wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kenya2022 Wakenya kwa kauli hizi, anafaa kuwa Rais huyu ndugu yenu?

  2. Kenya2022 Ruto kwa Uhuru Kenyatta: Acha kuwatisha Wakenya na Kuniongelea

    Deputy President William Ruto has yet again launched an onslaught against his boss, Uhuru Kenyatta, following a series of remarks made by the Head of State recently. In a bare-knuckle response to alleged threats by President, the DP has fired back at Uhuru telling him to focus on his retirement...
  3. Kenya2022 Mdahalo wa Urais: Ruto amkaanga Odinga, asema hana la kuwaambia Wakenya

    William Ruto amekosoa uamuzi wa Mpinzani wake, Raila Odinga kutoshiriki Mdahalo wa Wagombea Urais katika Uchaguzi wa Agosti akisema kitendo hicho ni kuepuka Uwajibikaji Amesema Raila si Mgombea halisi na hajashiriki Mdahalo kwasababu anaepuka Maswali magumu. Ruto amedai Mpinzani wake hana...
  4. Wakenya wanaotaka kutembelea Ulaya kusubiri hadi Septemba, VISA zimeisha

    VISA za kuingia nchi za 26 za Ulaya zimeisha hivyo wakenya waliokuwa wanataka kuingia nchi hizo watasubiri hadi Septemba 2022. VISA za Schengen ina nguvu za kumfanya mtu atembelee nchi yoyote ya Umoja wa Ulaya kwa muda wa miezi mitatu. COVID-19 yatajwa kuwa sababu ya VISA za Schengen kuadimika...
  5. K

    Kipi kimewafanya Wakenya kuwa watu wa maajabu?

    Ni kawaida kabisa Nairobi kukutana na mtu mwenye akili timamu barabarani akiwa amevaa koti na tai mchana wa jua kali Ni kawaida kabisa kwa mtumishi mwenye cheo kikubwa kabisa Kenya kuvuta bange, kutafuna miraa au kunywa chang'aa Ni kawaida kabisa kwa kijana wa Kikenya kufa wakati akijaribu...
  6. M

    SI KWELI Polisi nchini Kenya yapiga marufuku Maandano ya kupinga kuondolewa kwa wamasai wa Loliondo

  7. R

    Wakenya leo hamuondoki mpaka tumalizane na dada zenu

    Aiseeeee habar wakuu leo naona sabasaba pamejaa wakenya wengine hata kiswahili tutashuka nao ngeli mpaka kieleweke leo lazima washike ukuta So wadau leo lazima kieleweke nipo na Zero IQ apa hatoki mtu tutaweka picha baadae Eaat africa community
  8. K

    Uzi maalum kwaajili ya wachimbaji wa dhahabu

    Niwe muwazi mimi sio mchimbaji wa dhahabu lakini nimezungukwa na wachimba dhahabu wengi sana hapa ninapoishi kwahiyo nimeamua nianzishe huu uzi maalaum ambao utakuwa ukitumika kupeana updates za machimbo mapya na stories nyingine za kiuchimbaji Kwa walioko Geita kuna machimbo mapya yameibuka...
  9. U

    Majina ya Wakenya

    1: NDINDI NYORO[emoji1787][emoji1787] 2: MUSALIA MUDAVADI 3: RAILA ODINGA 4: WAIFULA CHEBUGHATI 5: RIGATHI GASHAGUA 6: MUTURA KILONZO 7: 8: 9: MKO NA MAJINA MAZURI SANA YA KIAFRIKA, NAJIULIZA HUU UZUNGU MLIUPATANGA WAPI? [emoji35] Weka na wewe Majina ya Wakenya unayoyajua uondoe[emoji51]
  10. Hakuna namna, Wamasai lazima wakubali kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao

    Watanzania wenzangu, Ngorongoro ni lazima ilindwe kwa nguvu zote. Japo Wamasai hawataki kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kama maeneo mengine ambapo paliwahi kufanyika operation kama hii lakini ni lazima waondoke ili nia njema ya serikali ya kuilinda na kuhifadhi ngorongoro yafanikiwe...
  11. Wakenya naomba mnijuze, Rais Uhuru Kenyatta na mpambe wake ni ndugu?

