wali

Wali - chakula/pishi linalotayarishwa kwa kuchemsha mchele uliyochanywa na mafuta
  1. R

    Bakwata wanataka Haki na Amani au Wali?

    Na MMM UISLAM ni dini yenye misingi imara ya kuongoza jamii kuelekea katika HAKI, USAWA na kupinga kila aina ya DHULUMA, inayokataa UKANDAMIZAJI kama inavyobainishwa katika Qur’an (57:25, 28:4, na 7:103-105). UISLAM ni DINI nzuri. UISLAM siyo dini ya wahuni. BAKWATA ndiyo wanaichoresha na...
  2. PostGE2025 Wasira anadai mauaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na waliuawa hadi watoto na wajawazito

    Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito. kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama mbali na hayo mauwaji yaliyo fanyika hayakulenga wahalifu bali watoto na wanawake ambao hawakuwa...
  3. Ma Brother wa 35+ ni kosa gani ulilifanya kwenye maisha yako, ambalo hutamani wengine walirudie?

    Niaje Wakuu? Natumai mko poa, kwa mwenye changamoto kwakuwa bado una pumua mambo yatakuwa shkopa. Hebu leo tuzungumzie uzoefu wa kimaisha, tunajua maisha hayakosi changamoto, kupanda na kushuka ni jambo la kawaida kwa mwanadamu. Je ma brother zetu wa 35+ ni kosa gani uli wahi kulifanya, ambalo...
  4. Jinsi kupika njegere za nazi

    Habari zenu wana jamvi, heri ya sikukuu ya ya taifa letu. Naomba kuelekezwa namna ya kupika njegere za nazi na wali wa nazi.
  5. Tupike wali samaki

    Hi guys,.hope mko poa Tunavyoendelea kumwomba Mungu kuelekea kesho D9 basi tusisahau kula..... Haya tuanze Ukishaweka mchele wako kwenye rice cooker au vyovyote vile utakavyoupika,. Pembeni tutaanza kupika samaki,. Kwenye sufuria yako utaanza kuweka mafuta kidogo,. vitunguu hoho na carrot kama...
  6. R

    PostGE2025 Golugwa: Mwigulu alitoa kauli ya kukiri Askari walifyatua risasi bila utaratibu

    Amani Golugwa Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea kauli za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu katika Mkutano na wahariri wa vyombo vya habari kwamba alikiri kimyakimya Askari kufyatua risasi bila utaratibu wala muongozo...
  7. Hatimaye Polisi waliokuwa wanalinda Wasafi Media wameondoka

    Wananchi walipanga kuvamia Ofisi na Studio za Wasafi maeneo ya Mbezi Beach, lakini walishindw sababu ya Ulinzi ambao Uliwekwa pale. Wengi waliishia kanisa la Katoliki na Maeneo ya Shoppers... Ndo maana Diamond hakiweza kusema chochote kuhusu Maandamano.. Alishindwa awe uoande gani. Upande wa...
  8. Kuna watu humu wali wadhihaki vijana kwamba hawana la kufanya on 29th. Mko wapi sasa?

    😁😁 mna hali gani huko?
  9. Mwanamke wangu hajui kupika wali

    Kuna msichana wangu anasoma mwaka wa pili hapo CBE. Nimemualika aje ghetto,pamoja na mambo mengine nikamka jiko anipikie wali na nyama. Aise wali haujulikani ni wali au ugali mboga ina chumvi halafu mwenyewe anajisifia eti chakula kitamu. Nawaza leo atapika nini kama tu wali umemshinda.
  10. Naona Masheikh wamehitilafiana huku, sisi tunataka wali wao wanakichafua.

  11. Mnasifia mapera mnajua muziki wa wali mkavu.?

    Tusisahau kuishi wakuu life is good LG nashukuru mungu leo kanibless kijana wake nimeokota kanuni ni kuwa fifteen percent ya hela inayoingia ni kwa ajili ya refreshment. Sasa baada ya kuokota nikapita sehemu agiza mbuzi katoliki nusu na ugali wakati nasubiri inatayarishwa jikoni nikaagiza...
  12. Pole pole kama wewe umeshiba tuache wengine tule. Usitaki mwagia mchanga kwenye sinia la wali. TUTAONANA WABAYA

    Leo tutahakikisha huathiri maisha ya watu kwa namna yoyote. Wewe uliamua kuachia Ubalozi. Wengine bado tunataka tufanye kazi na tustaafu kwa Manufaa ya familia. Unalotaka kufanya ni kuharibia watu maisha na harakati. Jipime ndugu yangu. Usidhani hilo jambo lako litaleta mabadiliko. Halitaleta...
  13. Walichomfanya Catherine Magige (CCM VITI MAALUM ARUSHA) Ndivyo Watachomfanya Paul Makonda. WAJUMBE SIO WATU NI MBWA🤣

    Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena na kukamilisha ngwe ya miaka 20... Mbunge mzigo huyu ambaye kwa miaka 15 alikuwa bungeni tu kama...
  14. Nikikumbuka boarding school siku ya wali wakaleta Ugali palichimbika

    Leo nakumbuka miaka ya nyuma hadi nacheka. Boarding school hiyo flani watu tulishajiandaa jioni wali maharage. Siku za wali maamae tulikuwa na furaha kichizi. Hukuti kwenye pipa chakula kimemwagwa. Mara watu tunaingia dining ugali na maharage. Ngumi zilitembea Kwa wapishi na walimu wa zamu...
  15. Tupike pamoja wali nazi, maharage nazi na miguu ya kuku.

    Leo siku ya Ijumaa niliamka nikiwa nina hamu ya kula kitu kichachu chachu japo sina 🦎 wala nini. Asubuhi huwa naamka na hii detox special kwa ajili ya kupunguza uzito. Imenipunguza toka huko niliko mpaka sahv kwenye kg 75. Huwa nina program hiyo kwani hukata uzito balaa na huwa nakuwa nayo...
  16. Tupike wali maua

    Hellow Sikuiz nipo bise that why sileti thread Kwanza andaa mchele wako vizuri kisha katakata hoho na karoti hapa kwenye hoho unaweza tumia hoho za rangi ya kijani, njano, au nyekundu Baada ya hapo chemsha maji yako vizuri kisha osha mchele wakat maji yameanza kuchemka baada ya hapo chukua...
  17. K

    Walio na uchu wa madaraka toka CHADEMA sasa ni ruksa kujiunga na vyama vingine

    CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
  18. Ati ugali ni chakula wakristo na wali ni chakula cha waislam sio!

    Kwa uchunguzi wangu wa haraka haraka nimegungua hilo. Mchele au wali na ngano huwa vinatumika sana maeneo yenye Waislam wengi. Kwa Afrika, Kaskazini mwa Afrika mchele na Ngano huwa vinaliwa sana eneo hilo. Eneo la Kaskazini lina Waislam wengi. Ukija kusini mwa Equator kuna Wakristo wengi, Eneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…