wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Rais Samia bila kuwasikiliza wananchi wako utakwama

    Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo. Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofauti. Yeye na wenzake kodi haziwahusu, mishahara kwao ni minono, wanakula na kusaza kwa kutukamua sisi, hatuko sawa mbele za sheria nk. Mapungufu ya msingi yapo...
  2. Wafanyabiashara fursa ya kupandisha vitu bei wameitumia vizuri. Naona wako fasta sana, kila kitu kimepanda

    Wafanyabiashara wetu kweli hamna huruma maana vitu vimepanda na mnashindana kupandisha bei kweli. Hata kama mafuta yamepanda ila mbona nauli za magari azijapanda? Na pia kuna bidhaa tu za humu ndani ambazo hata hazitoki nje nazo mmeoandisha maradufu. Ila sawa tu, tutaishi tu amtukomoi
  3. Mitandao ya kijamii isikufanye uwachukie wanaohitaji upendo wako wa kweli

    Usipokuwa makini na mitandao ya kijamii, unaweza muonea wivu mtu unaepaswa kumuonea huruma.
  4. Sakata la Spika Mstaafu Ndugai kukupa 'Ukweli' wako ulilikabili Mwenyewe 'Kimadaha' kwanini leo hii Sakata la Mafuta unataka usaidiwe Kusemewa?

    Mbona Sakata la Mafuta na Wananchi Kulalamika / Kulilalamikia ni rahisi sana Kulifafanua kwa Watanzania ( Wananchi ) na Wakalielewa hata kuliko lile la Spika Mstaafu Ndugai kukupa Ukweli wako kuhusu 'Kukopakopa' hovyo sasa iweje tena leo unataka Watu wakusaidie Kukusemea ili Watanzania...
  5. Rais Samia utawezaje kujinasua na sifa bandia na kuharibu mafanikio ya watangulizi wako?

    Kuharibu sifa za watangulizi ni mtindo ulioanzishwa na Kikwete ndani ya chama kile kile cha CCM! Nauona ukiendelea kwa nguvu zote. Maofisini wizi umepamba moto. Alipoingia Kikwete alimfanya Mkapa kama ni hovyo kabisa! Wafuasi wake wakaanza kumzomea barabarani. Hata sherehe za kitaifa akasusia...
  6. S

    Ushauri wa bure kwa Mbowe: Jipange, 2025 ni wakati wako

    Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi. Kuna options mbili: Either CCM...
  7. T

    Mwanamke wa namna hii hakufai asilani na wala Usipoteze muda wako juu yake

    Ahlan wa sahlan Kuna wanawake wa aina nyingi hapa duniani.Kuna baadhi ya tabia zao zikianza kujionesha katika mahusiano yenu jua kuwa taa nyekundu imeshawaka na yakupasa ushtuke na usepe mapema. Mwanamke ambae hakusalimii wala kukujulia hali wala kukutakia usiku mwema mpaka umuanze wewe jua...
  8. Maombi gani ya watu wako wa karibu yanakukera? Ukiachilia mbali pesa?

    Wakuu, tukiachana na watu wako wa karibu kukuomba pesa kipi kingine ukiombwa huwa unakereka sana? Binafsi ni haya matatu. 1.Simu yako ina dakika uniazime? 2.Kuombana vifaa vya kazi. 3.Kuombana mavazi hasa viatu. Je wewe kuna mengine yanakukera au yote ni sawa kwako?
  9. Ulijuaje kuwa moyo wako unahisia za kupenda

    True story Binafsi nilikuwa zaidi ya ngumu ngumu mno yaani bandidu extra nikajuaga hizo seli za kihisia juu ya mapenzi sikuanazo. Siku zikaenda zikasonga niliwaona wazuri na wazuri sana na kukiri kuwa ni wazuri Ila sikuwa na mda nao tena yaani kuhisi kua Kuna upendo wowote juu Yao bas simulizi...
  10. Ulijisikiaje siku ile mkeo alipokuambia ana ujauzito wako?

