Wakenya hivi mnaelewa maana ya "Kutia kidole"?

Abby Newton

JF-Expert Member
Nov 12, 2017
1,227
2,197
Ukikiongea Kiswahili cha Kenya hadharani ukiwa Tanzania unaweza jikuta umeshushiwa kipigo heavy.

Hii lugha inawapiga chenga sana. Tuendelee kuwasaidia ipo siku wataelewa.

Mzee acha Ku complicate mambo.
Kupiga dole ni kuweka saini.
Mambo mengine ni lugha za kihuni.
Halafu mama alisisitiza mumomumo kwa lugha ya Uhuru "kutia kidole"! Nilikuwa nafikiria Uhuru command of Kiswahili is good ila speech ya jana ikmeniamsha kiukweli Museveni anaongea vizuri zaidi!
 
Halafu mama alisisitiza mumomumo kwa lugha ya Uhuru "kutia kidole"! Nilikuwa nafikiria Uhuru command of Kiswahili is good ila speech ya jana ikmeniamsha kiukweli Museveni anaongea vizuri zaidi!
Museveni kaishi hadi manzese, Kiswahili hakiwezi kumsumbua
 
Ukikiongea Kiswahili cha Kenya hadharani ukiwa Tanzania unaweza jikuta umeshushiwa kipigo heavy.

Hii lugha inawapiga chenga sana. Tuendelee kuwasaidia ipo siku wataelewa.
Nashangaa sana mama hajawapelekea kamusi
 
Shida inakuja kutafsiri neno "kutia" , neno la kawaida na kugeuzwa kuwa na maana moja tu. Utasikia mtu akinena "niwekee chai kwenye kikombe " ambapo kimantiki haiyumkini, kuweka kiuhalisia ni sehemu tambarare , je kikombe / bilauri havina shimo ? Kwa nini tusirudie kusema " nitilie maji mwenye bilauri / kikombe ?"
 
Kiswahili ni matusi tupu.tukiache basi!!

Chukua binti angu katembee!! Bustanini!! Hili Akitamka muhindi mswahili utakaa chini....

Tia dole eti ni tusi....? Neno mgwate mwimye ao!! Kwa kijita watakuua....lkn manake nyoosheni paleee....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom