walimu

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wa Economics wasifundishe somo la Bussiness study (commerce)?

    Okay ,, nimejaribu kufuatilia ajira za walimu zilizotoka hivi karibuni na nimegundua kuna uwitaji mkubwa sana wa walimu wa commerce kwa ajili ya kufundisha kidato cha kwanza hadi cha nne Ndiyo maana utakuja kuona kwenye ajira hizi mpya waombaji wa nafasi ya kufundisha somo la commerce wao...
  2. JamiiForums Tanzania Walimu jiongezeni maarifa mitandaoni kabla ya kuingia Darasani maana wanafunzi wenu wanawaona vilaza mkijongea hapo ubaoni na kushika chaki

    Kwa kizazi hiki cha kidigitali, kama mwalimu unaendelea kufikiri kwa mtazamo wa kianalogia, ni wazi kwamba wanafunzi wako watakudharau sana. Fikiria, unawafundisha kuwa kuna sayari tisa, lakini wao wakigoogle wenyewe wanagundua kuwa zipo zaidi ya 1,000. Unategemea watachukulia masomo yako kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa walimu tena!

    Serikali yetu inachapa kazi kwa kasi sana!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wote pitia makala hizi kujiandaa na usaili

    Kwa wale ambao wamekosa mambo ya msingi na taarifa muhimu kuhusu usaili hasa kada ya elimu, usijali! Zipo njia mbili za kuhakikisha hupitwi tena: 1. Tembelea Jamii Forums Hapa utapata makala zenye mwongozo wa kina na taarifa za msingi kuhusu usaili. Fuata link hii...
  5. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Ajali yaua Watu 6 wakiwemo Walimu 4 wa Shule moja

    Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria kutoka kijiji cha Lumalu kata ya Upolo - Kilosa wilayani Nyasa kuanguka katika mteremko wa Chunya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma. Waliofariki kati yao ni walimu wanne wa shule ya msingi Lumalu ya mkoani humo, Mfamasia mmoja na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Platinum Credit ni kampuni yenye huduma mbovu na zisizofaa. Walimu tunakopa kwa sababu ya shida tu.

    Kila kitu ulimwengu wa wa leo kipo kidigital. Sasa inakuwaje unachelewesha malipo ha mtu ambaye umeprocess mkopo inavyotakiwa?
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu Mvomero wanadai kutolipwa pesa zao za likizo kwa zaidi ya miaka mitano

    Walimu katika Halmashauri ya Mvomero wanalalamika juu ya kutolipwa fedha ya za likizo kwa zaidi ya miaka 5. Lakini cha kushangaza kuna baadhi ya walimu kila mwaka huenda likizo na kulipwa fedha zao. Hao wanolipwa kila mwaka ni akina nani na wale ambao hawalipwi hata wakifuatiallia wana nini...
  8. JamiiForums Tanzania Je wanafunzi wataanza muhula ujao na walimu idadi ileile Huku idadi ya wanafunzi ikiwa imeongezeka?

    Binafsi najiuliza ufanisi utatoka wapi ikiwa idadi ya walimu ni ileile halafu wanafunzi wameongezeka kwa shule zote za msingi na sekondaril,mfano Kuna shule jirani watoto walidahiliwa kuanzia form one ni 500 je idadi ya walimu waliopo inatosha? Jibu ni hapana nn kifanyike au serikali haijui takwimu?
  9. S

    JamiiForums Tanzania secretarieti ya ajira kuna tangazo linadai vijana wa uvccm ambao ni walimu wawasilishe taarifa zao kuna nini kinaendelea??

    hili ndo tangazo linalosambaa mtandaoni inadaiwa wanachama baadhi wa uvccm wamepokea huu ujumbe hili swala ni serious linahitaji ufafanuzi wa kina
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira tunaomba ufafanuzi kuhuzu Ajira za walimu tangazo linalosambaa mtandaoni kwamba wenye kadi ya ccm watapewa kipaumbele

    Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam . Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira . Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Idara ya Elimu kuanzia Julai, Agosti na Septemba 2024 aliyehusika na upandishaji wa madaraja kwa walimu aje atoe majibu

