Chukulia tu, kesi inayomkabili Lissu ingalimkabili wakili wa Serekali, angalikumbuka angalau kifungu kimoja cha sheria kichwani? Nakusudia kwamba juu ya ubobezi wa sheria alionao, angalijiamini ajitetee mwenyewe na ateme vifungu vya sheria mahakamani?