wakamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    Waislamu tisa waliokula mchana hadharani wakamatwa Nigeria

    #HABARI Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano kaskazini mwa Nigeria, wanaojulikana kama Hisbah, wamewakamata Waislamu tisa- wanaume saba na wanawake wawili kwa kosa la kula chakula hadharani siku ya kwanza ya mfungo wa Ramadhani. Mwezi wa Ramadhani umeanza nchini Nigeria siku ya Jumatano...
  2. PureView zeiss

    Video: Wakamatwa wakitengeneza 'Oil fake' za TotalEnergies

    Kilas iku tutaendelea kuwasanua ndugu zetu kuwa hapa DAR kama unataka oil za kampuni ya TotalEnergies nenda kwenye petrol station zao. Oil za TotalEnergies asilimia 85% ni fake hasa zinazouzwa uswahilini....hivi viwanda bubu zipo pale Tabata dampo na serikali inajua kila kitu.
  3. Cute Wife

    Wapiganaji 5 wa ISIS raia wa Tanzania wakamatwa kwenye operesheni ya ugaidi Puntland, Somalia

    Serikali ya Jimbo la Puntland imetoa picha na maelezo rasmi yanayowaonyesha makumi ya wapiganaji wa kigeni wa kundi la Islamic State (ISIS-Somalia) waliokamatwa wakati wa operesheni ya kupambana na ugaidi inayoendelea katika safu ya milima ya Calmiskaad (Al-Miskad) kwenye Milima ya Golis. Kwa...
  4. Black Opal

    Wachina wakamatwa maeneo ya Oysterbay wakiwa na takriban Tsh. Bilioni 6 taslim zikiwa zimefichwa ndani ya nyumba

    Leo majira ya saa 5:30 asubuhi, Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, umefanikiwa kuwatia mbaroni raia wa kigeni wenye asili ya Kichina wakiwa na kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 6 taslimu. Fedha hizo zilikutwa zimefichwa katika...
  5. HIMARS

    Rais wa Venezuela na Mke wake wakamatwa na Jeshi la Marekani

    Rais Maduro adakwa US President Donald Trump says the US has carried out "large scale strike against Venezuela" and "captured its leader, President Nicolas Maduro" and his wife. Here's the statement from Truth Social in full: "The United States of America has successfully carried out a...
  6. R

    Madereva watano wa Ambulance wakamatwa kwa kusafirisha abiria

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva watano wa magari ya kubebea wagonjwa kwa tuhuma za kubeba abiria kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Alex Mkama, amesema madereva hao waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Kagera wamekamatwa kufuatia...
  7. R

    Jeshi la Polisi Mwanza limewakamata wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi, waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume na sheria kwa kutumia usafiri wa magari Mawili tofauti ya abiria Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana, Novemba 23 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbroad...
  8. M

    GE2025 Arusha: Mwandishi wa Habari ambaye pia ni Mmiliki wa Kusaga Tv na Mwandishi wa AyoTv wakamatwa na Polisi

    Picha: Alphonce Kusaga (Mei 2025) Mwandishi wa kituo cha habari cha Sunrise Radio cha jijini Arusha, ambaye ni miliki wa Kusaga Tv, ndugu Alphonce Kusaga amekamatwa na Jeshi la polisi Arusha jana 04 Novemba 2025. Baada ya kukamatwa, alipelekwa nyumbani kwake kufanya upekuzi, kisha wakamrudisha...
  9. M

    Mdogo wake Heche na wengine wanne wakamatwa na Polisi usiku huu

    Enock Heche, mdogo wake Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche, na watu wengine wanne wamekamatwa usiku huu katika Mji mdogo wa Sirari, Wilaya ya Tarime na wamepelekwa kituo cha Polisi Tarime. Hawajaelezwa sababu za wao kukamatwa.
  10. M

    GE2025 Chahali: Kuna Maofisa Usalama wa Tanzania wamekamatwa Marekani wakipanga kuwadhuru Wanaharakati Watanzania waishio huko

    Akiongea kupitia mtandao wa Youtube, Shushushu wa zamani wa Idara ya usalama wa Taifa, ndugu Evarist Chahali amesema kuwa maofisa wa kitengo wamedakwa huko Marekani wakiwa ktk plan za kuwadhuru Wanaharakati wa Kitanzania waishio huko. Chahali akasema kuwa walengwa ni watanzania waliokuwa...
  11. JanguKamaJangu

