wajibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chama cha darasa la 7 sio rahisi wajibu hoja ?

    Mmejionea wenyewe kiranja wao alichoongea Leo . Tatizo ni Elimu , chama cha darasa la Saba.
  2. Unajua kama raia una wajibu kwenye ulinzi wa uhuru, mamlaka na umoja wa Taifa? Timiza nafasi yako

    Wewe kama raia una wajibu wa kuhakikisha unadumisha uhuru,amani na umoja katika nafasi mbalimbali ili kuimarisha huduma za kijamii na kiuchumi. Kama raia unatakiwa kudumisha uhuru,amani,umoja na kulinda rasilimali za nchi Ikiwa raia hatalinda hatotekeleza wajibu huo basi anaweza kushtakiwa...
  3. Wajibu wa Afisa Tawala katika taasisi ni upi?

    Habari, naomben kujua wajibu au kazi za afisa katika taasisi.
  4. H

    Padre Silvio, Mwalimu wa Malezi Seminary: Kanisa Lina Wajibu Wa Kuionya Na Kuishauri Serikali. Serikali Haina Mamlaka Kuwanyamazisha Viongozi wa Dini.

    Anaandika Padre Silvio Mnyifuna,Mwl na mlezi wa Mafinga seminari KADIRI YA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI KIONGOZI WA DINI ANA HAKI NA WAJIBU UPI KUHUSIANA NA SERIKALI YA NCHI KATIKA KUSHAURI NA KUONYA ? . Sheria za Kanisa Katoliki (yaani Codex Iuris Canonici – CIC) zinatoa mwongozo mahususi kuhusu...
  5. S

    Mazingira ya ajali ya Mkurugenzi wa TANESCO hata katika picha yanatia shaka sana. Polisi wajibu haya maswali

    Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na Mkurugenzi na dereva wote wamekufa, Polisi walijuaje dereva alikuwa anamkwepa mtu wa baiskeli? Sasa...
  6. Akili kumkichwa: Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Uchambuzi wa Kikatiba chini ya Ibara ya 74(11) na (12) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 Utangulizi Demokrasia ya kweli hujengwa juu ya misingi ya kuheshimu Katiba, taasisi, na sheria. Katika muktadha wa maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya...
  7. Je Chama hakina wajibu hoja?

    Ukweli ni kwamba ukimkamata mtu kama Tundu Lissu na ukamfungulia kesi unakua haumshushi bali unazidi kumuongezea credibility kwa watu na anazidi kujikusanyia wafuasi. Kumkabili Tundu Lissu unahitaji watu “Smart” katika siasa, magwiji wa kujenga hoja na wenye nguvu ya ushawishi.
  8. Mke wangu hanisalimii, anasema salamu ni wajibu wa mwanaume kwa mke au familia yake

    Aslaam, Niko na mke takribani miaka 10 Sasa ya ndoa yetu. Bahati mbaya mda mwingi hatulali na kuamka pamoja, kutokana na harakati za kutafuta maisha. Huaga natumia siku 5 za wiki kwenda mahala pakazi yangu na siku 2 za mwisho wa wiki kushinda nyumbani na familia yangu, japo mara nyingine...
  9. Wajibu(responsible) au hamu(desire)

    Wapwa Bora hamu ya kua na mtu umpendae yaan akiumwa,akipata shida, upo Kwa ajili yake yaan hamu ya kua nae ni kubwa. Au wajibu unapata mtu anaekuelewa zaidi anakua na wajibu juu Yako anatimiza Kila haja Yako kuliko yule ambae unahamu nae so ni Bora kipi kati ya hamu na wajibu. Nipo njia panda🐼🐼🐼 .
  10. Ni upi Wajibu mpya wa Jamhuri katika kesi za Mauaji ambazo washukiwa wa mauaji huachiwa huru na Mahakama kwa Hoja za Ushahidi kua na mashaka n.k

    Tuchukulie Mfano, Kesi ya Mauaji ya Dada wa Bilionea Msuya. Huyu Dada aliuwawa ndio, Kwa kuchinja kiasi cha mwili wake na Kichwa kutenganishwa. Jamhuri kupitia Polisi ilikamata washukiwa, na masuala ya ushahidi, mwisho kesi ikaanza. Hatimaye, Washukiwa kuachiwa Huru !!. Ni kama Kesi...
  11. Je, ni kweli kuwa Mwanamke kwa Mwezi mzima ana Siku 5 tu za Yeye kupenda 'Kungonoka' na zinginezo huwa anatimiza tu Wajibu kwa Mwanaume wake?

