wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tajiri Mo Dewji yule 'Scout' wako wa Mchongo mpaka sasa ameshakuletea majina ya Wachezaji wangapi wa maana kwa Simba SC yetu ya 2025/2026?

    Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Boss wako hawezi kufurahia unapomzidi mafanikio

    Leo katika pita pita zangu wakuu nikaenda, kuna boss(HR) mmoja wa Rafiki angu akaniagiza nimletee vifaa vya umeme, Basi katika kuniharakisha Ikabidi niazime gari kwa mwana niwahishe vifaa vile, kufika tu napaki chuma nashangaa, Eti huyo boss wa anasema Yani hujaajiriwa na umeshaanza kuendesha...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, hakuna aliyewahi kushindana na Kanisa akashinda!

    Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda. Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda. Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa Watanzania wenzangu huu ni wakati...
  4. JamiiForums Tanzania ML. MJEMA omba Mungu dhidi ya Familia Yako na uzao wako Mungu Ameshuka amesema ujiuzulu

    Omba Toba Sali Omba toba mkono wako wa kiume ulitumika kumtia mkeo mimba zote Omba msamaha kwa Ajili yake Tafadhali Bado unapendwa tuliza akili hacha siqeaa baba hata ulisema unitafte unitese haitosaidia fanya nilivyosema
  5. JamiiForums Tanzania Kwa zama hizi tulizopo urithi wa mashamba na mifugo umeshapitwa na wakati , kwa sasa mtoto wako kama hajui teknolojia ataendelea kuwa mtumwa .!

    Dunia ya Leo wanaomiliki bidhaa za kiteknolojia ndo wanamiliki ukwasi. MTU Kama mirradayo , diamond n.k Max Melo Ili uwafikie sijui unabidi ufuge mbuzi wa ngapi na ulime heka ngapi Dunia inashuhudia economic transformation kubwa Sana.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Bobi Wine amwambia Museveni “Msamaha wako haujakubaliwa”

    Wakati Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiomba msamaha Waganda kwa makossa yaliyofanywa wakati wa utawala wao wa miaka 40, Rais wa chama cha NUP, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amekataa msamaha huo, akisema bado wananchi wanaendelea kuteseka katika nchi yao. Museveni na mkewe Janeth...
  7. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufumaniwa Kwa sms,calls za mchepuko wako, na mwennza wako? Je ulimaliza vipi huo msala?

    Habari za majukumu wakuu? Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae kwenye simu na mwenza wako? Iwe wa ndoa au unaeishi nae? Je ilikuwaje? Je ulisolve...
  8. JamiiForums Tanzania Nyoka wako katika mapenzi

    Kuna dhana nyingi sana kwamba si rahisi kuwakuta paka wakiwa katika mapenzi. Ipo dhana kwamba ukikuta paka wanafanya mapenzi eti hiyo ni nuksi. Kuna kipindi nilikutana na kisa ambacho sijawahi kumsikia mtu akikizungumzia. Kuna siku nilienda shambani sasa katika kichaka nikaona nyoka wawili...
  9. JamiiForums Tanzania Abbas Tarimba, wewe uko tayari mtoto wako afe badala ya mtoto wa boss wako?

    "Mtu anatolea mfano mtoto kipenzi wa rais et akitobolewa macho itakuwaje? Huu ni utovu mkubwa wa nidhamu anajua uchungu wa kulea kweli? Nashauri chama changu kimuite kamati ya maadili achukuliwe hatua hatuwezi kuwa na mtu ana kadi ya chama halafu anatusumbua"_kauli ya mbunge wa jimbo la...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  11. JamiiForums Tanzania Magic mushrooms inanguvu kubwa sana yakufanya ubongo wako uiingie katika ulimwengu wakufikirika wa miujiza

    Magic mushrooms sio tuu kukuingiza katika ulimwengu wa maajabu Pia ninzuri sana kwa wale wanao Fanya meditation yakiwango cha juu sana. Hii ni ninzuri sana kwa wale wavivu wakukaa kitako muda mrefu kwenye tahajudi. Utakapo tumia hii kitu nihapo hapo itakuingiza katika ulimwengu wako...
  12. JamiiForums Tanzania Unajua watu fulani wako hatarini kupigwa marufuku kukanyaga Marekani?

