wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika wa kutumia Kiswahili kama lugha ya kufundishia

    Nimepitia matokeo ya NECTA kidato cha pili na kugundua jambo lifuatalo. Shule za Kata zina ufaulu hafifu sana (mwingi ni wa daraja F) katika masomo yote isipokuwa somo la Kiswahili. Somo la Kiswahili ndo limezibeba shule za kata zisitumbukie shimoni kabisa. Mifano michache ni hii hapa (ikiwemo...
  2. JamiiForums Tanzania Katambi ataka vijana wakubali kujitolea wakati wakitafuta kuajiriwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amewataka vijana kujenga tabia ya kujitolea katika masuala ya kijamii kwa lengo la kusaidia wengine badala ya kusubiri kuajiriwa. Amesema kilio cha ukosefu wa ajira kwa vijana kitaondoka endapo kundi...
  3. JamiiForums Tanzania Fahamu matumizi ya kipande cha mkaa wakati wa kulala ili upate usingizi mzuri

    Wasalaam! Katika maisha yetu ya kila siku tuna uwepo wa Mungu na shetwani, na nyakati za kulala uwe mchana au usiku uwepo wa ibilisi na Mungu upo, hivyo basi tunao wenzetu ama sisi wenyewe, ambao mara nyingi au siku baadhi hupatwa na mikasa ya mazonge na vitu vibaya nyakati za kulala, na hii...
  4. JamiiForums Tanzania Anajaribu kunizuia kumwagia nje wakati nakaribia kufika mshindo, ni mbinu ipi ya kukabiliana na mwanamke huyu niliyekolea kwake ila sitaki kumpa mimba

    Ni takribani miezi miwili sasa tangu nikutane na binti flani kamaliza kidato cha sita mwaka jana ila kwakuwa hakuwa na ada imebidi awe anakwenda kuuza duka la ndugu yake asubuhi na kurudi saa 12 jioni kila siku kasoro jumapili. Duka lilipo sio mbali sana na ofisi yangu, nilipomwona huyo mtoto...
  5. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa lishe wakati wa matibabu ya Saratani

    Wagonjwa wa saratani hupitia changamoto kubwa ya ulaji inayotokana na maudhi ya dawa wanazotumia au tiba wanayopatiwa. Matibabu yao huzongwa na vipindi virefu vya kubadilika kwa hamu ya kula na uzito wa mwili. Baadhi ya tiba huwafanya wapoteze hamu ya kula hivyo kusababisha kupungua kwa uzito...
  6. JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kwa serikali kuruhusu magari ya abiria kusafiri usiku

    Wakuu, week mbili hizi nimesafiri kwenda Tanga na Sasa Niko safarini kwenda Nyakanazi. Kwa Safari zote hizi, nimegundua na kuthibitisha yale ambayo nimewahi kuyasema hapa mara kadhaa. 1. Mabasi yanaondoka kwa sasi sana unnecessarily. Safari yangu ya Tanga nilifanikiwa kurekodi speed ambapo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wenzangu ule Uchawa mliokuwa nao wakati wa Rais Magufuli mbona siuoni wakati huu wa Rais Samia, tatizo ni nini?

    Sijaelewa ni kitu gani kimewatokea hawa jamaa. Enzi za Chuma Jpm walikuwa moto sana. Kule youtube alikuwepo Cipyrian Musiba, kule Twitter ndio usisema account kama zote. Vyama vya idara mbali mbali vya chama shamra shamra huku na kule. Pesa walikuwa wanapat wapi? Mbona mmepoa sana wakati huu?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, ni wakati muhimu wa kukaa na wafanyabiashara wadogo kabla mambo hayajaharibika zaidi

    Sielewi ni suala la ukadiriaji wa kodi ndio unawafanya TRA wafunge kwa wingi maduka ya wafanya biashara nchini' sielewi labda TRA wana njama za kumkomoa na kumchonganisha mh Rais ili azidi kuchukiwa zaidi, si kwa kufunga biashara kwa kasi ya ajabu kama hiyo. Lakini, kwani uchumi kwenu ukoje...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Umasikini unaanzia kwenye mfumo wetu wa elimu ambao umepitwa na wakati

    Nauona umaskini unaanzia pale mtu uko zako chuo halafu unakaa miaka zaidi ya mitatu bila kufanya kazi unakamua pesa tu za wazazi kukulipia ada na malazi bila kuingiza chochote na mwisho wa siku ajira hakuna! Huu ni umasikini tuliokubali kujitengenezea bila kujua kuwa ni chanzo cha umasikini...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nafikiria Ni wakati wa kuongezwa kwa mshahara ya watumishi

