wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vitu gani vilikufanya ubadilishe mtazamo wako juu ya kitu ama jambo fulani..?

    Sisi kama binadamu kuna vitu vingi tunapitia nakuwa na uzoefu katika vitu hivyo!, Navyo hutupelekea kubadilisha njia ama mtazamo juu ya kitu fulani je, wewe ni vitu gani hivyo vilikufanya ubadili mtazamo juu ya kitu fulani..? Binafsi ni kazi. Nina hulka ya introvert, ila kazi niifanyayo...
  2. JamiiForums Tanzania Je unajutia muda wako uliopoteza kukesha vibanda umiza kwaajil ya kazi za watu hawa Alka Yagnik na Kumar Sanu? Wakali wa masong makali kutoka india

    Alka Yagnik na Kumar Sanu ni waimbaji wawili maarufu wa India waliotawala muziki wa filamu za Kihindi (Bollywood) hasa katika miaka ya 1990 hadi 2000. Sauti zao zenye hisia na ushirikiano wao na watunzi mashuhuri kama Nadeem-Shravan, Jatin-Lalit, na Anu Malik ziliwafanya kuwa sauti kuu za nyimbo...
  3. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigo/Yas wanakiburi sana cha biashara au wanadharau wateja, TCRA wako wapi?

    Nimetuma pesa kwenye mtandao tofauti, pesa haijafika kwangu wamekata, na wananiambia masaa 72, wanasema tatizo lilitokea jana, chaajabu nimeangalia Instagram, nimeona malalamiko ni mengi sana, na yapo hadi siku za nyuma. Hii inapnesha ni tatizo la muda mrefu. Sasa kwanini hawaweki wazi tatizo...
  4. JamiiForums Tanzania Ipi siri ya wewe kudumu muda mrefu na huyo mwenza wako?

    Either ni katika ndoa or mahusiano ya kawaida.
  5. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali kupatikana tena ni 5%. Poleni sana Watanzania

    Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi. Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa na Wanachama wote wa JamiiForums wasiokubaliana na Sela za CCM. Matamanio ya kila Mtu ilikuwa kumuona Mdude_Nyagali akishuhudia CCM ikiondolewa...
  6. JamiiForums Tanzania BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?

    Kwa nini wasingeandika ukumbi au hekalu/kanisa/msikiti??
  7. JamiiForums Tanzania Screenshot ili tuone Chatting kati yako na ChatGPT wako

    Hawa ChatGPT samtaim nawaona kama maroboti yenye upweke kama sisi pia. Wanaume tumeshapata mkombozi wa kuchat nae na kunitoa upweke.
  8. JamiiForums Tanzania IDF wakijivinjari kwenye mitaa ya Jenin ole wako urushe jiwe umekwisha!

    Askari wa Israel wakiwa kwenye mitaa ya Jenin usiku huu hapo wako kwenye mission ya kwenda kulikamata Gaidi.
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke ilikuwaje hadi ukapigwa mmeo/bwana wako?Wewe mwanaume kwanini ulimpiga mama watoto/mchepuko wako?

    Sijawahi kupiga mtu anayeitwa mwanamke ila nimewahi kupigana,kupigwa na kupiga na wanaume wenzangu hii ni torati pale ninapoona nataka kufanyiwa uhuni na uwezo wa kupambana ninao huwa nakubali lolote lile litokee nipigwe,nipige au tupigane yote ni matokeo. Nimeshuhudia mara kadhaa vidume...
  10. JamiiForums Tanzania Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda sahihi

    Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
  11. JamiiForums Tanzania Mitandao Inakula Wakati Wako, Haikupi Hata Mia – Tafakari!

