walinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Walinzi wamuua Mwanafunzi wa kiume baada ya kumkuta bwenini kwa wanafunzi wa kike

    Walinzi watatu wa Shule ya upili ya Wasichana ya Komothai Nchini Kenya wamekamatwa kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa kiume wa Shule nyingine jirani ya Wavulana aliyekutwa kwenye Bweni la Wasichana la Shule hiyo saa kumi alfajiri wiki iliyopita. Taarifa ya leo imesema Walinzi hao Joseph Mutahi...
  2. JamiiForums Tanzania Connor McGregor afanya vituko hadharani Rome kwa kuzunguka na walinzi wenye miili mikubwa mmoja akimbebea wine kwenye glass

    Ni yule bondia mixed martial arts.
  3. JamiiForums Tanzania Asante Mh. Jaji Siyami kwa kuwaumbua CHADEMA; wanampa Mbowe tu maji na kuwanyima walinzi wake huku wakiwa wamejazana mahakamani

    Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine. Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? Wapeni Maji wanywe, Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote. Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: kama hawa ndio walinzi wa Mbowe na wamejaa hivi; wale webamba wale aliwatakia nini?

    Picha ya juu- walinzi wa siku zote picha ya chini walinzi wa KAZI MAALUM
  5. JamiiForums Tanzania Hofu Kigamboni: Adaiwa kuua walinzi wawili na kujeruhi wengine kwa kuwagonga kwa Lori baada ya kushindwa kesi ya madai

    Habari Wadau ,hivi Sasa nimepitia maeneo ya Kigamboni Tungi kwenye Round about kuelekea Darajani,Kibada na Feri kwa mbele kidogo Kuna Kituo Cha mafuta. Nimekuta Kuna zogo kubwa la watu,kutahamaki ni milio ya Risasi na watu wanakimbia hovyo. Sijajua chanzo rasmi ni Nini,japo wengi wanasema kile...
  6. JamiiForums Tanzania Kwani, Walinzi wa Mbowe si walikamatwa na Sabaya mwenyewe? Inafikirisha sana

    Kuna mambo ya ajabu sana ndani ya taifa hili, hivi bado kuna la kujiuliza kuhusu walinzi wa Mbowe ambao tunaambiwa nao wana tuhuma ya kesi ya Ugaidi? Si ndio huyu huyu Sabaya wanaosema kwamba alikuwa anataka kuuawa na ndio yeye aliwakamata? Yaani Sabaya huyu huyu akakamate waliotaka kumuua na...
  7. JamiiForums Tanzania Ongezeko la vijana wadogo walinzi, hii inaleta picha gani kwenye jamii?

    Habari wakuu. Nimejikuta natafakari sana, kwenye nchi hii tajiri kama wanavotuaminisha viongozi wetu na maendeleo ya technology lakini Sikh hizi kunaongezeko la vijana wadogo wanaofanya kazi ya ulinzi. Wengi wao ni kuanzia miaka 22 wasichana na wavulana, wengine ni wahitimu Wa form four, six...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…