wakosoaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tausi Likokola: Serikali iwajibike kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaoikosoa

    Mwanamitindo wa Tanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola ametoa ujumbe mitandaoni akiitaka Serikali kuwajibika kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaokosoa Serikali. Sikiliza video yake hapo chini
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Ulaya kwani hayana wakosoaji? Wanawezaje kuongoza kwa amani bila kutekana na kuuwana ilihali bado nako kuna upinzani?

    Inawezekana kabisa shida ya viongozi wetu walivyo, kwao kukosolewa ni sawa na kunyofolewa ngozi na ama kiungo kimojawapo cha mwili na au kujihisi wanakosa akili pindi wanapokosolewa Kumbe akili zao zipo palepale na ngozi au viungo vyao vipo pale pale Lakini kwa nini inawauma hivyo hadi kufikia...
  3. JamiiForums Tanzania Huenda Rais Samia ndiye alikuwa anamshauri Hayati Magufuli jinsi ya kudili na wakosoaji wake. Anayoyafanya sasa ni ushahidi

    Naanza pata picha kwamba Rais Magufuli huenda hakuwa Mbaya kivile na aliyekuwa Makamu wake wa Raisi ndie alikuwa ana mshauri mambo mabaya. Make huyu wa sasa mambo anayo yafanya hata Magufuli hakuyafanya ni beyond yale aliyofanya Magufuli Au labda Ofisi ya Makamu wa Raisi wakati wa Magufuli...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanasiasa, Wananchi wanamtaka Rais Ruto kukemea na kukomesha Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Wakosoaji wake

    Wadau mbalimbali wa masuala ya Haki za Binadamu wakiwemo Wanasiasa wametoa wito kwa Rais William Ruto kukemea na kukomesha Vitendo vya Utekaji wa Wananchi wengi wakiwa ni wakosoaji wa Serikali yake. Miongoni mwa waliotoa wito huo ni pamoja na Mahakama, Wanasiasa Raila Odinga, Kalonzo Musyoka...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wakosoaji wa Sanamu ya Mwalimu Nyerere washukiwa kama mwewe na kupewa onyo

    hii hapa chini ndio Sanamu inayokosolewa👎
  6. JamiiForums Tanzania Kuna Mtu katuita Watanzania Wakosoaji (Critics) kuwa ni 'Makhulukutabu', je, ina maana gani?

    Arovera, mrangi, Bila bila, King Kong III, SAGAI GALGANO kuna Mtu kawaiteni huko 'Makhulukutabu' mmekubali Wakuu?
  7. JamiiForums Tanzania Moja ya mambo yaliyonifanya nichukie awamu ya tano ni suala la utekaji. Hata kama wakosoaji ni wapumbavu basi usitumike upumbavu kukabiliana nao.

    MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Suleiman aliwahi kusema, Mhubiri 7:17 [17]Usiwe mwovu kupita kiasi; Wala usiwe mpumbavu; Kwani ufe kabla ya...
  8. JamiiForums Tanzania Nyakati hazijawahi kuwaach salama wakosoaji na wasio na subira

  9. P

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mpinzani, mkosoajiau, waibua kero kwa Serikali?

    Naomba niweke mambo sawa ili tusiendelee kuumizana. Kutokana na kwamba baadhi ya watu wana uelewa finyu kuhusu misamiati ya mpinzani, mkosoaji, mwanaharakati na sisi waibua kero; kuna watu wameumizwa kwa kuonekana kana kwamba ni wapinzani. Mfano: Bwana mmoja aliona mabweni ya wanafunzi yana...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali

    Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha. --- Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza kutolewa na vijana wa chama hicho juu ya kuwapoteza watu wanaowapinga: “Huyu ni kijana wetu kasema...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa VISA Duniani unasimamiwa na principle ya Reciprocity; kauli ya Rais wa Kenya imejaa presha ya kisiasa kuwakabili wakosoaji wa sera zake

