Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Reuben Kwagilwa, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuendelea kuwasimamia watendaji walio chini yao ili watatue changamoto za wananchi kwa wakati, badala ya kusubiri ziara za viongozi wakuu ndipo hatua zichukuliwe.
Maelekezo hayo...
Wakuu,
Ziko taarifa kuwa ziara ya Kihongosi inayoendelea inaacha maumivu makubwa kwa wananchi na wafanyabishara ambapo kwa upande wa Wakurugenzi wanalazimishwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya Kihongosi ambapo fedha hizo zilishapangwa kwenye bajeti za halmashauri kujenga zahanati, matundu ya...
SHUGHULI zangu zinanifanya nisafiri kila uchwao na njia kuu ninazotumia ni BARABARA, na kupitia kwenye stand zetu zilizojengwa kwenye HALIMASHAURI mbalimbali.
Nikianza na stend kuu ya Magufuli, Kuna habaria wengi wanatumia stend Ile na WANALIPA viingilio lakini hawapewi risit wao wanalipishwa...
KAULI ya Rais yakuwa Kuna vijana wa Kenya waliingia Tanzania na kuandamana tarehe 29 ni inshara tosha yakuwa Jeshi la uhamiaji na Jeshi la wananchi lilimuujumu kikubwa IGP Ili atumbuliwe.
Je NGO zilizowalipa vijana Ili waandamane zilisajiliwa na nani?
Nisemw ukweli Rais Samia anahujumiwa...
Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board
Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee
Sina nia mbaya...
Ukiangalia asilimia kubwa ya wabunge wetu ni tourist nikimaanisha wako kwenye comfort zone kubwa sana na fedha wanazozipigania bungeni zikija jimboni mamlaka nazo sio sawa hata kidogo
Kama nchi kuna haja gani ya kuwa na wakurugenzi mda huo huo kuna wabunge hii inapelekea wabunge wengi kutumia...
Habarini,
Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi.
Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha kufanya kazi vizuri katika sehemu nyingi wanazosimamia ikiwemo uRC, uDC,uRAS,nk.
Naomba kuwasilisha
Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda.
Tanzania.
1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda
2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi
3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France
4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam
Kenya
1. Safaricom - Peter Ndegwa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Manispaa, Mabaraza ya Miji na Halmashauri za Wilaya za Unguja na Pemba katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ leo Mei 20, 2025.
Miongoni...
Mkurugenzi Mtendaji wa Real Interactiv Inc. Bi. Caroline Maajabu Mbaga, akizungumza katika mkutano wa Kwanza wa Mwaka wa Uzoefu wa Wateja (Customer Experience Conference) uliofanyika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
---
Dar es Salaam, Tanzania – Mkutano wa Kwanza wa Mwaka wa Uzoefu...
Kuna umuhimu gani wa kwa wakurugenzi wote waliorekodi hasara kubwa katika mashirika ya umma wanayoyaongoza kuendelea kuwa kazini? Hakuna uwajibikaji katika utumishi wa umma kabisa na ukichunguza kwa undani hasara nyingi katika mashirika ya umma yanasabibishwa na ufisadi, uzembe, wizi ikiwepo...
Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) ambayo yamesajiliwa kwa mjibu wa sheria ya mwaka 2002 ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali, mashirika hayo yanawajibika kufanya marejesho ya taarifa za shughuli zake pamoja na taarifa zilizo kaguliwa na kuidhinishwa na mkaguzi aliyesajiliwa na Bodi ya Wahasibu...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri kupanga ratiba ya uzinduzi wa miradi mbalimbali iliyosalia kwa kushirikisha wabunge.
Akizungumzia suala hilo, Mchengerwa...
Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa wametakiwa kusimamia kwa weledi miradi ya maendeleo ili kuwapunguzia viongozi maswali kwa wananchi.
Maelekezo hayo yametolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa jijini Dodoma kwenye...
Bodi ya Wakurugenzi ni chombo nadi ya kampuni au shirika chenye lengo la kusimamia maslahi ya wanahisa/wanachama kwa kuhakikisha kwamba kampuni au shirika linaendeshwa kwa kufuata misingi na taratibu zilizowekwa, ambapo Bodi ya Wakurugenzi ndio yenye jukumu la kuandaa misingi na taratibu hizo...
Wakuu,
Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni.
Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani
"CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja...
Wadau wa Soka la Bongo, Mmesikia huko?
Fatema Dewji ambaye ni mdogo wa Mohammed 'Mo' Dewji, ameteuliwa kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Singida Black Stars.
Wapo Omary Kaaya, Athumani Kihamia, Hussein Nyika wote wamewahi kuitumikia Yanga na kufanya Klabu hiyo ya Walima Alizeti kuwa kama...
Hapo zama za kale niliamini kwamba unapoteuliwa kuwa msaidizi wa Mh. Rais basi wewe umepanda cheo na ni kiongozi mkubwa sana kwenye mfumo wa utumishi wa umma.
Mabadiliko yaliyowaondoa Ikulu akina Zuhura na Magoti sambamba na wengine wengi yamenifanya nibadili fikra kwenye hizi nafasi za umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.