Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka...
Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.
Ndani ya chama kila mtu...
Wakuu,
Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla, anakuua, inakuwa ni...
MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K
https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk
Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa
Misaada mfano โฌ160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...
Chama kinawatakia kila la heri waliokuwa viongozi na wanachama waliotangaza kujiondoa leo. Tunatambua na kuthamini mchango wao katika kipindi walichokuwa nasi."
"Chama kitaendelea kusimamia misingi yake na kuwatumikia wanachama waliobaki kwa kuendeleza juhudi za kujenga taifa letu. Milango ya...
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Kanda ya Victoria kimesema kipo imara na hakiwezi kuyumba kwani viongozi na wanachama waliohama hivi karibuni kwao ni kama makapi tu
Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria Zacharia Obadi amesema viongozi hao walikuwa na makosa ya usaliti na kwamba...
Tunapoelekea sio pazuri kwa mwenendo wenu sasa.
Sasa mnaingia mitaani kufatilia watu kama wewe sio mwana ccm kukuwekea hatari.
Wameanza kulazimisha watu kuwa wanachama kwa kuwadanganya watu wasipokuwa na kadi ya ccm hawata kuwa kwenye daftari la uchaguzi.
Wanachama 44 wa CCM na CUF katika Kijiji cha Namiungo Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamejiunga na Chama cha ACT Wazalendo mbele ya Katibu Mkuu wa chama hicho Ado Shaibu jana tarehe 1 Mei 2025.
Wakizungumza baada ya kujiunga na chama hicho wamesema kuwa wamevutiwa na uzalendo wa Ado Shaibu...
Hivi inakuwaje leo wale walikuwa wanajiasibu kwa mbwembwe za kuleta upinzani, ndio wanaokiita G55. Wanatoka wapi?? Dhamira yao ni ipi?? Si uchaguzi uliisha?
Ni aibu sana kupingana viongozi wa Chadema kwa maslahi ya matumbo yenu. Hata huko mtakapohamia G55 hamtakuwa na Audacity ya kuleta...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kusini kimesemea viongozi wake watatu, mwimbaji nyimbo za chama na wanachama wawili wameshikiliwa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Songea Mjini.
Taarifa ya awali iliyotolewa leo Aprili 21,2025 na CHADEMA makao makuu, imewataja viongozi hao kuwa...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Joketi Mwegelo amepokea baadhi ya Vijana kutoka vyama vya upinzani na kujiunga na Chama cha Mapinduzi kwenye Uzinduzi wa #samiafirsttimevoters kwenye Ukumbi wa Mikutano JNICC Posta Dar es Salaam
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Uongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu
Mwekezaji mkuu Mo mwenye 49% ameweka 20 billions ( hewa) miaka 10 haijawahi kuingiza kwenye account
Muuza jersey J Rutty...
CHADEMA kimeomba muda wa siku 21 kujibu hoja za kisheria zilizowasilishwa Mahakamani na Saidi Issa Mohammed na wenzake watatu, waliowasilisha kesi Mahakama Kuu ya Tanzania, wakitaka Mahakama isimamishe shughuli zote za kisiasa za chama hicho hadi shauri lao la msingi litakaposikilizwa.
Kuhusu...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amewataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono katika kuhakikisha yanafanyika mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ili kufanya siasa safi na kushiriki uchaguzi ambao watapatikana viongozi bora na watakaoleta mabadiliko kwa...
Moja ya mambo ambayo ccm waga haivumilii ni kuona mwanachama anakengeuka na kwenda kinyume na makubaliano ya chama, ni mwanachama kuondoka mwenyewe kwenye chama au kufukuzwa uanachama.
Makala kwa kujua weakness ya CHADEMA na kutokana na boko lake la ebola, sasa wanataka kutumia baadhi ya makada...
Viongozi wa Klabu ya Yanga SC wamehitimisha kikao chao na serikali kilichofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu kuhusu hatma ya dabi ya Kariakoo.
Baada ya kikao, Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, aliwahakikishia wanachama kuwa uongozi wa klabu...
Wazee na Wanachama wa Simba wa Matawi mbalimbali Jijini Dar es salam, wamefanya Mkutano na Waandishi wa habari kuzungumzia sakata la kuahirishwa kwa Mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga uliokuwa uchezwe Machi 8 mwaka huu.