    Wafanyabiashara watatu wakamatwa na laini za simu 94 wakituhumiwa kufanya utapeli Iringa

    Jeshi la polisi Mkoa wa Iringa limewakamata Innocent Moshi (30), mfanyabiashara na mkazi wa Tenguru Mkoa wa Arusha na wenzake wawili wakiwa na laini 94 za mitandao mbalimbali ya simu wakizitumia kujipatia fedha kwa njia ya Udanganyifu. Akitoa taarifa kwa vyombo vya Habari Kamanda wa Polisi Mkoa...
  12. Waufukweni

    Watuhumiwa 7 wa mauaji ya Mtoto aliyedaiwa kuiba Parachichi wakamatwa

    Jumla ya watuhumiwa saba wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa kwa kuhusishwa na mauaji ya kijana aliyedaiwa kuiba parachichi. Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao wanashikiliwa kwa mahojiano na mara baada ya taratibu kukamilika watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma za mauaji...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Watuhumiwa 10 wa uhalifu wakamatwa Kibaha Pwani

    Jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi sura ya 322 kifungu cha 5 (1) ni Kulinda maisha ya watu na mali zao pamoja na...
  14. Mindyou

    GE2025 TAKUKURU yakamata wajumbe wa UWT kwa madai ya rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita, imewakamata wajumbe wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Nyankumbu Jimbo la Geita mjini walionekana katika picha mjongeo wakigawana rushwa katika mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM huku taasisi hiyo ikiendelea na uchunguzi...
  15. JanguKamaJangu

    GE2025 Waandishi wa Habari wakamatwa na Polisi wakifuatilia matokeo ya Kura za Maoni Manyara

    Waandishi wa habari Watatu akiwemo Julius Msagati wa EATV wamekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo wakiwa katika majukumu yao ya kikazi wakifuatilia na kuripoti matokeo ya kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Naisinyai, Mirerani, mkoani Manyara. Kwa mujibu wa mashuhuda...
  16. T

    Wakamatwa wakijaribu kusafirisha madawa ya kulevya kama wanawake wa kiarabu

    Wanaigeria watatu wakamatwa nchini Algeria wakijaribu kupanda ndege kuelekea Dubai kusafirisha madawa ya kulevya waliomeza tumboni mwao huku wamevalia kama na kupakwa rangi ya muonekano wa wanawake wa kiarabu.
  17. Mindyou

    Hawa matapeli wa "Tuma kwa namba hii" wameanza kushughulikiwa. 21 wakamatwa kwa utapeli wa mtandao Morogoro

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata jumla ya watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na wizi na utapeli wa kimtandao unaojulikana kwa jina la “Halo Halo”, kufuatia operesheni maalum iliyofanyika kati ya Julai 2 hadi 11, 2025. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi...
  18. R

    Wanandoa wa Los Angeles wakamatwa kwa Tuhuma za Kudanganya Wanawake wabeba mimba kwa niaba, Watoto 21 wachukuliwa na Serikali

    Watoto ishirini na moja wako chini ya uangalizi wa shirika la ustawi wa watoto nchini Marekani (California), wakati mamlaka zikichunguza wanandoa kutoka eneo la Los Angeles kuhusu tuhuma za kuwadanganya wanawake wabeba mimba kwa niaba (surrogate mothers) kutoka maeneo mbalimbali nchini Watoto...
  19. The Zanzibar Echo

    Watu 15 wakamatwa Uganda kwa kuharibu mabango ya kampeni ya rais

    Wanachama 15 wa chama cha upinzani cha National Unity Platform nchini Uganda, wameshtakiwa kwa kuharibu mabango ya kampeni ya Rais Yoweri Museveni, kwa mujibu wa ripoti ya tovuti ya kibinafsi ya Chimp. Polisi wanasema 15 hao waliharibu mabango katika mji mkuu wa Kampala siku chache kabla ya...
  20. Mkalukungone Mwamba

    Watu watatu wamekamatwa baada ya Rais William Ruto kurushiwa kiatu katika Kaunti ya Migori

    Takriban watu watatu wamekamatwa kufuatia tukio la kutupwa kiatu kuelekea kwa Rais William Ruto katika eneo la Kuria Magharibi, Kaunti ya Migori. Soma Pia: VIDEO: Rais Ruto apigwa na kiatu usoni akihutubia Wananchi wa Kehancha Tukio hilo lilitokea Jumapili jioni wakati Rais Ruto alikuwa...
Back
Top Bottom