Wakuu habari zenu?
Kama mada tajwa hapo juu inavyojieleza.
Mimi binafsi toka nijiunge JF nina nyuzi mbili, japo nimesema mmoja imeniwia vigumu kuzitenganisha hizi nyuzi kisha nichague mmoja.
Hizi nyuzi za hawa memba wenzetu waliotangulia mbele za haki, folk, Mpauko, zimeelezea hali halisi ya...