wana ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Denning

    Kwa kiwango cha Upumbavu kilichopo kwa wana CCM sasa, ni lazima litokee jambo zito dhidi yao kuwafanya Wajifunze maana ya Utawala Bora.

    Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji. Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo; 1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
  2. Kimbesa11

    Watanzania na Wana CCM wote tujaze Ile form ya Tume ya uchunguzi inaeleweka vizuri sana

    Tumetoka kujaza Ile form ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya tar. 29 Tumeijaza kabla hatujatawanyika kwenda kwenye majukumu ya kujitafutia riziki hii form siyo ngumu inaeleweka watanzania tujaze. Unaweza ukajaza hata ukiwa kwenye boda Wana CCM na watu wa vyama vyote tujaze Ile form inaeleweka...
  3. Fbn

    Kihoro kipo wana CCM kinawafata na wasanii wenu

    Unajua asilimia kubwa wengi tumezoea kuona mambo mengine kwenye jamii. Ila kihoro kipo tena kwa sasa kina wakumba watu ambao hawa kutegemea kuwa watafika hapo. Kihoro ni yale matendo uliyofanya au kuzania wewe ni bora mwisho wa siku unajikuta wewe sio bora na kukuacha umeshikwa mdomo wazi na...
  4. Mudawote

    D09122025 wana CCM tunaunga Mkono 💯

    GTs, Wananzuoni, Great thinkers, eleweni adui yetu pamoja ni huyu mwenyekit wetu ambaye hakuchaguliwa na wala hakupigiwa kura na kamati kuu, hivyo hata sisi wana CCM hatumtambui na kura hatukumpigia kabisa. Tunaomba tuelewane sisi siyo adui wa watanzania na wala siyo adui wa GEN Z, bali...
  5. BLACK MOVEMENT

    Kama kuna wana CCM wenye akili huu ni wakati wa kukimbia meli inayozama

    Sijui kama ndani ya CCCM kuna wanao jitambua na wanao weza soma alama za nyakati. Huu ni wakati wa kukimbia meli inayo zama. Hakuna namna tena CCM inaweza nyanyuka, hakuna namna, nazania wana uoga sana ila ukweli ni kwwmba CCM haiwezi nyanyuka kamwe.
  6. Carlos The Jackal

    Orodha ya Wana CCM na Viongozi wa Serikali na Wastaafu na Machawa ambao Kamwe Hawatasamehewa Leo au Kesho Kwa namna yoyote Ile !!

    Hii hata hao TEC au Shura ya Maimamu , Wasomi ,Taasisi mbalimbali hawataruhusiwa kuingilia Au kujaribu kushawishi Maamuzi ya Wananchi. Wameua Ndugu zetu Maelfu , Wameteka Kila sauti iliyosimamia Haki, hakika Hawa ni watanzania ambao HATUTAWASAMEHE. Jakaya Kikwete na Familia yake. Rostam Aziz...
  7. A

    Ni kauli ngapi za Wana CCM au uvccm zinazo ongelea au kuhamasisha uvunjifu wa Sheria na hatua hazichukuliwi

    Ningependa kuwa uliza Polisiccm na Waendesha mashtaka, kuna kauli ngapi za Wana CCM na uvccm ambazo zinaingelea uvunjifu wa Amani na Sheria lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa dhidi yao
  8. Chizi Maarifa

    Wana CCM wenzangu tutulieni kwanza tupewe Mwongozo namna ya kumjibu Polepole. Tunaruka na kukanyagana wenyewe

    Wana CCM wenzangu tutulieni kwanza tupewe Mwongozo namna ya kumjibu Polepole. Tunaruka na kukanyagana wenyewe. Jamaa ameharibu sana. Sasa tusikurupuke tu tunazidi kujidhalilisha. Tunaonekana vilaza. Simu zinapigwa kuwaomba watu wa IT wajaribu kutupa maelekezo ya kulifukia hili. Ninyi vilaza...
  9. R

    GE2025 Askofu Gwajima: Ikiwa unapingwa na wanaCCM, waakristo, familia za waliotekwa, waliokatwa, wafuasi wa Lissu, utashindaje uchaguzi?

