wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mikopo na Mzigo Mkubwa wa Madeni Nchini Kwetu Tanzania: Wakati wa Uwajibikaji, Uwazi na Mpango Madhubuti wa Kulipa-100 Trillion

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni mpaka budget ya jana ikisomwa na Mh. Nchemba, mzigo wa madeni kwa taifa letu la Tanzania umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na cha kutisha. Takwimu za zilizotolewa hata jana zinaonyesha kuwa deni la taifa limevuka zaidi ya shilingi trilioni 100...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha mahakama kuifungia CHADEMA kufanya siasa wakati huu, imethibitisha wazi ulaghai uliofanywa na Nyerere na CCM katika kuruhusu vyama vingi

    WaTanzania mtamwelewa sasa Lissu anavyosema Nyerere ameitendea uovu mwingi nchi hii! Alishiriki kuanzisha VYAMA VINGI vya ulaghai kwa katiba ileile ya chama kimoja! Zaidi aliongeza na Sheria za kihuni kwamba matokeo ya Rais yasihojiwe mahakamani! Sasa wananchi wameshtuka wanataka katiba na...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Imezidi sasa na tena ni dharau kwa Watanzania. N wakati wa CCM kuondoka sasa tumechoka!

    Hali ya kisiasa nchini imeendelea kuwa mbaya na demokrasia yetu inazidi kutoweka kwa kasi kubwa. Tumefika pahali vyama vya upinzani vinafutwa kienyeji hivi. Juzi tuliona CHADEMA wakinyimwa ruzuku, leo wamefungiwa kabisa kushiriki siasa! Nafikiri ni wakati wa mfumo CCM kuondoka madarakani kwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule kutofungwa wakati wa likizo ni udhaifu wa Kamishna wa Elimu na watendaji wake

    Miaka ya hivi karibuni kumekua na tabia imeibuka na imeota mizizi ya kuwanyima wanafunzi haki yao ya kupumzika wakati wa likizo.Shule nyingi zimekua haziwapi likizo wanafunzi mpka mwezi wa 12. Hii ina maana wanafunzi wanasoma mwaka mzima bila kupumzika.Tabia hii ilianza kwa shule binafsi hasa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Hawa waafrika wenzetu wamekataa kabisa ku evolve ? Si kila mila ya asili ni ya kutunza, vingine ni ushamba

    Wanasema muacha asili ni mtumwa lakini kuna baadhi ya mambo lazima tukubaliane ni ya aibu ndio maana makabila mengi yaliacha. Mila kama hizi zina tija gani zaidi ya kutiana aibu wakuu ?
  6. JamiiForums Tanzania Ishawahi kukutokea umepata aibu wakati wa mechi?

    Guys me and ke je ni aibu gani ishawai kukuta wakati wa mechi ukavunga tu ila uliona aibu yaani kifupi ni tukio lilokupa aibu je ni lipi? Mimi nilikuwa sijui matumiz ya shanga manzi ndio ikanielekeza niliona jau ila kutokana na asili yetu shanga kwa wanawake hawavai
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia teknolojia ku'bold' hoja kwa wananchi wakati wa kampeni

    Wasalam! I declare! PATRIOTISM FORWARD PIA SIASA NI DINI MPYA. Ni wazi sasa technolojia ina nguvu kubwa kwenye maisha yetu, technolojia ina nafasi kubwa kwenye utendaji wa kazi zetu za kila siku. Uvumbuzi na ugunduzi wa mashine mbalimbali za kidijidali na kirobotiki zimerahisisha mambo mengi...
  8. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakati wa CHAUMMA umepita, kilikuwa kipindi kifupi sana. Mbowe ungeaibika vibaya

    Wale wote waliojiunga CHAUMMA nafikiri sasa wanajilaumu sana kwa uamuzi wao wa kukurupuka. Mbowe umetumia akili nzuri sana kutest zari kwanza nafikiri umeona jinsi ambavyo ungeaibika kama ungejitokeza CHAUMMA. NO REFORMS NO ELECTION!!!
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini mada zinazohusu mambo ya "kiroho", "utajiri", "majini", wakati mwingine zinapigwa "pini" zisiongelewe?

    Leo katika pitapita zangu humu nakutana na mada mbalimbali zinazohusu mambo ya kiroho ..mambo ya majini, n.k, lakini kwa namna ya ajabu mada hizo ama stori hizo mtu anayesimulia ambazo husema ni za kweli, hua hazimaliziki, zinaishia katikati, mara nimesoma kwingine mtu anasema alipokea maelekezo...
  10. JamiiForums Tanzania Wajumbe wakati wa kuvuna ndio sasa

    Nitashangaa kama kuna Mjumbe atalia njaa baada ya hili zoezi. Nakumbuka 2020 KAWE ilikua ni mwendo wa Miamala kupitia simu za Wajumbe (hapo Wagombea wanakua na namba za simu za Wajumbe wote. Pesa inarushwa kupitia Wakala wa simu kwa kuzidiana Dau).
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli muislam akitangulia kunyanyua kichwa kabla ya Imam wakati wa swala anageuka punda kama Sahih Bukhari inavyosema? Nani amewahi geuka punda?