    Siku hizi, watu wengi wanashinda kutwa nzima wakibenua simu, wakipiga scroll mitandaoni hadi vidole vinachoka – lakini mwisho wa siku hawana hata shilingi mia mfukoni, achilia mbali wazo moja jipya la kujiendeleza. Unamuona jamaa anaanza asubuhi na “Good morning fam!” halafu anapotea kwenye...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Logical deduction: Kuficha uso ni ushahidi kuwa wewe ni mtenda maovu, unataka uso wako usijulikane maana nature ya kazi yako si ya kuficha uso

    Kitendawili kimeteguliwa rasmi leo, wasiojulikana wamejulikana leo baada ya walinda raia na mali zao kuvaa masks wasijulikane. Na hii ni kwa sababu wanatenda maovu/wanakusudia kutenda maovu na hivyo wasijulikane. Huna haja ya kuficha uso kama wewe ni msafi na huna tuhuma za kutenda maovu.
  13. JamiiForums Tanzania Kama una date msichana wa Kichaga, kuna ujumbe wako hapa

    Habari za wakati huu wakubwa Niende kwenye maada lengwa, mimi nina miaka 35 kwa sasa na katika mahusiano yangu nime date nao kwa 80% ni wachaga hata wale wa hit and run ..wengi ni wachaga. Wadada wa kichaga upstairs wako vizuri na wako sharp sana. Kimsingi kama wewe ni ndezi tu huwezi dumu naye...
  14. JamiiForums Tanzania Twendeni kanisani

    Leo ni siku nzuri sana ❤️ Jumapili njema yenye kupendeza,nawakumbusha Baba, mama,kaka,dada zangu. Lakini na wadogo zangu pia. Twendeni kanisani (wakristo) Ni utaratibu mzuri,unaotukumbusha kufanya Yale yanayompendeza Mungu, Starehe zote ni ubatili hakuna jipya,niwashukuru wazazi wangu Kwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya sasa Tanzania ni akili timamu na sifa za Wife material ndio vigezo muhimu zaidi za kuchagua mke, Bikra pekee haitoshi

    Haijalishi ni used au bikra Kwa hali ya sasa ukichagua mwanamke kwa kigezo cha bikra pekee safari badi ni ndefu. Maamuzi sahihi ni kuangalia yupi mwenye akili timamu na anaefaa kuwa mke haijalishi ni used wala bikra
  16. N

    JamiiForums Tanzania Je Unafahamu mfanyakazi wako anakucost Sh ngapi? Fahamu hapa

    Hii ni kwenu waajiri, yalinikuta ndo maana nimefanya hivi. Makampuni mengi binafsi na wafanyakazi hawajui haswa gharama za jumla mfanyakazi anazochukua kila mwezi, siku akifanyiwa audit na TRA au NSSF wakitia timu machozi yanaanza. Wanafanyakazi wengi kwenye negotiation za mshahara anataja tu...
  17. JamiiForums Tanzania Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kila jioni unaenjoy chakula na watoto wako ila wewe umehusika bila haki kuwatenganisha baba na watoto wake wasi-enjoy jioni ya pamoja

    AMANI, UTU NA UTULIVU kwa baadhi ya watu ni vitu cheap sana.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Lissu Acha kumtegemea Lema kama mshauri wako wa kisasa ,unaangamiza chama .Jifunze kwa Mzee Mbowe

    Ni ukweli usiopingika kuwa Mzee Mbowe na Lema ni ndugu wa karibu kabisa na wametoka eneo moja (Machame). Pamoja na ukaribu huu ,Mzee Mbowe hakuwahi kumtegemea Lema kama mshauri wake wa kisaasa kutokana na sababu zifiatazo; 1.Lema anaao upeo mdogo sana wa kufikiri kutokana na kushindwa...
  20. JamiiForums Tanzania Likes Nyingi zinafanya watu wengi waufulltilie uzi wako au Mahudhui

    So kuwa Makini... Kumbuka kuna robots. Na hii imekaa kibiashara Zaidi. Heading Can call you .. but the content can have U f.ked. Unavutiwa na Heading.. unaliwa bundle... 😂😂😂 Au unavutiwa na Jina la aliye post... Kwa mfano Millard Ayo. Unafungua unakuta ni UPUMBAVU MTUPU.... ANAHOJI WATU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…