walokole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Walokole hapa ndipo tunapokwama!

    Hatujasema maombi sio muhimu! Maombi ni ya kiroho! Lakini roho iko ndani ya mwili! Na mwili una mahitaji yake kama chakula, mavazi, na malazi! Ebu tuwe na busara!
  2. JamiiForums Tanzania Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

    Nawasalimu wote. Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU. Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni akihubiri injili, Wayahudi hawakupendezwa sana wakisema anakufuru na kupelekea kumsulubisha msalabani...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Uaminifu ndio ishara ya kumpenda Yesu

    Ujumbe wenu leo
  4. JamiiForums Tanzania Somo la ki-islamu lazua sintofahamu, Je, Sabato, Katoliki na walokole Imani inafanana?

    Kitendo cha serikali kuweka Somo la DIVINITY kwa wakristo wote ni kuwakosea wakristo,>imani zao ni tofauti sana, wapo wanao abudu sanamu, wapo wanao heshimu sanamu, wapo wakristo wnaopinga kuabudu na kuheshimu sanamu. Wapo wanao amini roho mtakatifu na wapo wanaokataa kabisa, wapo wanaosali...
  5. JamiiForums Tanzania KKKT, Walokole je, ni sawa kwa mwanamke alie kwenye hedhi kuendesha ibada?

    Hapo zamani KKKT hawakuruhusu ila nadhani walianza kuiga kwa Walokole. Je, kwa mwanamke alie kwenye mzunguko, ni sawa kuendesha ibada takatifu? Ni kinyume hata kwa agano jipya kitabu cha 1Timotheo 2 inayohusu maagizo ya utaratibu wa ibada. 1 Timotheo 2:12 >> "Simruhusu mwanamke yeyote...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi walokole mna shida gani?

    Katika dhehebu linastahili kufutwa ni walokole, mtu umekaa unafurahi zako mkeka umetiki anatokea mlokole anakuambia hiyo furaha unayofurahia bila kuokoka ni kazi bure. Muda huu nipo kazini nasalimiana na mfanyakazi mwenzangu anatokea mlokole anamwambia mfanyakazi mwenzangu asichangamane na watu...
  7. JamiiForums Tanzania Swali: Hivi walokole wa karne ya 21, mnatongozaje wanawake siku hizi?

    Enyi Wana WA Nuruni Naomba mje mnisaidie hii kitu Kwani skuhizi walokole mnatongozaje dada zenu waliookoka? Maana me nimetongozwaga zamani, Zamani ilikuwa ukimpenda mpendwa, unamwambia Mzee WA kanisa, anaenda Kuongea na dada, akikubali, anarudishwa jibu ndio mnakutana Kwa Mzee WA kanisa...
  8. JamiiForums Tanzania Cheki walokole walichofanya hapa

  9. JamiiForums Tanzania Yakitokea mashindano kati ya wachawi konki na walokole konki, ni wepi watashinda?

    Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine. Wachawi wamvimbishe tumbo FaizaFoxy au wamkate kichwa Lucas mwashambwa , au wampige busha THE BIG...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Anthony Lusekelo anayeamini ana tiketi ya mbinguni tayari pamoja na wanaojiita walokole

    PAPA FRANCIS ALISEMA: "Fikiria mama asiye na mume anayeenda kanisani au parokiani, na kumwambia katibu: NATAKA KUBATIZA MWANANGU, na mhudumu anasema: 'Hapana, huwezi, kwa sababu hajaolewa..." Tukumbuke kwamba. Mama huyu alikuwa na ujasiri wa kuendelea na ujauzito - na ni kitu gani kilichompata...
  11. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  12. JamiiForums Tanzania Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2019 nilikua kwenye research binafsi ya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Nimefanya mahojiano na watu wa fani hii,kuanzia watu wa kawaida mpaka viongozi wa fani hii katika nyanja mbalimbali. Mambo yasiyoonekana kwa macho,watu wanaita""UCHAWI""na ni fani...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Walokole nani kawaambia mwanamke akivaa suruali anaenda motoni?

    Kuna mambo yanastaajabisha. Siku moja nipo kwenye daladala kuna mlokole akawa kapanda akaanza kuhubiri. Katika mahubiri yale akasema mwanamke kuvaa suruali ni dhambi. Nikajiuliza maandiko gani hayo yamesema hivyo wakati suruali zimekuja kugunduliwa majuzi tu? Pili, nikajiuliza mbona watu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Walokole wenzangu, kutumia mitishamba sio uganga

    Tumepewa roho na mwili, kwahiyo usiishi kiroho zaidi ukasahau kuwa una mwili, unatakiwa kubalance vitu hivi viwili. Si mara moja, si mara mbili, walokole wengi wako radhi AfE kuliko kutafuna mzizi, hao hao ukiwapa vidonge wanashukuru. Sio kwa ubora wa dawa za kizungu bali baadhi yetu wanaamini...
  15. JamiiForums Tanzania Walokole wanautia aibu Ukristo

    Ukristò ni dini ya watu wasomi, wagunduzi, wana sayansi, matabibu, wana anga za juu nk. Sasa siku za karibuni limeibuka kundi la watu wasiofikiria, wasio hoji, wenye ufinyu wa fikra, wenye kupelekeshwa kibwege kabisa na wahuni wanaojiita mitume na manabii. Nabii akisema leo kamnyime mumeo...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuna uwezo wa kiimani (dini) unaoweza kumbadilisha mtu na uraibu wa kitu fulani?

    Asalaam, Bwana asifiwe... Niende kwenye mada inayonichanganya saana hasa kipindi hiki. Nahitaji shughuda wa KWELI kutoka dini zote atakae zungumza ukweli pasipo uoga wa nafsi yake katika imani yake... Ni hivi je ni kweli kuna uwezo wa kiimani (dini) unaoweza kumbadilisha mtu tabia (addiction)...
  17. JamiiForums Tanzania "Mungu anaangalia roho haangalii mavazi" ni kauli inayohamasisha mmomonyoko wa maadili. Wakristo tuwe na msimamo juu ya mavazi kanisani

    NB: mods nawaomben msihamishe huu uzi jukwaa,kuuedit,au kutoa kipande chochote kile, kwa niloandika, Kuna funzo kubwa sana hapa kuzuia kasi ya mmomoo wa maadili (Moral Decay) ambao unazidi kumea. Ni jukumu letu kama wakristo kujaribu kukumbusha waumini juu ya wajibu wao kuvaa mavazi...
  18. JamiiForums Tanzania Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

    Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu. misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya...
  19. JamiiForums Tanzania Waislamu na walokole punguze kidogo unafiki

    Hellow Mimi huwa na chukizwa sana na baadhi ya watu ambao wanapenda sana kujiona bora kuliko wengine especial waislamu na walokole Waislam wao wanajiona wapo sahihi kwa asilimia 100 na wengine ni watenda dhambi hua nachukizwa sana Unakuta mtu anasema huyo ni najisi mala amelaaniwa nani...
  20. JamiiForums Tanzania Sababu za kimaandiko kwanini baadhi ya waislamu wanao miliki nyumba Magomeni Na Ilala huwa hawapangishi wakiristu ( Hasa Hasa walokole)

    Nimetaja Magomeni Na Ilala kwa Sababu almost 90 percent of my extended family live there. Awali ya yote naomba Ku declare interest. I am a Muslim but an open minded one . Am a kind of Muslim who can listen to Jim Reeves or Boney M bila wasiwasi wowote. Na HII ni Kwa Sababu licha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…