Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini juzi nimestushwa sana na andiko la Wakili ambaye anatajwa kuwa Mweledi sana wa Sheria Wakili Peter Kibatala,kuhusu Kesi ya Ndugu Tundu Antipas Lissu,andiko ambalo alipost kupitia mtandao wa X zamani Twitter!
Katika andiko hilo Wakili Peter...