    Unaweza ukasema, "kwani Marekani ni Mbinguni?" Lakini ukweli ni kwamba wakubwa wengi wanapenda kwenda huko ama kwa ziara rasmi au kwa ajili ya kutumbua hela! Hata mimi kuna siku nitafika USA! Taarifa iliyopo ni kuwa Marekani inalifuatilia sakata la wanaharakati kutoka nchi jirani kudhalilishwa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salma Kasanzu: Waliohama CHADEMA kwenda CHAUMMA wako kwa ajili ya kupambania matumbo yao, tuwazomee popote

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa kutoka Mkoa wa Mwanza Salma Kasanzu awataka wananchi mkoani Mwanza kuwazomea viongozi wakuu wa CHAUMMA ambao wametoka CHADEMA akidai kuwa viongozi hao wapo kwa ajili ya kupambania matumbo yao na sio wananchi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  14. JamiiForums Tanzania Bado hawa watu wako kwa usingizi mzito!

    "Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
  15. JamiiForums Tanzania Ni wachezaji gani wa soccer walikukosha katika kila kipindi cha utoto wako, teenage yako na utu uzima wako?

    Upande wangu: Utoto: David Beckham Teenage: Christiano Ronaldo Utu Uzima: Mbappe Karibuni.
  16. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako kama yupo chuo sio wako tena ndugu

    She takes you for granted
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Viongozi wa Chadema waliojiondoa kwenye chama nafasi zao kuzibwa

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ametoa agizo la kujazwa kwa nafasi zote zilizoachwa wazi na viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, ili kuimarisha uongozi na kuendeleza kampeni yao ya "No Reform, No Election". Agizo hili limetolewa leo Alhamisi Mei 15 mjini Bariadi wakati wa mkutano wa...
  18. JamiiForums Tanzania Usifanye kosa hili, Uzito wa Kuku wako, ni silaha ya mafanikio

    ⚖️Uzito ni Msingi wa Mafanikio Katika Ufugaji wa Kuku wa Mayai! Kwa muda sasa tumekuwa tukitembelea wafugaji wa kuku wa mayai katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Kitu cha kushangaza (lakini cha kawaida sana) ni kwamba wafugaji wengi hawana mizani kabisa ya kupimia uzito wa kuku wao! Hii...
  19. JamiiForums Tanzania Vitu gani vilikufanya ubadilishe mtazamo wako juu ya kitu ama jambo fulani..?

    Sisi kama binadamu kuna vitu vingi tunapitia nakuwa na uzoefu katika vitu hivyo!, Navyo hutupelekea kubadilisha njia ama mtazamo juu ya kitu fulani je, wewe ni vitu gani hivyo vilikufanya ubadili mtazamo juu ya kitu fulani..? Binafsi ni kazi. Nina hulka ya introvert, ila kazi niifanyayo...
  20. JamiiForums Tanzania Je unajutia muda wako uliopoteza kukesha vibanda umiza kwaajil ya kazi za watu hawa Alka Yagnik na Kumar Sanu? Wakali wa masong makali kutoka india

    Alka Yagnik na Kumar Sanu ni waimbaji wawili maarufu wa India waliotawala muziki wa filamu za Kihindi (Bollywood) hasa katika miaka ya 1990 hadi 2000. Sauti zao zenye hisia na ushirikiano wao na watunzi mashuhuri kama Nadeem-Shravan, Jatin-Lalit, na Anu Malik ziliwafanya kuwa sauti kuu za nyimbo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…