    Nimekuwa nikiona matukio kadhaa mpambe wa Rais akiwa na mazoea sana na Rais wa Kenya, ni kama vile imevuka mipaka. Je, huyo mpambe wake ni ndugu?
  12. Textile manufacturing company imeajiri Wakenya 3,000

    Ifahamu textile manufacturing company iliyofungua kiwanda chao Kenya mwaka wa 2020. Sasa hivi imeajiri Wakenya 3,000. Kampuni hio ipo ndani ya special economic zone. MAS Intimates Kenya Athi River in Machakos County MAS Intimates Kenya Limited is a scion of MAS Holdings, the largest...
  13. Kampuni hii itaajiri Wakenya 4,000 pindi tu ujenzi wa ofisi yake utakapokamilika

    Kuna hii kampuni ya call centre na BPO inayojenga headquarters yake Kenya ndani ya Tatu city. Ujenzi utakapokamilika, wataajiri Wakenya 4,000 kufanya kazi ya call centre na BPO. Biashara hii ya BPO India na Phillipines ndio zimedominate. ========= CCI Global, the largest international...
  14. Wakenya ndio wanaompaisha Diamond Platinumz

    Kumbe watu wanaomshikilia na kumsapoti Mondi ni Wakenya? Gazeti la Tanzania la The Citizen linasema kwamba ndani ya miezi 12 zilizopita video za Diamond kwenye youtube zilipata 136 million views na kati ya hizo views, 107 million zilikuwa zinatokea Kenya. Kumbe Watanzania hampendi Diamond au...
  15. Majirani Wakenya, bei za mafuta Tanzania zimepanda 157.6 - 168.3 petrol & 163.2 - 169.7 diesel. Kwenu vipi?

    hizi bei zimeanza kutuchoma kama pasi wenye vipato vya kawaida hali ipo vipi kwa Kenyatta huko? Petrol 3,148 tshs / 157.66 kshs >>> 3,361 tshs / 168.3 kshs Disel 3,258 tshs / 163.2 kshs >>> 3,390 tshs / 169.78 kshs
  16. KENYA: Kilio Wakenya wanaouawa, kudhalilishwa kisa kazi Mashariki ya Kati, Serikali yaambiwa kuamka

    Francis Atwoli Katibu wa Muungano wa Wafanyakazi (COTU), Francis Atwoli ameikosoa Serikali ya Kenya kwa kutokuwa na nguvu katika suala la Wakenya kufanyishwa kazi katika Nchi za Mashariki ya Kati. Atwoli amewajia juu Waziri wa Kazi na Waziri wa Masuala ya Kigeni kwa kushindwa kushughulikiwa...
  17. Wakati wenzetu wanang'aka kuhusu vita DRC, Waganda tayari wameanza kuchangamkia fursa, Wakenya tusichelewe

    Wafanya biashara wa Uganda wamehojiwa wengi wameanza jitihada za kuchangamkia soko la DRC na fursa zilizopo, hii ni baada ya DRC kuwa mwanachama ndani ya EAC. Wakenya tusichelewe, bahari Hindi na Atlantic zimeunganishwa, tupambane.... Naomba pia serikali zetu zirahisishe suala la vyeti kama...
  18. Serikali ya Kenya yatumia Ksh 1B kwa wiki kununua wanasiasa wa upinzani, wakati Wakenya wengi wanakufa kwa njaa

    Nchi ya hovyo, hupata viongozi wa hovyo Tony254 dyfre
  19. D

    Wakenya hebu nifafanulieni kuhusu Ugavana, Useneta na Ubunge huko kwenu

    Naomba ufafanuzi kuhusu nafasi za kisiasa za ugavana, useneta na ubunge. Kwa vigezo vifuatavyo. Kiongozi yupi ni mkubwa kuliko wengine, magavana wapo wangapi nchi nzima, maseneta pia na wabunge.
  20. Kenya2022 Raila Odinga awaonya Wakenya dhidi ya kumchagua Ruto, amuita "Mr Promise"

    Kinara wa ODM Raila Odinga na kikosi chake cha Azimio wamewaonya Wakenya dhidi ya kumchagua Naibu Rais William Ruto. Waziri Mkuu huyo wa zamani alimtaja Ruto kuwa ni ‘Bw Promise’ ambaye anatumia ahadi ‘tupu’ kuwashawishi wapiga kura, na kukataa ahadi hizo baada ya kuingia madarakani. "Yote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…