    Kulingana na kuongezeka kwa Bei za bidhaa muhimu Ni vyema sasa kuwepo na mpango wa kuwaongezea watumishi mishahara yao kwa kuwa Bei za bidhaa zimepanda mno,vinginevyo Hali haitakuwa njema huko tuendako just fikiria Haraka haraka Bei ya mchele ilikuwa 1500/ lakini sasa hivi Ni 3000-3500 na...
  11. JamiiForums Tanzania Yapi ya kufanya na kutofanya wakati mnajadili malipo ya mshahara

    Mambo ya kufanya wakati Mnajadili kuhusu Mshahara na Mwajiri wako Mosi, fanya utafiti kujua je Kwa nafasi uliyoomba wanalipa level ya Mshahara kiasi gani? Hii itakuwezesha kushawishi ulipwe shilingi ngapi kutokana na taarifa ambayo unayo tayar. Pili, Ni Jambo jema kushukuru ofa ya Mshahara...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka ya 30 ya vyama vingi, Ondoeni ruzuku tufanye mambo ya maana

    Katika kipindi cha miaka 30 ya vyama vingi, tumetumia mabilioni ya pesa za walipa kodi ili kusaidia vyama ambavyo vingine haviko tena mitaani. Vingine vipo kama maboya tu ya kupitishia ajenda za watawala. Kwa umri huu vyamna hivi vinatakiwa vijisimamie. Ni aibu kuendelea kuwa na wacheza siasa...
  13. JamiiForums Tanzania Matumizi ya redio kwa ajili ya habari na burudani yameshapitwa na wakati

    Mwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo. Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda. Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wakati tunaingia 2023 Watanzania wenzangu tuzidi kujipa moyo Mungu yupo

    Heri ya mwaka mpya 2023. Ndugu zangu watanzania tuzidi kujipa moyo Mungu yupo kutufuta machozi ktk kila nyakati. Tupunguze manung'uniko na lawama ili Mungu afanye kazi yake. Hakuna chama wala mtu anaweza sema yeye ndio mwenye hati miliki ya hili Taifa ila kila mtu ana haki sawa ya utanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka mitatu aliwa na fisi Mwanza wakati akienda kuoga kwenye dimbwi

    Mtoto Emanuel Marco Nyagela mwenye umri wa miaka mitatu mkazi wa Kijiji cha Mwangika kata ya Mwabomba wilayani Kwimba mkoani Mwanza amefariki dunia baada ya kuliwa na fisi wakati akienda kuoga kwenye dimbwi akiwa na wenzake. Tukio hilo jana Desemba 27 saa 12 jioni kijijini hapo baada ya mtoto...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini waonya tabia ya Viongozi wa Serikali kupenda kusifiwa

    Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wametoa ujumbe wa Krismasi kwa waumini wao, ukiwemo unaowataka viongozi wa Serikali kuwa makini na sifa wanazopewa na wateule wao kwa kuwa ni mbinu ya kuficha udhaifu. Vilevile, wamewataka viongozi pamoja na watendaji watumie sikukuu hiyo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati wa Serikali kuacha Ubaguzi wa Sisi Wakazi wa Oysterbay. Nimekasirishwa sana na hili jambo

    Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga huku. Hii nyumba inafanana sana na Ikulu ya Dom leo ndo nimegundua) Juzi wakati Mlinzi wangu...
  18. JamiiForums Tanzania Huu ndio wakati rasmi wa kuongea ukweli kuhusu Fiesal

    Nianze kwa kutoa lawama zangu KWA uongozi wa Yanga kwa sababu nimesikia eti Feisal amejiunga na kambi ya Yanga. Ni kwamba mashabiki wa Yanga hatumtaki Feisal. Tumeshakubali kwamba ameondoka. Hatumuhitaji please. Msije kushangaa akizomewa.. Na kwa wewe unaesema msimponde Fei kutaka kuondoka...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Feit toto asipangwe mechi yoyote kwa sasa hata akiwa tayari kucheza wakati swala lake linashughulikiwa

    Huu ndio ushauri wangu kwa kocha na uongozi mzima wa Yanga. Yanga mtakeni Fei na Azam wafuate taratibu kisha mumuruhusu aende zake huyu hawezi tena kuitumikia club ya Yanga kwa moyo kwani hata mkimuongeza mshahara, kesho anaweza kushawishiwa kwa mshahara mkubwa zaidi hivyo atawasumbua tu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nyakati za sikukuu ni wakati ambao wanaume wawe makini

    Kwenye hizi nyakati za sikuu kuu watu huwa wanachakatiwa mbususu mno,walahi ukiomba mbususu ya mke wa mtu wakati huu na ukinyimwa nenda ukaoge baharini, kwenye kipindi Kama hiki mwanamume Kama huna fungu la kutosha jiandae kisaikolojia. Kuna Mambo Kama manne hivi huwa yanashughulisha sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…