    Waziri wa utumishi na Tamisemi mnatakiwa kutoa majibu ni nani aliyehusika na hili. Umeajiriwa mwaka mmoja na mtumishi mwenzio mwingine umemtangulia lakini kilichotokea july-septemba kuna watumishi walipanda madaraja ya mishahara kwa lugha ya mserereko, waliobaki majibu yaliyotolewa na HR na TSC...
  12. K

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Kilwa jitahidini mlipe walimu nauli ya likizo kwa wakati

    Habari Wadai, Mimi naomba nende Moja Kwa Moja ktk mada yangu, Kuna hii kero ya walimu wilaya kilwa mkoani Lindi kucheleweshewa kulipwa nauli zao za likizo Kwa wakati, inafikia hatua hadi mwalimu husika anaacha kudai nauli yake ya likizo Kwa urasimu uliopo. Kwa mfano, Kuna walimu kadhaa idara...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali iajiri walimu, watoto wanapoteza muda shuleni

    Kuna upungufu mkubwa wa walimu kwenye shule za umma Nina mdogo wangu anasoma PCB huko Mwanza anasema haijawahi kumwona mwalimu wa Physics na Chemistry shuleni Toka mwezi wa 7 Mfano Nilifika Wilaya ya Mkuranga shule msingi Koma ina mwalimu mmoja ambaye pia ndo mkuu wa shule. Shule ya Msingi...
  14. JamiiForums Tanzania Walimu waripoti makazini kimya kimya

    Rejea kichwa Cha habari hapo juu Kuna rafiki zangu wamrepoti kazini kimya kimya katika zile ajira 12000 zilizotangazwa .. Mpka sshv zile ajira zilikuwa magumashi tu .. Serikali ya Samia bila connection sasahivi hautoboi hasa watoto wa masikini
  15. G

    JamiiForums Tanzania Walimu ombeni kazi.

    Walimu wa Biashara
  16. G

    JamiiForums Tanzania Walimu muda wowete kuitwa kazi

    Walimu Foeni mabegi yenu kwani Mda wowote mtaitwa (ku) zini. 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu waangaliwe suala la interview Yao 2024 ukweli inaleta sintofahamu kwao, Ajira Portal wanachelewa mno

    Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli zingine? Au vipi na mpaka Leo hakuna ufafanuzi wowote. Watu wamebaki na sintofahamu. Cha kushangaza wale...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Walimu wa kiswahili wa shule za sekondari kuna mahali mnafeli pakubwa

    Hivi mtoto wa fomfour miaka 17 hadi 20 inakuwaje hawezi kutofautisha Kati ya "r" na "l" "Karibu" mtoto anaandika " kalibu" 👉Kwenye matamshi ya lugha binafsi siwezi tupa lawama hii ni kutokana na athari za kimakabila/kilugha Lakini swala zima la maandishi imekuwa ni changamoto sana 👉Matumizi...
  19. JamiiForums Tanzania Walimu wa kiswahili chukueni hatua kabla hatujaondoa ladha ya kiswahili chetu

    Binafsi sio Mwalimu kwa taaluma lakini Huwa nafundisha wanafunzi Masomo ya ziada baadhi ya nyakati. Katika wanafunzi nilonao wengi hawajui matumizi sahihi ya herufi na matamshi yake. Mtu yupo darasa la 4 , la 5 na kuendelea , unajiuliza inamaana shuleni hawafundishwi na walimu wa kiswahili...
  20. JamiiForums Tanzania Tarehe kumi walimu wakuu wote watakuwa dodoma, Ole wenu mkawe wapambe

    Tunajua akili za TAHOSSA zinakuwa kama zimewaruka, mwezi huu wakuu WA shule wa msingi na sekondary watakwenda dodoma wana ajenda zao zilezile hawana jipya Ila ninawapa tu tahadhari Waache kutumika na mbogamboga Watumie hiyo siku kuleta mapinduzi ya kiuchumi kwa walimu, wajenge hoja kuendana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…