    Salaam! Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa! Swali Hilo hapo juu limeambatana na swali lingine kuwa, ikiwa unazo njia zingine za kushinda uchaguzi bila hayo makundi,( wizi wa kura), Je utatawala vipi nchi ambayo imegawanyika? Kwa ufupi...
  10. Mindyou

    GE2025 Wana CCM Kondoa Vijijini wataka mchakato wa kura za maoni urudiwe

    Wanachama wa CCM Kata za Bereko na Kisese, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma, wameuomba Uongozi wa CCM Taifa, kurudia kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani na Ubunge wa Jimbo la Kondoa Vijijini, wakidai uchaguzi huo uligubikwa na vitendo vya rushwa ili kutoa fursa kwa wananchi kupata kiongozi bora...
  11. Mganguzi

    Duniani kote vilabu vya soka havijihusishi na siasa. Inakuwaje Yanga wajihusishe na CCM moja kwa moja? Sisi ambao sio wana CCM tuhame timu?

    Usiku wa Jana nimeona viongozi wa Yanga wakiwa kwenye harambee ya ccm na kuihusisha yangu kama taasisi na kutoa million mia kuichangia CCM!! Swali langu ni lini club za soka duniani zilionekana wazi wazi zikijihusisha na vyama vya kisiasa kote ulimwenguni? Au Manchester united, Aston villa...
  12. Knock life

    Kikwete aliwahi kusema kuwa wana Ccm hawaachiani maji ya kunywa, kwahiyo kama Kuna watu hamkuelewa mtaelewa kwa njia ngumu

    Wana Ccm hawaachiani maji , kauli hii aliitoa kikwete .
  13. M

    Je, ni kweli wana CCM mnauhakika Chadema Imekufa? Basi ruhusuni mkitano yao na mmfungulie Lissu

    Ni wajinga tu ndio wenye kuamini Chadema itakufa! Chadema ni kama Imani iliyowaingia wananchi damuni Iko hivi, hata sasa, Jina tu la Tundu Lissu liwekwe kwenye karatasi za wagombea akiwa huko huko jela, kuna mtu atapigwa K.O
  14. Mshana Jr

    GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

    Chama kimekatika na hakuna wa kukemea. Tararibu zimekiukwa kila mahali Kuna uwezekano wa watu zaidi kuumizwa na mali zaidi kuharibiwa.
  15. Pascal Mayalla

    Pongezi CCM Kubadili Katiba Kuwatendea Haki Wana CCM, Nini Kilishindikana Kubadili Katiba ya JMT Kuwatendea Haki Watanzania?. Je Huu ni Uzalendo?

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo Leo naomba nianze makala yangu kwa mafunzo ya dini yangu, yanayosema mchungaji mwema, mwenye kondoo 100, kondoo mmoja akapotea, atawaacha wale kondoo 99, kwenda kumtafuta yule kondoo mmoja aliyepotea, na itakuwa furaha...
  16. P

    Wana CCM tutegemee nini marekebisho ya katiba ya chama?

    Kwa ufupi kabisa niseme: Ngoja tuone. Kumbe lolote linawezekana.
  17. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa ameandika kwenye mtandao wa X kuwa Wana CCM wanapitia wakati mgumu

  18. Genius Man

    Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katika ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda

    Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katiba ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda. Nilimsikia samia anasema katiba ni kajitabu tu baada ya kupata madaraka kupitia katiba hiyo hiyo. Ni wazi katiba haina maana tena hapana tunaitaji mabadiliko. Tunahitaji...
  19. SSH2025_2030

    Wana CCM tusisikilize chochote hata kama tulikosea, Mgombea wetu ni mmoja tu

    1 Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite 2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa. Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
  20. PLOII

    Wana ccm ni muda wa kuamka kupambania chama hizi surprise za watu kupewa nafasi out of nowhere big no

    Hello wana Jamii, Niende kwenye Mada/ Kero. Nauliza maswali Kwa hawa viongozi wetu wa Chama hivi Wana- CCM mnawachukuliaje ? Kuna watu wanakula Upinzani wakiona hakuna Maisha wanakimbilia CCM na inaonekana wana bahati Sana kuliko Wana CCM wenyewe maana wakifika wanapewa vyeo na nafasi za...
Back
Top Bottom