wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bado wanaume mnahukumu tabia za wanawake kwa vigezo vya makabila yao?

    Kuna mdada gani sasa hivi hana kisirani? Kuna mdada gani sasa hivi agombani na mmeo hata kama sio physical mnaenda round saikolojiko? Its 2025, bado kijana anawaza ukabila wa mademu. Mademu wa kileo ni kabila moja🤣🤣
  2. JamiiForums Tanzania Ingekuwa John Pombe Magufuli anamaliza muda wake leo hii bado aliyemuamini Rais Samia

    Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii. Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua kama mgombea mwenza kipindi kile. Itakumbukwa pia Mtu wa pili aliyetajwa kuaminiwa na Magufuli ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde viongozi wa CHADEMA; Tazameni hili kwa upana wake

    Kuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu inayopandwa ni hatari sana. Ukiangalia mambo yanavyoenda inaonekana kazi ya kulinda Legacy ya Mbowe...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume anapofumania mwenza wake anatakiwa kuachana naye?

    (Sababu 7 za msingi zinazomlinda mwanaume kiheshima, kiafya, kiakili na kifedha) Katika dunia ya sasa ambapo maadili yanazidi kuyumba, kuna wanaume wengi wanaojikuta wanasamehe usaliti mkubwa wa wake zao kwa kisingizio cha watoto, familia au dini. Lakini ukweli mchungu ni huu: ukimvumilia mke...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Simba inaanguka taratibu na wauaji wake ni hawa hapa

    Kuna utafiti mdogo nimefanya na kugundua kwa sasa waliokuwa wapenzi wa Simba wengi wameanza kutafakari iwapo walikuwa sahihi kuishabikia timu hii. Hata hivyo kuna watu muhimu wanahusika moja kwa moja katika kuishusha Simba taratibu lakini kwa uhakika Wa kwanza ni mwekezaji ambaye bila kupepesa...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi punde tu Yesu anachukua/nyakua watakatifu wake walioko duniani..in no time..watu watanyakuliwa. Muda umefika

    KATIKA KALENDA YA KIROHO MUDA UMETIMIA ,Unabii wote umeshatimia,ishara zote zimeshatimia...muda sasa umefika.sekunde yotote sasa watu wa Mungu walioko duniani watanyakuliwa kwenda mbinguni kuishi na Mungu,wenye dhambi wote wataachwa hapa duniani.. SWALI: Naomba kuuliza kati ya Unyakuo wa...
  7. JamiiForums Tanzania Dogo Pateni ni msanii wa singo moja, amemaliza muziki wake tayari

    Dogo paten ni msanii wa singeli aliyebahatika kutengeneza hitsong moja ya Afande. Kwa kuwa ni msanii average haitotokea atoe hitsong nyingine bahati uwa haitokei mara mbili. Nachoshangaa sababu ya umbumbumbu wake ameinua mabega anavimbia watu. Amevimbia Mjini FM Kamvimbia Zuchu. Anavimbia...
  8. JamiiForums Tanzania Polepole, usisahau nchi au taifa lolote la Maana Msingi wake ni Mambo haya Makuu matatu; Chama chako kinavunja Msingi Mkuu wa taifa, hayo ni matokeo

    Mpo Salama! Taifa lolote la Maana, ndoto ya watu ni lile linalojengwa katika Misingi Mikuu miitatu; 1. Utawala Bora na Sheria (Good Governance and Rule of Law) Huu ni kama msingi wa nyumba. Bila utawala bora hakuna amani, hakuna haki, hakuna maendeleo. Sheria hutuliza, huongoza, na hutoa...
  9. JamiiForums Tanzania Mke wa Mrisho Mpoto alikua na cheo gani mpaka mwili wake ubebwe na bus la jeshi?

