara naona watoto wawili wa kike wamesinzia na kulaliana.Mdogo kamlalia mkubwa mapajani,mkubwa kajiegemeza kwenye ukuta.Niliwafikia nikamuona mdogo kavaa sare za shule ila mkubwa kavaa nguo za nyumbani na...
  19. JamiiForums Tanzania UDOM yatoa ufafanuzi wa madai ya Wanafunzi 400 kuondolewa masomoni, wasema walidukua mfumo na kuchezea matokeo ya mitihani

    TAARIFA SAHIHI KUHUSU TUHUMA ZA WANAFUNZI 400 WANAODAIWA KUONDOLEWA MASOMONI Kusoma taarifa ya awali, bofya hapa ~ Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Kuna Nini? Wanafunzi zaidi ya 400 wame disqualify Chuo Kikuu cha Dodoma kimepitia taarifa zinazosambazwa mitandaoni za madai zenye madai ya wanafunzi 400...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ateta na wanafunzi wa Diplomasia Hungary

    Waziri Kombo ateta na wanafunzi wa Diplomasia Hungary Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Chuo cha Diplomasia cha Hungary na kutoa mhadhara kwa wanafunzi wa Chuo hicho kuhusu Sera ya Mambo ya Nje na mchango wa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