wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lasalimu amri na kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake na kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
  2. JamiiForums Tanzania Kissa Sins anazeeka na utamu wake

    Wazoefu mtwambie, Huyu mwanamama KISSA SINS atakua anakula lishe ya namna gani, Maana ni amegoma kabisa kuzeeka. Miaka inaenda bado namuona yuko vile vile tu๐Ÿ˜Š
  3. JamiiForums Tanzania Rafah huko Gaza sasa hivi iko mikononi mwa majeshi ya Israel baada ya wakazi wake kuamriwa kuondoka huko na majeshi ya Israel

    Majeshi shupavu ya israel yameushikilia kikamilifu baada ya wakazi wake kuamriwa kuondoka maeneo hayo na Majeshi ya Israel. Majeshi hayo ya duka ATA mji huo bila upinzani wowote. Wengi walitarajia wale askari wa Hamas waliokuwa wanavaa Combat wakati wa mabadirishano ya mateka wangejitokeza ili...
  4. JamiiForums Tanzania Amuua mzazi wake baada ya kufumaniwa

    Hii hapa taarifa iliyowekwa kwa mtindo wa taarifa kwa vyombo vya Ontario, Canada โ€“ Katika tukio la kusikitisha na la kushtua, mzazi mmoja wa kike amefariki dunia ghafla baada ya kupokea taarifa kwamba binti yake, aliyekuwa tayari kuchumbiwa rasmi, amefumaniwa akiwa na mpenzi wake wa zamani...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume anapofanya mapenzi na side chick, huwa anahisi kama akiwa na mpenzi wake wa kweli?

    Wanaume wengi wanapokuwa na โ€œside chickโ€ huvaa full romantic mode โ€” kumuwekea mto, kwenda โ€œdownโ€, kuhakikisha yupo comfortableโ€ฆ na wengine hadi wanacuddle baada ya tendo! Lakini huyu si wake halali, wala hamchukulii serious. Swali ni moja: Je, mwanaume akiwa na side chick, huwa anahisi kitu? Au...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Anayepambana na Lissu tumwambie tu Ukweli anapoteza muda wake na mali zake.

    Idadi ni ndefu sana. Kila aliyejaribu kupambana na Mh Tundu Lissu kwa njia mbali mbali na mbunu kali kali alishindwa. Huyu Lissu ni mtenda haki, amekuwa siku zote mpigania amani na haki ktk maisha yake yoote. Mwenyezi Mungu amemjalia baraka hii. Nayo inamlinda. Sihitaji kutaja list ya...
  7. JamiiForums Tanzania Zelensky anazidi kuzivuta nchi za Ulaya ziingie vitani na Urusi kwa uchokozi wake huku nchi za kiarabu zikijficha kusaidia ndugu zao wanaodhulumiwa

    Dunia kwa sasa ina vita viwili mashuhuri zaidi na ambavyo havifanani kabisa. Kwanza ni vita vya Ukraine ambavyo raisi Zelensky ambaye baada ya kuvimbiwa utajiri akakubali kazi ya kuichokoza Urusu kwa faida ya nchi za NATO. Vya pili ni vita vya Gaza ambavyo wapalestina wakiongozwa na Hamas...
  8. JamiiForums Tanzania Ana miaka 47 anaishi kwa Wazazi wake, kazi hana na anataka kuja kwetu kujitambulisha

    Mambo mengine ni ya aibu hata kuyaelezea. Huyu BABA ana miaka 47, amenipita 12 years, niliwahi kutoka naye kimapenzi nikiwa chuo, Ila nikampiga chini baada ya kuona hana vision na hajui kusudi la yeye kuwepo duniani. Baada ya miaka mingi ya kuto onana, kwa kuwa Mimi niko Dodoma ninakoishi na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Gwajina yupo CCM kwa nguo tu Moyo wake upo upinzani

    Gwajina yupo CCM kwa nguo tu Moyo wake upo upinzani. Heche anaongea haya haya lakini machawa wamampiga madongo Je anayo ongea Gwajima hapa anampinga nani? https://youtu.be/2gvSQKmNeWw?si=xBlSbTN1zgqnahP_
  10. JamiiForums Tanzania Hizi abaya zinawatia uchizi wake zetu

    Wakuu...wife wangu leo nimeamini ya kuwa ni kweli bado mtoto sana...asubuhi ya leo amegoma kwenda msikitini,amegoma kupika kisa abaya. Iko hivi anadai abaya zilizopo ni za mwaka jana na zimepitwa na wakati,,nikamuuliza unataka kuiharibu bajeti niliyoipanga kwa muda mrefu...saivi utoe laki ya...
  11. JamiiForums Tanzania Unamjua mama mkwe wa kisasa Kajala?? Huu ndio mtoko wake wa Eid

    Hongera sana my young brother Marioo kwa kupata mama mkwe wa maana sana. Mama mkwe mwenye jina lake mjini. Mama mkwe hana baya na mtu. Mama mkwe akifa haozi. Dear Kajala, There's a very very bright future "behind your back"
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kumuamini Mungu bila kumuamini Mtume wake Mohamed ni kazi bure kabisa

    Wadau hamjamboni nyote? ุฑู‘ูŽุณููˆู„ูŽ ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ูˆูŽุฎูŽุงุชูŽู…ูŽ ุงู„ู†ู‘ูŽุจููŠูู‘ูŠู†ูŽ ูˆูŽูƒูŽุงู†ูŽ ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุจููƒูู„ูโ€ู‘ ุดูŽู‰ู’โ€ุกู ุนูŽู„ููŠู…ุงู‹ โ€œMuhammad is not the father of any of your men, but he is the Apostle of Allah and the Last of the prophets; and Allah is cognizant of all things.โ€ (33:40) "Muhammad si baba wa yeyote...
  13. JamiiForums Tanzania Wape ushauri dereva na utingo wake!

