wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Huwa unamuamini asilimia ngapi mwenyeji wako anapokwambia usiogope, Mbwa wake hang'ati?

    Karibu sana mgeni! Usiogope Mbwa wangu hawang'ati! Hii kauli huwa unaiamini asilimia ngapi ? Kuwa tu mkweli kabla sijakwambia jambo! Usisahau! Kuna wanaong'atwa na mbwa wao wenyewe! Mfano kingunge, na mwingine south!
  2. Hivi mwenyekiti wa chama cha TLP ni nani?

    Naomba kujuzwa, TLP ina Mwenyekiti ama ndo byebye?
  3. Tabia ya kulala na wake za watu na athari zake

    Kwanza nianze na salamu. N.k.j.j.m.w. Hii tabia ni mbaya Sana. Wanaume wetu wanateseka Sana wanapojua wamechapiwa. Wengine huamua kuchukua hatua mbalimbali zikiwemo za kichawi. Kumtoa MTU busha nk
  4. S

    Donor countries hawaanzi na sala na dua katika shughuli za kiserikali lakini watumishi wake ni waadilifu sana. Hapa Tanzania sasa!!

    Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasababu tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni. Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na...
  5. Urusi kutuma wasanii wakawatumbuize wanajeshi wake walioishiwa na ari au mzuka

    Wanahisi labda wanajeshi wakitumbuizwa watakubali kupigana maana pamekua pagumu.... Russia says it will deploy musicians to the front lines of its war in Ukraine in a bid to boost morale. The defence ministry announced the formation of the "front-line creative brigade" this week, saying it...
  6. USHAURI: CCM iwe na Katibu wa Itikadi na Uenezi upande wa Bara na Makamu wake atoke visiwani

    Nimefuatilia sinema inayochezwa na CCMbara nimegundua kuna umuhimu wa kuwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wawili kwa kila upande wa seriksli zote mbili. Kwa sasa ukifuatilia sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. CCM upande wa bara tumepiga na kitu kizito itakapofikia muda wa kutoa...
  7. Majirani wazuia jeneza la kijana kuingia kwa wazazi wake

    Wananchi wa Mtaa wa Maganga, maeneo ya Nurulyakini, Temeke, Dar es Salaam wamezuia mwili wa marehemu Pius Beda maarufu Stahimili (32) kuingia nyumbani kwa wazazi wake, kuonesha hasira zao kwamba wazazi hao walishindwa kumhudumia alipokuwa hai. Kijana huyo alikutwa amekufa kwa kujinyonga...
  8. Mbowe Kalamba Asali Asibishe. Toka Ukaribisho wake Ikulu Watu Walisema

    Upinzani imara ndio hufanya Serikali ya CCM yenye utendaji imara na wenye hofu Kwa Umma na tija Kwa wananchi. Pia usikivu na uwajibikaji wa haraka na majibu haraka ya kero mbalimbali Kimsingi imani iliyopo ya hayo maridhiano ambayo ni maridhiano uchwara, pengine msingi wake ni kumponya Mbowe...
  9. Cristiano Ronaldo ‘atibuana’ na wakala wake

    Inadaiwa kwa nyota huyo wa Ureno hafanyi kazi kwa ukaribu na wakala wake huyo, Jorge Mendes kutokana na wawili hao kupishana mitazamo juu ya timu ambayo Ronalo anatakiwa kujiunga nayo. Inaelezwa kuwa klabu zinawasiliana na Ronaldo (37) moja kwa moja kwa ajili ya mazungumzo ya kumsajili badala...
  10. Iringa: Ahukumiwa kunyongwa baada ya kumtupa mtoto wake Mto Ruaha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyopewa mamlaka ya ziada mkoani Iringa imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Abuutwalib Seif (34) Mkazi wa Igumbilo, baada ya kukutwa na hatia ya kumuua kwa kumtupa mtoto wake Khadija Seif (5) mto wa Ruaha. Mtoto alikuwa ni mlemavu wa viungo. Akisoma kesi hiyo jana Hakimu...
  11. Changamoto mbalimbali kwa watumishi wanaohama vituo vya kazi na utatuzi wake

    Habari za muda huu ndugu watumishi wa Umma. Naomba uzi huu Uwe maalum kabisa kwa ajili ya kupeana uzoefu kuhusu changamoto mbalimbali zinazo wakabili watumishi wa umma kabla, wakati na baada ya kupata uhamisho wa kikazi. Mfano Mimi binafsi niliomba uhamisho wa kubadilishana kituo cha kazi...
  12. Mikopo ya Biashara: Jinsi ya kuipata na usimamizi wake

