wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Baba adaiwa kumuua, kumzika mtoto wake wa miaka 5 porini

    GEITA: Mtoto Dickson Elias (5) mkazi wa Chikobe, Kata ya Butundwe, Wilaya ya Geita mwenye ulemavu wa viungo, ameuawa na baba yake mzazi kisha kuzikwa porini kwa madai ya kushindwa kuendelea kumlea baada ya mama mzazi wa mtoto huyo kurudi kwao. Kufuatia mauaji hayo, Jeshi la Polisi Mkoa wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mme wake Rosa Ree yuwapi kipindi hiki kigumu anachopitia mke wake? Ndoa bado ina pumzi?

    Mme wake Rosa Ree ni kama vile hayupo kwenye kipindi kigumu hiki anachopitia Rosa Ree, Ndoa ilifungwa mwaka juzi 2021 september, ni takribani mwaka na nusu hadi sasa.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake , mfano mzuri ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake!

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa eerikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo menig yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na maligno yaliyokuwa wenye visin ya nchi za...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake, mfano ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa serikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo mengi yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na malengo yaliyokuwa kwenye vision ya nchi za...
  5. JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimaro amelewa urafiki wake na matajiri

    Wasalaam JF, Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu. Yawezekana KKKT imemfanya Mch...
  6. JamiiForums Tanzania RPC Muliro: Wanaume mnaopigwa na Wake zenu acheni Kudanganya kuwa mmepata Ajali ili mpate PF3

    "Unamuona kabisa kuwa huyu Mwanaume hajaumia kwa Ajali bali kachezea mno Kichapo cha Mkewe Nyumbani na unataka kumsaidia halafu anakataa na kuzidi Kukudanganya. Wanaume mkipigwa na Wake zenu kuweni Huru kuja Polisi au kwenda katika Madawati ya Kijinsia na mtapata Msaada" amesema RPC Kamanda...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

    Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima. Nina marafiki zangu kadhaa nimepata kuwafaham kwa kiasi hivi karibuni, kwa kweli ni waaminifu kwa wake zao. Ni ngumu sana au ni mara chache kumkuta kijana wa kikirsto...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ndiye msimamizi wa shughuli zote za serikali, inakuwaje taarifa ya CAG inasema 'tumepigwa'? Usimamizi wake ni hafifu?

    Mzee wetu Majaliwa kwa kweli ndio C.E.O, kwa maana ya mtendaji mkuu wa serikali. Kwa nini madudu haya yanatokea na yeye akiwepo? Ameshindwa kusimamia shughuli za serikali? Bunge linatakiwa limuhoji yeye kwa kuwa Yuko Bungeni kwa niaba ya serikali, na ndiye mtendaji mkuu. Kama hana majibu...
  9. JamiiForums Tanzania TANESCO, hii hela ambayo surveyor anadai kulipwa na mteja pale anapotaka kuvutiwa umeme ipo nje ya wajibu wake?

    Kuna hela ambayo kuna mtu anaitwa surveyor hutaka kulipwa pale mteja anapotaka kuvuta umeme, je, kazi hii ni nje na majukumu yake ya kazi? Maana bila kulipa hii hela aisee huyo surveyor hadi akufikie utazeeka huna umeme.
  10. JamiiForums Tanzania Katavi: Ajinyonga chumbani kwa Watoto wake

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Eden Mwakipesile (49) mchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu Mkazi wa Kijiji cha Ibindi Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi amekutwa akiwa amejinyonga hadi kufa ndani ya chumba cha kulala watoto wake kwa kutumia Kamba. Diwani wa Kata hiyo ya Ibindi Daniel Peter...
  11. JamiiForums Tanzania Geita: Mwalimu atuhumiwa kumuua mkewe

    HABARI Polisi mkoani Geita wamelazimika kufukua ndani ya nyumba ya mwalimu Francis Elizeus wa shule ya msingi Lubanga baada ya ndugu wa mke wake kumtuhumu kuwa amemuua mke wake Jenifer Mashimo na kumfukia ndani hali iliyopelekea ndugu hao kumtishia maisha mwalimu huyo. Mke wa Mwalimu huyo...
  12. JamiiForums Tanzania Kinachomuangusha Rais wetu ni wateule wake!

