Kwa takribani miaka mitano sasa, tembo wamekuwa wakiingia katika mashamba ya wakulima wa Liwale na kuharibu mazao, ikiwemo mikorosho.
Je, mamlaka zimeshindwa kudhibiti tatizo hili, zinafanya makusudi, au hazina uwezo wa kulitatua? Mpaka lini wakulima tutaendelea kupoteza mazao na kuhatarisha...