    Nimeona mitandaoni huko,mwili wa mke wa mrisho mpoto umebebwa kwenye bus la jwtz. Je huyo marehemu alikua ni Askari wa jwtz?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama wangekuwa wanapitia CCM basi chama kingekuwa kilishakufa zamani

    Nakiangalia mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama ndiyo wangekuwa wanapitia CCM,basi chama kingekuwa kilishakufa zamani. Naamini ni mda wa kukipa madaraka chama cha Chadema kama kukomaa kimekomaa zaidi ya CCM ni vile tu serikali haitaki kuruhusu uchaguzi huru maana hata wanachama wa...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba watu waliosoma na mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Skonge, Joseph Kakunda watupe ukweli wa majina yake

    Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda ila yeye na familia yake, pamoja na ukoo mzima ni waislamu . Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda . Nina mashaka Makubwa na Elimu yake. Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi. Hatuwezi...
  12. JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke ambaye wazazi wake walishatengana ila bado wanaishi

    Leo nimepita kijiwe nongwa nikakutana na mzee mmoja aliyekuwa akitoa maoni yake kwa hasira juu ya vijana ambao bado hawajaoa, Alikuwa na mtazamo mkali lakini wa kusisimua kuhusu mahusiano, na alisisitiza kuwa anazungumza kwa msingi wa uzoefu wa maisha na umri alionao Haya ndiyo aliyoyasema...
  13. JamiiForums Tanzania Watu wa karibu wasimulia chanzo cha kifo cha Daktari Magreth huko Kilimanjaro

    Naona watu mnazungumza bila kuwa na taarifa za kutosha kuhusiana na kifo cha daktari, na wengi mnazungumza kwa hisia. Kwa kifupi iko hivi , Mzazi wake Dr Magreth pengine ndiyo chanzo cha haya yote. Magreth alishampeleka mchumba wake nyumbani kwa mzee wake akamkataa na alimgomea mara kadhaa...
  14. JamiiForums Tanzania Radio na TV sasa zitarudi katika ubora wake ikiwa wamewazuia watu ambao hawajaenda shule kutangaza

    Kwa hili Serikali imefanya jambo jema Sana . nasikia Chumvi amelimwa kichwa.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Arusha: RC Kihongosi akionesha uwezo wake wa kuimbisha nyimbo za kizazi kipya

    CCM ina hazina kubwa Cheki Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kihongosi akionyesha uwezo wake mkubwa wa kuimbisha nyimbo za kizazi kipya https://youtu.be/eJgyNBrkPas?si=MrgfOBY0Fj3NtgUB
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

    Kwema humu Jamani mimi kadogo2 sijui lini nitapata laazizi wa moyo wangu.. kila napogusa pamewahiwaa Hii hali kwangu imekuwa ikiniumiza sana maana unajikuta unampenda mwanaume kumbe tayari ana wake ambae labda wanapendana ama anampenda na kuachana kwao inakuwa ngumu Katika umri wangu huu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tulishasema kwamba Tanganyika aikumwaga damu kupata uhuru wake, ila hiyo sio sababu kwamba watanganyika hawawezi kuipigania nchi Yao. Kiko wapi Sasa!!

    Kiko wapi Sasa!!? Mama, mama, sasa anavuliwa nguo mchana kweupe!? Ajabu badala ya kutulia (kuchutama) ili aone anajistiri vipi yeye atatoka mbio kumkimbiza aliemkwapulia nguo. (Namaanisha Sasa taarabu inaandaliwa kuja kumpasha mkimbizi wa nguo) Sasa ataendelea kutoa mipasho au kuua watanganyika...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Pole Pole atarejea sasa Tanzania? Usalama wake ukoje ikiwa ataamua kurejea? Namshauri asirejee sasa.

    Nimekaa nimewaza hilo, kwa namna Balozi aliyejiuzuru Humphrey Pole Pole alivyoinanga hadharani serikali ya sasa ya Tanzania, CCM na vyombo vya dola, huku akiharibu kabisa taswira ya Mama Samia kitaifa na kimataifa kwa uamuzi wake wa kujiuzuru huku akitoa sababu mujarabu. Je, atarejea sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Hakimi na mchumba wake

    Hakimi hana noma ila masuala yote ya miamala anakwambia ngoja tucheck na Bi Mkubwa tuone anatusaidia vipi, si unajua Mama Mtu mimi mipango sina😀
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki angu anaomba ushauri analipwa 1.5M, mchumba wake 4M anamwambia ndogo kwa matumizi ya mtoto wao?

    Dah majuzi kwenye mida yetu ya kupiga yetu ya kupiga bia mbili tatu mshikaji wangu akaanza kulia Mara paap akatoa Funda moja la chozi 🥶akapiga na yowe huku akisema Ila "hawa wanawake watatuua" Kuna kauli jamaa aliongea "Yani mwanamke ana mshahara mkubwa kuliko mimi lakini hajawahi changia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…