    Mteule ni nani? Mteule ni mtu fulani aliyeaminiwa na mteua au kiongozi wa mamlaka fulani ili amsaidie kwa uaminifu katika shughuli za uangalizi, utendaji kuwa mkweli kwa mteua, kumshauri kwa kile kilicho chema bila kumwingiza mteua katika aina yoyote ya uwongo ulaghai wizi na maovu yoyote yale...
  13. JamiiForums Tanzania Godbless Mushi adaiwa kujaribu kumbaka mtoto wake wa miaka mitano

    Jeshi la polisi mkoani Mwanza limemkamata na linaendelea kumhoji Godless Mushi (39) mfanyabiashara wa kuza vifaa vya magari kwa tuhuma za kujaribu kumbaka mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka mitano Taarifa ya jeshi la polisi kwa vyombo vya Habari inasema mnamo Aprili 2/2023 saa nne usiku...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanza: Ajikata uume wake akitaka kujiua

    Mkazi wa Kitongoji cha Kasuzu Kata ya Namagondo Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, Anselumu Sebuka (42) amejaribu kujiua kwa kujikata uume wake. Taarifa ya Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kwa vyombo vya habari inasema tukio hilo limetokea Aprili Mosi, 2023 Saa 2:00 usiku ambapo Sebuka alikata uume...
  15. JamiiForums Tanzania M-Pawa na mikwara ya kuwashtaki wadeni wake

    Nina jirani angu anahaha, kaja mbio mbio kuomba nimuazime pesa aweke kwenye M-Pesa alipe deni la M-Pawa. Jamani Vodacom mtatuliia watu na mikwara yenu. Jana jioni ilinilazimu nimtulize asubiri mwisho wa mwezi alipe, niliona haina maana kutoa pesa alipe ili hali anauwezo wa kulipa pesa baadae...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Huwa unajisikiaje unapokuwa umetoka na mpenzi wako halafu mkakutana na ex wake uso kwa uso?

    TAFITI zinaonesha yafuatayo: Wanaume kuna kibaridi fulani hivi kinakupata nakuanza kujiuliza maswali kibao. Jamaa alimkula demu wangu mpk akatupa kule? Mastaili anayonipa mpenzi wangu usikute jamaa ndiyo alimfundisha. Eeh? Kwahiyo mm natafuna makombo ya jamaa?. Jamaa huyu ananionaje mimi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu duniani wanakimbilia Ulaya na Marekani kuliko China, Urusi na washirika wake?

    Kumekuwa na wimbi la watu kukimbia mataifa yao duniani kote hususani Afrika na wengine wakiwa tayari kufia baharini ili wafike Ulaya na Marekani. Najiuliza kwanini watu hao hawakimbilii China, Russia na washirika wao? Wataalamu tujuzeni inakuwaje kila mtu anaona Ulaya na Marekani ni peponi...
  18. JamiiForums Tanzania Je, wajua Ulimwengu mzima ikiwa kila Mwanaume ataoa Mwanamke mmoja, Wanaume milioni 65.51 watakosa wake wa kuoa?

    Hadi kufikia Mwaka 2021, idadi ya wanaume duniani ilikuwa 3,970,238,390 au milioni 3,970 au bilioni 3.97, wakiwakilisha 50.42% ya idadi ya watu ulimwenguni. Idadi ya wanawake duniani ilikadiriwa kuwa 3,904,727,342 au milioni 3,905 au bilioni 3.905, ikiwa ni 49.58% ya idadi ya watu duniani...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni mtu wa kukaa nyumbani na kumsikiliza Mume wake, nani anabisha?

    Mwanamke hakuna mahali kwenye maandiko, asili ya maisha ya Mwanadamu alipopewa nafasi ya kuongoza kiibada au kiutawala. Baada ya kuletewa hizi dini za wageni, dini za michongo tunawaona wanawake wanakuwa (Wachungaji) manabii shetani ameshika hatamu kwa kupitia Wanawake. Wanaume tumekuwa dhaifu...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiijua kweli hutoteseka kamwe

    Kuna watu hawaendi Msikitini wala kanisani, ila wako na Imani kubwa mno wako na matendo mema wanasaidia maskini wako na adabu wanamuheshimu kila mtu wenye dini zao na watu tofauti. Unajilipua... unategemea upate pepo ya Muumbaji inakuingia akilini kweli? Waliotetea waafrika hawapo kwenye vitabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…