    Dunia inaendeshwa kwa nipe nikupe, au kwa kauli nyingine nikune nikukune. Visa nayo ipo hivyo; tafsiri nyepesi ni makubaliano ya nchi na nchi kuhusu taratibu za kuingia na kutoka katika mataifa husika. Rais wa Kenya amekaribisha wageni kuingia Kenya bila visa, lakini hakuna Sehemu kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Utawala wa Burkina Faso wadaiwa kulazimisha wakosoaji kujiunga kwenye vita dhidi ya Wanamgambo

    Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso inatumia vibaya sheria ya dharura kuandikisha wanaodhaniwa kuwa wapinzani na wakosoaji wake kuijiunga kwenye vita hatari dhidi ya wanamgambo. Watu hao wanasemekana kulazimishwa kupambana na watu wanaohusishwa na makundi ya kigaidi ya Al Qaida na Islamic State...
  13. JamiiForums Tanzania Leo Wakosoaji ( Critics ) tunafananishwa na Ng'ombe, nawe tukikuita ni 'Christmas Turkey' wa Wazungu na 'Eid Turkey' wa Waarabu utavumilia?

    Je, na Wengine ( Wakosoaji uwafananishao na Ng'ombe ) wakienda mbali zaidi na Kukuita Wewe Empty Clove Island Baloon utafurahi nawe Kuvumilia kama Wao wanavyokuvumilia? Ngoja kwa sasa Ng'ombe ninyamaze.
  14. JamiiForums Tanzania Amnesty International: Mamlaka ya Tanzania iwaachie mara moja bila Masharti Wakosoaji wa Mkataba wa DP World inaowashikilia

    Mamlaka ya Tanzania inapaswa kuwaachilia mara moja na bila masharti Willibrod Slaa, aliyekuwa mbunge na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Boniface Mwabukusi, mwanasheria na mwanaharakati, na Mdude Nyagali, mwanaharakati wa kisiasa, ambao wote walikamatwa kati ya 12 na 13 Agosti kwa kosa la...
  15. JamiiForums Tanzania Lengo la Serikali ni kuwaua wakosoaji? Kesi ya Uhaini ni eneo la kujifunza

    Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu. Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa ni public figures ambao serikali inahofia kuwanyamazisha kama ilivyojaribu kwa Tundu Lissu hapo...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa hoja sasa wanajaribu kuhamisha mjadala kwa kuwabambikia kesi za ajabu ajabu wakosoaji

    Inawezekana ndivyo mabingwa wa siasa ndani ya chama wamemshauri hivyo. Kuwa ili watu waache kujadili ule mkataba wa ajabu kabisa uliosainiwa na serikali basi watu fulani fulani wakamatwe na kupewa kesi za nzito nzito. Kwamba mjadala utahamia kwenye kesi hizo za jinai badala ya mkataba. Mambo...
  17. JamiiForums Tanzania Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

    Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi. Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake. Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa? Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
  18. JamiiForums Tanzania Human Rights Watch: Tanzania inakandamiza Wakosoaji wa Mkataba wa Ubinafsishaji Bandari

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania Mkataba huo utaruhusu...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Ulaya, Marekani, Asia na Middle East Wakosoaji na Watu Werevu wanaheshimika, ila kwa Afrika Wanauliwa Kikatili?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu juu ya kwanini Wakosoaji ( Critics ) na Watu Werevu ( Intelligent ) kwa Afrika huwa Wanauliwa Kikatili ila kwa Wenzetu wa Ulaya, Marekani, Asia na Middle East husikilizwa, huheshimiwa, hulindwa na hukumbatiwa na hutumika kama Washauri...
  20. JamiiForums Tanzania Ukosoaji kwa serikali na majibu ya adhabu ya wakosoaji una tija katika misingi ya utawala bora!

    Tanzania inapitia kipindi kigumu cha mpito katika dhana ya uwajibikaji unao chagizwa na ukosoaji wa serikali na malipo ya wakosoaji toka serikalini. Ibara ya 8 ya katiba ya JMT kwa ujumla wake imetoa uhalali wa madraka ya serikali yatatokana na mamlaka ya wananchi na serikali msingi wake mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…