    Hawa jamaa derva na utingo wake, wamechoka kufa mtu. Hebu wape ushauri wa bure!
  14. JamiiForums Tanzania Wale za watu mjiheshimu jamani

    Kwanza awali ya yote kwa heshima na taadhima huku nikizingatia itifaki nawasalimu sana vijana wenzangu Niruke kwenye mada moja kwa moja mimi ni kijana wa makamo nipo kwenye Mid ya 3rd floor (30+) years. Me nimepata bahat na kibali cha kufanikiwa kwa kiasi flani kwenye maisha japo sio Tajiri...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Trump aionya Iran itarajie mambo mabaya kuipata isipokubali mazungumzo kusitisha mpango wake kutengeneza silaha za nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Trump warns of โ€˜bad, bad thingsโ€™ for Iran if nuclear deal not reached 14 hours ago Share US President Donald Trump waves at reporters at the White House, March 28, 2025. US president Donald Trump warned Iran on Friday that โ€œbad...
  16. JamiiForums Tanzania Mpwa avunja nyumba ya mama yake baada ya mjomba wake kung'ang'ania kwa muda mrefu

    Mpwa avunja nyumba ya mama yake baada ya mjomba wake kung'ang'ania kwa muda mrefu Ulitokea mgogoro wa muda mrefu kati ya mpwa na mjomba wake huku chanzo cha mgogoro huo kikisababishwa na tabia ya mjomba wake kung'ang'ania mali za mama yake https://www.facebook.com/share/v/1Zh6RTrPM5/
  17. JamiiForums Tanzania ๐–๐ก๐š๐ญ๐ฌ๐š๐ฉ๐ฉ ๐ฅ๐š ๐Œ๐จ๐ฌ๐ก๐ข ๐ฒ๐ž๐ญ๐ฎ: Kuna Mjinga mmoja atishia kuwafuta wanachama wenzake kwa ujinga wake kwenye group!

    ๐Š๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐š๐ง๐š ๐ง๐š ๐Œ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ง๐œ๐ก๐ข ๐ƒ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐š๐ฅ ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐š ๐ก๐š๐›๐š๐ซ๐ข ๐ณ๐ข๐ฌ๐ข๐ณ๐จ ๐ณ๐ข๐ง๐ ๐š๐ญ๐ข๐š ๐ค๐š๐ง๐ฎ๐ง๐ข ๐ณ๐š ๐ฎ๐š๐ง๐๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ก๐จ๐ฃ๐ข ๐ฉ๐š๐ง๐๐ž ๐ณ๐จ๐ญ๐ž ๐ณ๐ข๐ง๐š๐ณ๐จ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ก๐š๐›๐š๐ซ๐ข, ๐€๐ง๐š๐ฉ๐ž๐ฐ๐š ๐š๐๐ก๐š๐›๐ฎ ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ฎ๐ฉ๐จ๐ฌ๐ญ ๐ก๐š๐›๐š๐ซ๐ข ๐ฒ๐จ๐ฒ๐จ๐ญ๐ž ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ ๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐ฅ๐š ๐–๐ก๐š๐ญ๐ฌ๐š๐ฉ๐ฉ ๐ฅ๐š ๐Œ๐จ๐ฌ๐ก๐ข ๐ฒ๐ž๐ญ๐ฎ ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ข๐ฉ๐ข๐ง๐๐ข ๐œ๐ก๐š ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ 90 ๐ค๐ฎ๐š๐ง๐ณ๐ข๐š ๐ฅ๐ž๐จ 27/3/2025 - 26/6/2025, ๐ก๐ข๐ฏ๐ฒ๐จ ๐ฒ๐ž๐ฒ๐จ๐ญ๐ž ๐š๐ญ๐š๐ค๐š๐ฒ๐ž ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐š...
  18. JamiiForums Tanzania Nimenunua SSD 512GB ya SATA Kariakoo lakini kila nikiigoogle sioni manufacturer wake nahisi nimepigwa

    Mpaka naamua kujifariji au ni brand mpya haijafahamimika bado sokoni maana bei nilio uziwa nikilinganisha na maduka mengine inaweza kuwa ni nusu bei kingine kinachonipa wasiwasi nafasi kawaida ssd 512 ukiweka inasomeka 476gb lakini hii inasomeka 443gb nimetest kuhamisha large files za GB 271...
  19. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu jamaa anaedai kuibiwa vitu na hela milioni tano na alie kuwa mke wake wa ndoa.

    Huenda jamaa kamuua mke wake. Na hii story ametengeneza kama Alibi. Ushauri: Ahojiwe vizuri, anaweza akawa anajua mke wake yupo wapi. Thank me later ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
  20. JamiiForums Tanzania Money Penny ana bonge la wowowo, ivi mume wake nani huyu mama?

    Kuna mahali nimekuta mtu ameniandika hivi Like why? Mmeniona wapi? Wowowo gani tena? Nyiee me mke wa mtu msiniandike andike plz, Wowowo kwiyoo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