wakamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa kikosi cha Marine wa jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk na mwenzake Colonel Dmytro wakamatwa na majeshi ya Urusi

    Kamanda (kiongozi anayeamuru na kutoa kamandi za kijeshi) wa kikosi cha Marine ktk jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk pamoja na afisa mkuu wa kijeshi Colonel Dmytro Kormiankv wamedakwa na majeshi ya Russia walipokuwa viongozi hao wakitoroka toka kwenye kiwanda walipokuwa wamejificha...
  2. JamiiForums Tanzania Dar: Omary, Juma, Amos, Mokolo wakamatwa kwa wizi wa nyaya za TANESCO

    Jeshi la Polisi limewakamata watu wanne (4) kwa tuhuma za kujaribu kuhujumu miundombinu ya Shirika la Umeme Tanesco ikiwemo Nyaya aina ya Copper kwa lengo la kuziuza. Watuhumiwa hao; ni OMARY ALLY, miaka 28, Mkazi wa Tegeta na mwenzake JUMA SULLEIMAN, Miaka 30, Mrangi, mkazi wa Wazo na wanunuzi...
  3. JamiiForums Tanzania Dar: Wakamatwa wakifungua vyuma vya nguzo Daraja la TANZANITE

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu wawili (2) waliokuwa wanajaribu kuharibu kwa kukata baadhi ya vyuma vya ngazi moja ya nguzo namba P9 ya Daraja la Tanzanite lililopo maeneo ya Salender, Ilala. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Muliro J. Muliro amesema watuhumiwa hao...
  4. JamiiForums Tanzania Dar: Baada ya agizo la Sirro, watu 41 wakamatwa kwa wizi wa pikipiki 21

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum la Dar es Salaam limeendelea na operesheni kali dhidi ya vikundi mbalimbali vinavyojihusisha na uhalifu ikiwemo wizi wa Pikipiki, Bajaji na magari. Kutokana na oparesheni hiyo wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 41 katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi yawakamata watu 11 kwa kuwatapeli masista wa Kanisa la Katoliki Sh milioni 100

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum la Dar es Salaam limewakamata matapeli sugu wa viwanja kwa tuhuma za kujipatia Tsh. milioni 100 kwa njia ya udanganyifu, wakijifanya wanamiliki na kuuza viwanja vya makazi ambavyo siyo vyao. Matukio waliyoyafanya yametokea kati ya mwezi Januari na Februari 2022...
  6. JamiiForums Tanzania Watendaji wa serikali wakamatwa kwa wizi wa dawa

    Watu 12 wakiwamo Watendaji wa Serikali za Mtaa, wamekamatwa wakidaiwa kuiba chupa 434 za dawa za kuua wadudu wa pamba, zilizotolewa na Serikali kwa wakulima wa zao hilo katika Kata ya Nyakabindi, Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu. Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa Wilaya ya Ulinzi na...
  7. JamiiForums Tanzania TABORA: Watu 9 wakamatwa kwa tuhuma za mauaji na kuuza viungo vya binadamu, damu ya mtu inauzwa Tsh 600,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limekamata mtandao wa watu 9 ambao wametajwa kuhusika na tuhuma za mauaji pamoja na kuendesha biashara ya mauziano ya viungo mbalimbali vya sehemu ya mwili wa binadamu. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, ACP. RICHARD ABWAO amesema mtandao huo umekamatwa...
  8. JamiiForums Tanzania BBC: Waasi watatu wa ADF raia wa Tanzania wakamatwa DRC

    Jeshi la taifa la Kongo FARDC limetangaza kuwakamata raia watatu wa Tanzania ambao ni waasi wa ADF waliosajiriwa wilayani Beni mashariki mwa Kongo. Raia hao wa Tanzania, walikamatwa Jumapili hii, Februari 6, 2022 wakati wa doria zilizofanywa na askari wa Kongo katika bonde la Mwalika, katika...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabongo kwa ushrikina bana! Jamaa wakamatwa wakioshwa na mganga baada ya mauaji

    Hizi ndio zile imani za Majimaji rebellion. Jamaa baada ya kufanya mauaji walikimbilia kwa mganga awazindike ili wasikamatwe, ila ndio kama hivyo.....uganga ukabuma. ======= Jeshi la Polisi jijini Mwanza linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu...
  10. JamiiForums Tanzania Ufaransa 13 wakamatwa kwa kutengeneza na kuuza vyeti feki

