walimu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Serikali kuhusu Walimu

    Waraka kwa serikali kuhusu waalimu, serikali iwajali walimu. Ni muda sasa umepita kukiwa na manung'uniko kwa walimu katika nyanja nyingi zinazohusu maslahi yao ikiwemo mishahara yao, stahiki zao na kunyima haki na kuonewa na kuchukuliwa kama watu wa shida na kila kiongozi. Kuna haja serikali...
  2. JamiiForums Tanzania Walimu wa masomo ya ziada nyumbani (private home tutors)

  3. JamiiForums Tanzania Walimu wa masomo ya ziada nyumbani

  4. JamiiForums Tanzania Napendekeza serikali ifunge projector madarasa yote shule za msingi badala ya kuajiri walimu, hii itasaidia kuokoa takriban trillion 3 Kwa mwaka

    Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu. kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho wanachokifundisha hawakijui. Yaani mwalimu kabisa wa hesabu wa shule ya msingi unamuuliza...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wenye degree wasiwe walimu tu shule za msingi au Sekondari?

    Tuna vijana wengi wako wanasubiri viti vya kuzunguka na wako na Elimu zao ila ajira hakuna. Na waliomaliza 4 wakaenda chuo 2 years wako na kazi wanazidi kula shavu. Mwenye degree anaona upuuzi kuwa Mwalimu, vijana elimu zenu ziko na maana gani sasa - ni wazo lakini.
  6. JamiiForums Tanzania Walimu wa shule za awali na shule za msingi pamoja na wazazi kwa ujumla

    Nawasalimia Kuna jambo leo limeniumiza mno moyo na kichwa changu kwa mawazo Kisa kipo hivi Leo kwetu huku ni mvua tangu jana usiku, kulipokucha nilimwandaa mwanangu kwenda shule, sio mbali na eneo tunaloishi. Baada ya kuona muda unaenda mtoto harudi ndio nikakumbuka mvua imesababisha...
  7. JamiiForums Tanzania Walimu/ lecturer wa kiume ndo chazo cha kuharibika kwa mtoto wa kike shuleni/chuo

    Hope ni wazima Wana Jf Katika kila kundi la wanawake 10,lazima ukute wanawake 5 au 6 washawahi kufanyiwa sexual abuse na walimu wa kiume,Kuna shule sitaitaja nilisoma o level Kuna teacher wa English na alikuwa second master alikuwa na michezo michafu anakuita ofisini kwake Mara akushike shike...
  8. JamiiForums Tanzania Sarakasi za Deus Seif na Abubakari Alawi kukisambaratisha Chama cha Walimu Tanzania

    Watajwa hapo juu, Deus Seif aliyekuwa Katibu Mkuu wa CWT na Abubakari Alawi aliyekuwa mwekahazina wa taifa wa CWT mnamo tarehe 28 Juni 2022 walitiwa hatiani na mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la uhujumu uchumi, Uchepushaji wa fedha za walimu na matumizi mabaya ya madaraka. Katika hali...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Moshi: Afisa Elimu wa Manispaa kumuweka LOCKUP mwalimu, walimu kuanza mgomo baridi tar 11.4.2023 kutokufundisha hadi Ngonyani ahamishwe

    Shule Za msingi Tanzania zinafunguliwa Kesho Tar 11.4.2023 kwa kilio baada ya walimu wasio pungua 760 Moshi Manispaa kutangaza mgomo baridi wa kutokufundisha . Hii ni KUTOKANA na mwezao kuwekwa Lockup na manyanyaso walimu wanayoyapata kutoka kwa afisaelimu (Ngonyani) hadi hapo atakapohamishwa...
  10. JamiiForums Tanzania Geita: Mwalimu atuhumiwa kumuua mkewe

    HABARI Polisi mkoani Geita wamelazimika kufukua ndani ya nyumba ya mwalimu Francis Elizeus wa shule ya msingi Lubanga baada ya ndugu wa mke wake kumtuhumu kuwa amemuua mke wake Jenifer Mashimo na kumfukia ndani hali iliyopelekea ndugu hao kumtishia maisha mwalimu huyo. Mke wa Mwalimu huyo...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana vipi walimu watatu wakafundisha wanafunzi 700 katika shule moja.

    Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna...
  12. JamiiForums Tanzania Kaliba ya Ualimu lazima iheshimiwe

    Maslahi yangu: Mimi ni mwalimu kwa kusomea. Nimefarijika na hatua zilizochukuliwa na uongozi wa JamiiForums kwa kuondoa/kufuta mada zote zinazowadhalilisha walimu na kada nzima ya ualimu na kuwapa adhabu stahiki wale wote waliokuwa vinara kwenye hilo. Kuna mahali tuliyumba na tukakosea sana...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Watukaneni, wakashfuni, wadharauni, wazushieni, wadogosheni mnavyoweza lakini walimu wanaishi kwa furaha zaidi kuliko kundi lolote

    Hiyo ni kwa mujibu wa uchunguzi wangu, nawe unaweza kufanya hapo ulipo. Walimu wengi ni watu fulani wasio na stress zilizopitiliza nazungumzia wengi, sijakataa wapo wachache. Utawakuta wakiwa na furaha muda mwingi sana. Sijui kuna uhusiano na ukaribu wa watoto? Wanadumu mnoooo baada ya kustaafu...
  14. JamiiForums Tanzania Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

    Time is too short, siku si nyingi sikukuu ya wafanyakazi inakuja. Je wewe kama mwalimu umejiandaaje? Umejiiandaa kuwa Chawa wa mama ili umsaidie ushindi 2025 kwenye box la kura au umejipanga kufanya harakati zenye Nia ya kumkomboa mwalimu kutoka kwenye ufukara wa kutia aibu. Naomba tuende Sawa...
  15. JamiiForums Tanzania Kamishna Mutahabwa uko sahihi, lakini ujue tu hata Walimu nao wanafanyiwa ukatili

    Ni kweli ukatili upo mashuleni, wanafunzi wanapewa adhabu zisioendana na umri wao. Nilichokuona ni kwamba walimu wengi wana psychological disoder ambayo inatokana na changamoto za kiutumishi. Matokeo yake anashusha hasira zake kwa mwanafunzi. Utakuta mwalimu anakrupiwa na mkuu wa shule mbele...
  16. JamiiForums Tanzania Walimu na Askari Polisi mnajidharirisha sana

    Zamani nilikuwa najua kuwa walimu ni kioo Cha jamii,kumbe nilikuwa najidanganya huenda ni kwasababu nilikuwa mtoto kipindi hicho au kwasababu walikuwa watu wa karibu yangu kwasababu nilikuwa mwanafunzi na niliwachukulia kama watu waliofanikiwa zaidi katika jamii. Leo nashuhudia mengi kutoka...
  17. JamiiForums Tanzania Walimu acheni tamaa za ovyo

    Siku hizi shule nyingi za Serikali msingi na sekondari hasa za kutwa walimu wanawafanyisha wanafunzi mitihani kila baada ya siku 3 na wanalipa 1200 au zaidi. Hivi kila baada ya siku tatu kipi kipya wanakuwa wamefundisha watoto mpaka wawafanyishe mitihani? Hivi kufanya mitihani kila mara ni...
  18. JamiiForums Tanzania Mpwayungu Village, kuwasema vibaya walimu na kuwatukana hakusaidii kuboresha maisha yao. Toa solution wafanye nini ili wafanikiwe?

    Mimi sio mwalimu na sijawahi kufundisha, ila naona kaka yangu mpwayungu village umekuwa ukiwatolea mashutuma kama yote. Sasa bro, unaonaje ukaja na solution zotakazo boresha maisha ya walimu? Pia unaweza badilisha mindset yako, badala ya kuwatukana, waombee. Badala ya kuwalaani, wabariki...
  19. JamiiForums Tanzania Hili la walimu kuchangishwa michango ya Mbio za Mwenge kwa lazima likomeshwe

    Mkurugenzi wa Halmshauri ya Ifakara ameandikia Barua Walimu wa shule kutaka walipe mchango wa kufanikisha shughuli za Mwenge. TAMISEMI mmeagiza Halmshauri kufanya hivi? Huo Mwenge hauna bajeti? Mbona hamna huruma na walimu nchi hii? Barua hii ibatilishwe, fedha zirudishwe kwa walimu. Na hii sio...
  20. JamiiForums Tanzania CWT ni Genge la Matapeli wanaokula kwa Mgongo wa Walimu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Kila mwaka kumekuwa na madai ya walimu kuchangia katika michango mbalimbali ya shughuli za kiserikali kwa ushurutishwaji hasa na wakurugenzi wa Halamashauri ama manaibu wakurugenzi. Moja wapo ya kilio cha muda mrefu kwa walimu ni hii kero ya Michango ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…