    Sahihi bukhari 691 inasema wakati wa kuswali ikitokea mtu yeyote ataanza kunyanyua kichwa chake kabla ya imam wake msikitini Allah atamgeuza huyo mtu kuwa Punda. Je ni kweli watu huwa wanageuka Punda msikitini ? Imesimuliwa na Abu Huraira: Mtume (ﷺ) alisema, "Je, huyo anayeinua kichwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mapopo wa JF: ni wakati wetu.. Tuheshimiwe

    Waliolala ni haki yao.. Na wakeshao pia ni haki yao Maonyo manne 1Mwanangu, kama umejitolea kumdhamini jirani yako, ikiwa umetoa ahadi yako kwa ajili ya mtu huyo, 2umejibana kwa maneno yako mwenyewe, umejinasa kwa ahadi uliyofanya. 3Ujue kwamba uko chini ya mamlaka ya mwenzio, lakini mwanangu...
  13. JamiiForums Tanzania Samia wakati anaingia madarakani alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika

    Samia wakati anaingia madarakani kama rais alitupa tumaini la kidemokrasia na alisema ataongoza tu awamu moja sasa hivi amebadilika. Samia wa sasa hivi sio yule tunaye mjua aliyesema atatuvusha tu wakati huu wa majonzi kwa kumpoteza JPM lakini badala yake amebadilika amekuwa tofauti anaminya...
  14. JamiiForums Tanzania Ujasusi: Ni lazima uwaze mbele ya wakati

    Wengi wanajiuliza Gwajima yuko wapi? Minong'ono ni mingi lakini ni wazi mpaka sasa hajaingizwa kwenye 'mikono salama'.. Na wakili wake Peter Kibatala kasema mteja wake yuko salaam Gwajima ni bingwa wa kupangilia matukio.. Nikikumbuka kipindi cha Magu alivyotaka kuwatoka police pale TMJ...
  15. JamiiForums Tanzania Uwajibikaji unaooneshwa wakati wa Mwenge unapopita uwe Utamaduni wa Viongozi wetu Kila Siku

    Kwa takribani miaka saba sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu masuala ya Kijamii na Kisiasa nchini, nimejikuta nikijiuliza swali moja ambalo hadi leo halijapatiwa majibu ya kuridhisha. Nimewahi pia kuwauliza baadhi ya watu walioko karibu nami, lakini hata wao walionekana kuwa na mashaka au...
  16. JamiiForums Tanzania Yezebeli aonekana kutokea juu akiwa ameparalaizi na kuoza wakati anakaribia kutoweka

    Ndio jambo lililoonekana kutokea pande za juu baada ya kazi kubwa iliyofanyika jana na usiku kucha. Yule wa mwanzo aliliwa na mbwa na huyu ataoza akiwa bado hajatoweka.
  17. W

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gari kukita wakati wa kubadili gear

    Habari wakuu. Naomba ushauri kwa wenye utaalamu na gearbox za automatic. SIku za karibuni nimepata changamoto na gari yangu Toyota Vanguard kwenye upande wa transmission. Wakati wa kubadili gear au nikipunguza mwendo sana gari inakita, nimebadili mounting mbili lakin tatizo bado halijaisha...
  18. JamiiForums Tanzania WAJUZI: Wachezaji Wanavaa au Kufunga nini Mkononi wakati wa Mechi

    Salam sana Wanajukwaa, Niende moja kwa moja kwenye mada. Nikiri mimi ni mpenzi wa mprira wa miguu, naangalia mechi za club za ulaya, Kimataifa na za Nyumbani apa NBC. Kwa muda mrefu nimekuwa nikichunguza hili jambo kwa muda mrefu na kuuliza watu kwamba ina maana gani, nimekosa majibu rasmi na ya...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sasa kwanini Mtumie billioni 600 kufanya uchaguzi wakati ushijipa matokeo

    Hakuna hatua yoyote wala chombo chochote kinaweza kuhoji sasa. Yani nguvu kubwa mnayotumia kuteka wanaharakati,kudeal na lissu na wengine wanaouliza na sasa mnamatokeo.
  20. JamiiForums Tanzania Kwa zama hizi tulizopo urithi wa mashamba na mifugo umeshapitwa na wakati , kwa sasa mtoto wako kama hajui teknolojia ataendelea kuwa mtumwa .!

    Dunia ya Leo wanaomiliki bidhaa za kiteknolojia ndo wanamiliki ukwasi. MTU Kama mirradayo , diamond n.k Max Melo Ili uwafikie sijui unabidi ufuge mbuzi wa ngapi na ulime heka ngapi Dunia inashuhudia economic transformation kubwa Sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…