    Kama hii ni kweli Kitaalamu basi huenda Wanaume wengi tukawa tunatimiziwa nao tu Wajibu japo huwa tunajitutumua.
  12. PreGE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  13. Mji Ambao Kubeba Silaha Ni Wajibu

    Kennesaw,Georgia ni mji mdogo wa kusini Marekani. Harufu ya mikate inayonukia kutoka kwenye tanuri mikate ya Honey suckle Biscuits &bakery,huku kwa mbali sauti ya treni ikisikika Ni sheria iliyopitishwa mwaka 1980 inawalazimisha wakazi wa mji huo kumiliki kubeba silaha na bunduki,kwa...
  14. "Hadithi za Ushujaa: Wajibu wa Wanaharakati katika Siasa za Upinzani"

    👉🏾Katika ulimwengu wa siasa, ambapo nguvu za madaraka mara nyingi hujificha nyuma ya pazia la kusadikika na wanaharakati wanajitokeza kama nyota za mwangaza katika giza la mang’amung’amu. Wakiwa na dhamira isiyoyumbishwa, wanapambana na vikwazo vya kisiasa, kiuchumi, na kijamii, wakijitolea kwa...
  15. J

    Wajibu wa Waumini Kuhudumia na Kuwategemeza Watumishi wa Mungu

    Wajibu wa Waumini Kuhudumia na Kuwategemeza Watumishi wa Mungu Utumishi wa Mungu ni Nini Utumishi ni hali ya kutii na kuitumikia mamlaka au mtu mwenye mamlaka fulani na ambaye unamwamini na kumtegemea. Katika muktadha huu tunakuta kuna watumishi wa aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utumishi...
  16. Lissu ana wajibu muhimu wa kutunza umoja wa CHADEMA pamoja na changamoto zote za ndani ya chama.

    Tundu Lissu afahamishwe katika kushika dola umoja ni muhimu zaidi kuliko hata sera, uhalisia na ukweli. Pamoja na yote anayofanya lazima ajue lugha ya ukali anayotumia kwa CCM na serikali haifai na haiwezi kudumisha umoja ndani ya chama chake, anapaswa kuipooza. CHADEMA hakijawahi kushika dola...
  17. W

    LGE2024 Lema: Hakuna mazingira huru kabisa ya uchaguzi, ila imenipasa kutimiza wajibu

  18. WAJIBU WA VIJANA WA TANZANIA

    Kwanini vijana wa Tanzania hawajadili mambo muhimu? Ni swali linalopaswa kutafakariwa kwa kina hasa tunaposhuhudia kundi kubwa la vijana likitumia muda na rasilimali zao kuwasifia viongozi pasipo kutathmini kwa kina viashiria vya moja kwa moja vya utendaji wao wa kazi unaolenga kuboresha maisha...
  19. Wajibu wa vyombo vya Ulinzi na usalama

    Msako mkali wa polisi dhidi ya vijana 520 wa Tanzania Bara wa kambi ya upinzani kati ya tarehe 9 na 12 Agosti 2024, hii ikiwa ni mkakati wa kuwazuia kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Vijana, kama walivyotaka, kwa madai kuwa polisi walikuwa wanazuia. Tishio la wazi, lililopo na lililo karibu...
  20. LGE2024 Mwenyekiti wa CCM Simiyu, Shemsa Mohamed asisitiza wajibu wa kila Mwanachama kwenye ushindi wa CCM

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameendelea na kampeni yake ya kutafuta kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, akizungumza na wananchi na vijana wa UVCCM katika Wilaya ya Bariadi. Katika kampeni hiyo, alisisitiza umuhimu wa vijana kushiriki kikamilifu katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…