Katika heka heka za kupunguza gharama za uendeshaji wa harusi, kuna hii budget ya videography. Hii sekta inaongeza sana gharama na inaweza kufika Mil 2-3 kizembe sana.
Mara nyingi ukienda kwenye harusi utaona TV kadhaa zinaonesha live, macamera man kadhaa, drones na mataa ya picha. Hao ndigo...
1.Kunyimwa tendo la ndoa.
2.Kauli mbaya kutoka kwa mke ,
3.Dharau kutoka kwa mke ;
4.Mwanamke kushindwa majukumu yake ya msingi usafi.
4.Matumizi mabovu ya fedha na rasilimali nyingine.
5.Mwanamke kuwa mchafu.
6.Mwanamke kuwa na bond kubwa na familia aliyotoka.
7.Mwanamke kukosa maono na mipango...
Habari zenu wakuu, naomba kupata dokezo ni changamoto zipi mlikutananazo kwa wale waliooa mabinti waliolelewa ma mzazi mmoja? Hasa mama pekee baada ya ndoa ya wazazi wake kuvunjika au kuoa wanawake wengine (polygamy)
Habari...
Nyie Wanaume ambao hamjaoa uwe umepanga au unaishi kwenu hasa wenye umri kuanzia 30-47 tabia ya kuwatembele marafiki zenu waliooa bila taarifa huku mmevaa pajama mnamuonesha shemeji yenu hayo mapaja iliiweje?
Halafu mchana kutwa mnakuwa wapi hadi mnasubiri kagiza kaingie ndo...
Hbr wana JF,
Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua...
Hakikisha kila siku unaipiga sana. Inasaidia sana kuweka akili sawa. Sio unakuja kazini umekunja ndita. Makasiriko kazini hatutaki. Behave & fulfill your kuipiga responsibility.
Wazee wetu walioipiga sana waliishi umri mrefu.
Mada hii haiwahusu mabachala hasa wale timu kataa ndoa.
Uzi au...
Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka mitatu iliopita nadhani ni diploma ya uwalimu ila bado hajeajiriwa sasa huyu mwanamke nifull jeuri...
Habari, wajf. Kichwa habari kinaeleza.
1. Mimi kuosha vyombo. Hili tu.
Wewe je ni jambo gani Hilo mpaka linafanya umkumbuke Mkeo sio mchepuko hapa nazungumzia WIFE MATERIAL. Tiririka
Tayari nimeshafanya maamuzi. Lazima nifanye maombi maalum kwa wenzetu waliooa wanawake kutoka kwenye makundi yafuatayo;
1. Wanawake ambao ni makada kindakindaki wa vyama vya siasa hasa CCM na CHADEMA. Ambao hawapitwi na matukio ya chama ya ndani na nje ya mkoa wake.
2. Wanawake wote wenye...
Wadau wangu leo naongea nawaheshimiwa fulani wanaojidai wamezaliwa na wamama wakwe na wake zao.
Iwafikie woteee ambao hawajawatumia mama zao pesa za matumizi tokea wawe nafamilia iwafikie wakaka wote ambao hawawatumii mama zao hela ya matumizi.
Tumeenda leo kidogo kuwasalimu watoto na wazee...
Oya, hivi kwa week inatakiwa kugegedana mara ngapi coz naona wife anataka kunifanya kuwa sex machine yake? Yaani kila akigeuka tu anataka mpini hajui kuwa me nakuwa nimechoka sometimes.
Nifanyaje ili kumpunguza speed?
Heshima kwenu ndugu zangu.
Jambo likikukuta mshirikishe mwingine mwenye uzoefu, na mficha maradhi kifo humuumbua.
Naamini humu wapo wengi wenye ndoa na wazoefu wa changamoto mbali mbali,
Nimekaa nikatafakari sana nikaona bora nilete huku jambo langu hili ili nipate mawazo mapya.
Nimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.