    Nakumbuka siku hiyo sikukaa nyumbani, ilibidi nitoke mimi mwenyewe nikaenda mafichoni nakujitafakari, kweli mimi nitaitwa baba? Na majukumu yangu yatakuwa wapi? Nikakumbuka msemo wa wahenga, unaosema, 'mwanamke akikuzalia ina maana amekupenda' vinginevyo anaweza akatoa ujauzito wako au...
  11. Kunywa Mkojo wako wa Kwanza wa Asubuhi ni Dawa Murua sana

    Bandhugu' Nasikia hii ni dawa nzuri sana Urine therapy refers to one of several uses of urine to prevent or cure sickness, to enhance beauty, or to cleanse one's bowels. Most devotees drink the midstream of their morning urine. Some prefer it straight and steaming hot; others mix it with...
  12. Ushauri gani ambao ulishawahi kupewa na Mzazi wako kuhusu mahusiano?

    Wakuu, Binafsi mimi wazazi wangu wote walishanipa ushauri japo ilikuwa kiutani Ila meseji ili delivery Kwa wakati tofauti, Father alishawahi nishauri mambo machache kuhusu mahusiano/wanawake 1. Katika kabila letu LA kaskazini kule kuna watu wa mahala fulani kaniambia nisioe huko hata kwa...
  13. Wanaume wenye michepuko huwa mnawachukuliaje mnaochepuka nao?

    TGIF, Hi guys Naomba niulize wanaume swali ambalo laweza kuwa la kijinga ila kwetu sisi wanawake lina mantiki kubwa sana. Hii hasa ni kwa wale baadhi ya wanaume ambao wapo tayari kwenye Ndoa na Mahusiano committed lakini huko nje wanaruka ruka zao kama popcorn! Hivi huwa mnawachukuliaje...
  14. Unatumia njia zipi kuboresha uhusiano wako?

    Kudumu kwa mahusiano kunategemeana na juhudi za pande zote mbili (mwanamke na mwanaume); na iwapo upande mmoja utalemaa, kuna uwezekano mkubwa kwa mahusiano kuvunjika. Baadhi ya juhudi wanazotumia:- Wapo wanaotumia fedha Wapo wanaokuwa wapole ili mahusiano yadumu Wapo wanaojiongezea mapambo ili...
  15. B

    Msaada tutani: Mwenye uzoefu na aina ya wanawake ambao wanadai wametingwa na shughuli kila saa

    Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni hiyo alijibu, shida ni kuwa Kila nikimwomba nikutane nae sehem ya canteen au public place anadai...
  16. Ukiwa kiongozi makini hapa Afrika ukasimamia haki na maslahi mapana ya taifa lako uhai wako unakuwa hatarini

    Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao. Wote wawili waliuawa bila hata huruma. Kiongozi anayehakikisha taifa analoogoza la Kiafrika lazima akumbane na maadui wakuu wawili wakubwa. Adui wa kwanza huwa...
  17. Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

    Kama mimi naanza hivi...
  18. B

    MWAUWASA wako baridi wako moto?

    Habari wanajanvi, Mimi ufanya shughuli zangu za umechinga japo ni msomi mwenye shahada ya ualimu. Shughuli yangu unifanya kuzunguka huku na kule nikitafuta riziki ni zaidi ya miaka mitatu sasa sijawahi kuona mamlaka ya maji Mwanza wakipeleka maji maeneo mapya ambapo wananchi wamejega kwa wingi...
  19. Rais Samia, ikikupendeza tunaomba uwateue hawa wapinzani katika Serikali yako

    Mh Rais, ningependa kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salamu, Mh Rais ikikupendeza tunaomba umteue Mbowe kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, huku Zitto Kabwe ukimpa mkoa wa Kigoma. Najua rais hapangiwi ila huu ni ushauri wangu tu kwako mama yetu, kwa lengo la...
  20. Jipatie Secret Army Sword kwa ULINZI wako

    Hii silaha hakuna mtu ataigundua kirahisi mpaka utakapoichomoa mwenyewe kutoka kwenye Podo yake. ni rahisi kutumia. rahisi kutoa kwenye pocket. rhisi kubeba. Ipo Jijini Mwanza. Hio ndefu inauzwa 85,000 Fupi hio inauzwa 60,000
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…