Ujinga mwingine huo, eti wakenya wapewe passport za Tanzania ili kuweza kusafiria nchi za SADC kirahisi.
Tukatae kwa nguvu zote na kama Rais wetu akikubaliana na huo ujinga tuhakikishe tunakataa kwa nia moja na kwa umoja.
Hiyo ni mojawapo ya ajenda zitakazojadiliwa na wafanyabiashara wa Kenya...