    UFARANSA: Watu 13 wamekamtwa kwa kutengeneza na kuuza vyeti bandia 62,000 vya #COVID19 jijini Paris na Lyon. Uchunguzi umebaini kundi hilo la wahalifu lilidukua akaunti ya nesi wa kituo cha Afya na kuanza kufoji vyeti vya COVID-19. === France Arrests 13 on Suspicion of Faking 60,000 Covid...
  11. JamiiForums Tanzania Manyara: Vingozi wa CHADEMA wakamatwa kwa kufanya Mkutano Stendi, Wakiri kosa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linawashikila Viongozi watatu wa CHADEMA kwa kosa la kufanya mkutano bila kibali katika eneo la Stendi ya Katesh wilayani Hanang. Viongozi wanaoshikiliwa ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) mkoa wa Manyara Regula Mtei (45), Valentina Shayo (37) Mhasibu...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi nchini Nigeria wawakamata watu 4 kwa ''kula nyama ya watu''

    Polisi katika jimbo la Zamfara Kaskazini-Magharibi mwa Nigeria wanasema wamewakamata watu wanne wanaodaiwa kuhusika na ulaji nyama za watu na kuuza sehemu za binadamu- jambo ambalo ni nadra sana katika eneo hilo. Kamishna wa polisi katika jimbo hilo Ayuba Elkanah aliwaambia waandishi wa habari...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania wakamatwa kwa kujaza omba omba wao Kenya

    Hamchoki ndugu zetu, mjitume maana huo uzembe utawatesa sana na kuendelea kubaki maskini miaka yote licha ya raslimali zote hizo. Two Tanzanians have been charged with sneaking their countrymen into Nairobi for exploitation through commercial begging. The suspects, Kuyi Paulo and Sita Yohana...
  14. JamiiForums Tanzania Dar: Watu watatu wakamatwa kwa tuhuma za Mauaji ya Mtendaji wa Serikali za Mtaa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Dar es salaam, 12, Oktoba, 2021 KUKAMATWA KWA WATU WATATU KWA TUHUMA ZA MAUJAJI YA MTENDAJI WA SERIKALI YA MTAA. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya afisa mtemtendaji wa Serikali ya mtaa wa Mbezi Msumi...
  15. JamiiForums Tanzania Wachina wakamatwa wakizalisha vinywaji feki Dar?

    Kama ni mla K Vant na Moet, basi hii ni kwa ajili yako. Yasemekana hao mabwana kutoka Asia ya Mashariki wamekamatwa jijini Dar wakiwa kwenye ‘karakana’ yao la kufyatua kopi za vinywaji hivi murua. Hivi huwa wanapataje vifungashio visivyotia shaka? Kwa uchafu wa hayo madumu, huenda yanahifadhia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Viongozi wa CHADEMA Mjini wakamatwa na Jeshi la Polisi

    Taarifa kutoka Bukoba mjini zinasema kuwa Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata viongozi wa CHADEMA na makada wa chama hicho waliokuwa wanafanya kikao cha kawaida katika ofisi za CHADEMA mkoani humo. Hivyo ndivyo Jeshi la Simon Sirro lilivyogeuka kuwa jeshi la uonevu, uonevu huu mpaka...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi yavamia kikao cha ndani cha CHADEMA jimbo la Segerea, Patrick Asenga na wenzake wakamatwa

    Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za CCM kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya CCM kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya CCM yenyewe kuishiwa hoja za utetezi...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza kumulikwa vibaya na Mataifa Wafadhili

    Vyombo vya habari vya nchi wanaoisaidia Tanzania tayari vimeanza kutumulika. Kufuatia Polisi mkoani Mwanza kuwazuia wana CHADEMA kufanya kongamano lao la kudai katiba mpya. Wahenga walisema kuwa hata mbuyu ulianza mdogo kama mchicha na sasa ndiyo naona wana CCM na viongozi wao wameanza...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

    Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya Pia soma Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais
  20. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Wanigeria wakamatwa wakisafirisha heroin

    RAIA wawili wa Nigeria, Prince Uche Igwilo(39) mkazi wa Bunju na Hanifa Ally Chig'wele( 22) mkazi wa Tegeta kwa Ndevu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na shtaka la kusafirisha kilo sita za dawa za kulevya aina ya Heroin. Katika hati ya mashtaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…