    Habari za wakati huu ndugu, Wengi tunafahamu kuhusu Mikopo, kuna wanaokopa vyakula dukani kwa mangi, kuna wanaokopa mikopo ya mishahara, magari, nyumba au hata biashara katika benki na taasisi nyingine. Kuna pia wanaokopa mali kwa ajili ya biashara au uzalishaji. Katika biashara yoyote ile...
  13. Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

    Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano. Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure...
  14. Kwa wale tuliyowaacha wake zetu bila kuwapa talaka au kuvunja ndoa tujadili maendeleo yetu tafadhari

    Heheee hii Dunia ni raha sana, nilipata bahati ya kuoa mwanamke kimasihara tu mwaka 2019 nikiwa hapa Dodoma niliishi nae maeneo ya mjimpya,. Basi bwana nikawa na route nyingi za kwenda Kilosa, na Turiani huko kwenye kilimo Cha mpunga. Home naacha mazaga zaga yote gunia la mpunga safeti la...
  15. Ambao tulikuwa na Wake, Wapenzi na Wachumba wenye tabia ya kugawa sana namba zao za simu kwa Mabaharia. Njoo tusemezane hapa.

    Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Ni imani yangu sote tu buheri wa afya. Nina kisa Cha mpenzi aliitwa Agnes, katika ubora wake huyu mtoto wa kingoni alikuwa na roho nzuri ya kila kitu yaani kila kitu, Hakuwa mchoyo wa chochote iwe pesa, penzi, chakula, kuazimisha nguo, viatu, simu, kukopesha...
  16. Hivi Kwanini Wanaume Madaktari, Mapolisi, Wanasheria, Wajeshi wanaogopeka Kwa wake wa Majirani Zao. Umwamba wao ni nini?

    Habari zenu nina imani mwabuheri wa afya. Nadhani baadhi yetu tunasikia sana namna hao wadau tajwa hapo juu wanavyoopewa sana Kwa kupasua anga za mbususu, je wana utofauti gani wengine kiasi kwamba wanakuwa na utisho Kwa majirani Zao wenye wake. Wana pepo gani Mtambuka kuwazidi wengine, au...
  17. S

    Goli la Messi: Uchambuzi na utangazaji wa soka ni jambo lisilo na misingi ya kuzingatia bali ni kila mtu na mtazamo wake

    Katika mechi inayoendelea muda huu, mshambuliaji Messi kafanya kazi ya ziada iliyopelekea Argentina kupata bao la kuongoza baada ya kutoa pasi nzuri kwa mfungaji. Kazi kubwa aliyofanya Messi ingefanywa na mchezaji mwingine, sifa zingeenda kwa mfungaji wa bao(mmaliziaji) na sio alietengeneza...
  18. Ijue Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa na Wajumbe wake

    Leo katika kujifunza masuala ya siasa, ningepeda kuwaelezea kuhusu NEC ya CCM. Kuna watu wengi hawaijui na hawawajui wajumbe wake. Baada ya marekebisho madogo ya katiba ya CCM kumekuwa na ongezeko la viti. Ngoja nianze kulingana na KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa...
  19. L

    Hayati Jiang Zemin kukumbukwa kwa mchango wake wa kuendeleza uhusiano kati ya China na Afrika

    Tarehe 30 Novemba taifa la China lilikumbwa na msiba mkubwa baada ya kumpoteza rais mstaafu wa China Jiang Zemin aliyefariki mjini Shanghai akiwa na umri wa miaka 96 kutokana na ugonjwa. Akiwa kiongozi mashuhuri wa awamu ya tatu ya China, Jiang aliiongoza China kupata maendeleo makubwa, na pia...
  20. Tunaitaka Tanganyika yetu! Wakati ni huu...

    Wakati tukiwa na Rais Kikwete ambae yeye ndie aliekuwa mpiganiaji wa jambo hili alipokuwa akisota bungeni, kinachohitajiwa ni kusituliwa tu na kuambiwa ule wakati ndio huu. Tunaitaka Tanganyika. Tunataka kufuta kasoro za Muungano. Tunataka Rais wetu. Tunataka Bendera yetu. Tunataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…