wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tuone screenshot ya meseji yoyote kwenye simu yako iliyo kukushangaza, kukufurahisha, kukuhuzunisha, etc

  2. R

    JamiiForums Tanzania Mke / Girlfriend wako akikwambia ukweli humridhishi kwasababu ya matatizo uliyonayo, Je akiku cheat bado una nguvu ya kumwambia "WHY ?"

    Mke / girlfriend wako kakwambia huwezi kumridhisha sababu ya matatizo uliyonayo kiafya aidha, jogoo hapandi mtungi, kisukari, kuwahi kumaliza, kutoweza kurudia tendo, uume ulioingia ndani, n.k. Siku ukigundua kachepuka, una nguvu za kumwambia "WHY ?"
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO: Kuna tatizo katika mfumo wa kununua Umeme, Wataalam wanaendelea kurekebisha

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
  4. JamiiForums Tanzania Wenye ndugu zenu Marekani muwe mnawajulia hali mara kwa mara msije mkakuta wako gerezani El Salvador

    Kuna wahamiaji halali huko Marekani inadaiwa wamechanganywa kimakosa na wengine wanaodaiwa kuwa ni wahamiaji haramu wakatupwa geza la watu watukutu zaidi wa magenge ya uhalifu huko El Salvador. Mnaweza mkafikiri ndugu zenu wako US kumbe wako huko El Salvador nyuma ya nondo na watu waliojaa...
  5. JamiiForums Tanzania Majaribu yapo kwaajili ya Binadamu, likikupata ujue ndio wakati wako ulikuwa umefika.

    Maisha Ni Fumbo Katika kutembelea mitandao, nimekumbana na video moja inayogusa moyo na maisha pia. Katika video hii kuna huyu mama akiwa na mwanae huyu anaonekana hana mikono yote, kwani imekatikia kwenye viwiko. Katika masaibu yaliyomkuta mimi na wewe msomaji hatujui, anafahamu yeye mwenyewe...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpoteza mwenza kwa sababu ya utofauti wa kidini?

    Kuna muda unaanzisha mahusiano na mtu unaamini huyu ni wa ndoto kabisa ila linapokuja swala la dini unaishiwa nguvu kabisa. Nilikutana na mtu mmoja alisema yeye hawezi kuolewa na mtu wa dini tofauti kwa sababu familia yake haitomruhusu na isitoshe baba yake amefariki hivyo hawezi kusaliti kiapo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Naipongeza mikoa hii angalau wanaume huheshimiana wanapojua mwanamke ana mme au boyfriend

    wanaomendea wake / madem wa wanaume wenzao hawajawahi kukosekana kwenye mji wowote lakini mikoa hii angalau kuna kuheshimiana, MARA MWANZA RUKWA KIGOMA IRINGA
  8. JamiiForums Tanzania Umebanwa Na kazi unataka mtu wa Kukuingizia Data kwenye Mfumo wako wa Ofisini?

    Habari naitwa Rashid kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi. Namba za Simu 0627225627/ 0745747368 Email...
  9. JamiiForums Tanzania Umebanwa Na kazi unataka mtu wa Kukuingizia Data kwenye Mfumo wako wa Ofisini?

    Habari naitwa Rashid kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi. Namba za Simu 0627225627/ 0745747368 Email...
  10. JamiiForums Tanzania Mama wa madege-vita yote b-2 kwa sasa wako diego-garcia tayari kwa kazi maalum huko mashariki ya kati

    Ndege-vita sita aina ya B2 kwa sasa zimo kwenye kisiwa cha Diego Garcia. Zikisubiri tu maelekezo.!!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania MUFTI umeongea sana kuhusu Amani nchini lakini Bila kuzungumzia Haki usia wako unapwelea

    Ndugu Mufti Zubeir Kwa muda mrefu umezungumzia sana suala la amani nchini lakini huwa huzungumzii Haki, Pamoja na ujumbe wako wa amani hata hivyo kutokuzungumzia haki kunaufanya ujumbe wako upwelee. Dini ya Kiislamu inataka amani lakini inakataza dhulma. Mafundisho ya kiislamu yanasema kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya City FC wako on fire vibaya mno

    Ona mtiti huo viwanjani, nani kama Mbeya City FC?
  13. JamiiForums Tanzania nifundishe kazi yako au ujuzi wako nipo tayari kujifunza na kufundishika.

    poleni na majukumu. nimetafakali nimeona huu mwezi wa nne niuanze kivingine na kitofauti zaidi kuwekeza kwenye kujifunza zaidi . Ajira hata vibarua kupata imekuwa changamoto cha kwanza uaminifu umekuwa hafifu naimani kwa njia hii nitaiona kesho iliyo njema. Nifundishe ndugu nipo tayari...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ee Mungu wa Tanzania, waja wako twakuomba, isijirudie tena hii, tumejua, wa pili kumbe hawi na uchungu kama wa kwanza kwa mali na Watanzania

    Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya kutwaa wa kwanza ambaye tokea akiutafuta uongozi, hubeba machungu, shida, dhiki za Watanzania na kwamba...
  15. I

    JamiiForums Tanzania njoo na ubashiri wako kwa hizi mechi za leo..

    Kamata Ratiba Ya Kandanda Leo FRANCE: Ligue 1 19:00Reims - Marseille 21:00St Etienne - PSG 23:05Monaco - Nice GERMANY: Bundesliga 17:30Bayern Munich - St. Pauli 17:30B. Monchengladbach - RB Leipzig 17:30Hoffenheim - Augsburg 17:30Holstein Kiel - Werder Bremen 17:30Wolfsburg - Heidenheim...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Ili kuweka "territory" kwenye mahusiano yako huwa unaacha vitu gani kwani mpenzi wako?

    Mimi kwanza sio mtu hata wa hayo mambo. Ila mara ya mwisho nilisahau mkufu wangu kwake na nikamwambia akaniambia ameuhifadhi. Nimerudi nikamuuliza kaniambia hauonekani itakuwa dada wa usafi kautupa. Sasa najiuliza huyo dada wa usafi kwanini anatupa vitu vya watu bila kuuliza jamani.
  17. JamiiForums Tanzania Acha kupoteza muda wako kuandika nyuzi zifuatazo, utakuwa maskini milele!

    Kama wewe ni mtoto wa Elon Musk, usisome uzi huu, haukufai! Kila siku, vijana wengi wanatumia muda mwingi kuandika nyuzi mitandaoni kuhusu mambo yasiyo na faida kwa maisha yao ya baadaye. Kwa mfano mtu anaandika uzi wenye kichwa: “Bibi yako alikuwa na vidole vingapi?” Wengine wanazungumzia...
  18. JamiiForums Tanzania Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

  19. JamiiForums Tanzania Weka ubashiri wako hapa; Morocco Vs Taifa Stars

    Taifa stars ana mchezo mgumu dhidi ya Morocco kuelekea kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2026 pale Marekani. Ni mechi ya ugenini ambayo itapigwa saa 6:30 usiku. Tabiri utabiri wako tuone nani atakuwa sahihi
  20. JamiiForums Tanzania ULIYEMFICHIA MAJIBU NECTA NDIE MWAL WAKO VETA UTAIPENDA

    Utajua ujuiii Xyz Utaipenda
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…