waitara

  1. R

    JamiiForums Tanzania Waitara: Wote waliothibitika kuiba fedha za serikali wanyongwe!

    Msikile Waitara akitema cheche hapa Asema watanzania wengi wanaisha maisha ya ufukara sana kiasi cha kushindwa hata kuwalipia ada watoto wao na kwenda kuomba msaada wa kufanikishiwa jambo hilo, akisema watumishi wa umma wote wanasomeshwa na watanzania na wana elimu ya kutosha, na kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania Bodaboda mnanimaliza, hata IGP Wambura hawawezi

    Hii nimeona leo mitaa ya Bunju! Bodaboda kwa sasa jijini Dar ni donda lisilo na dawa. Hata akiiona hali hii IGP Wambura atatamani arudi kozi ya utrafiki CCP, Moshi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Naibu Spika kwa Waitara siyo ya kiungwana

    Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini". Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika. Unapokuwa Bungeni unatakiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa na Wakuu wa Majeshi wengi kwanini waliopewa Magari na Rais ni Waitara na Mboma tu?

    Najiandaa kwenda Msibani ( Mazikoni ) Kijijini Busegwe Mkoani Mara ( Musoma ) kumzika Mzee Mkono na nitapita Kumsalimia na Babu yangu Mzee David Bugozi Musuguri ( Mkuu wa Majeshi Mstaafu ) hivyo naomba nikifika Kwake Butiama nikute nae kapewa Land Cruiser LC 300 Jipya kama walilopewa CDF...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Aliyemtukana Mwita Waitara atumbuliwa Ukuu wa Mkoa Mara

    Mhe. Rais nimekushukuru kwa kumtumbua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Binadamu tunatakiwa tuwe na utu, upendo, mshikamano na weledi katika utendaji kazi za umma. Mhusika aliyetumbuliwa ajifunze kwa matamshi yake na afahamu kuwa watu wa Mara ni waungwana, wapenda watu na siyo wanafiki. Karibu...
  6. JamiiForums Tanzania Huku kulialia kwa Waitara ni 'Presha' za Uchaguzi Mkuu 2025

    Mjadala umeibuka kuhusu tabia ya Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara kulia kila anapopata changamoto za utatuzi wa kero zake za kibunge, ambapo baadhi ya wanasaikolojia na wataalamu wa sayansi ya siasa; wakitilia shaka mtindo huo. Hata hivyo, akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 10, 2023...
  7. JamiiForums Tanzania Waitara ahamasisha wananchi kuigomea serikali Wilayani Tarime

    Waitara akihutubia mkutano wa hadhara Wilayani Tarime ameonekana akizungumza kwa jazba huku akiwaeleza Wanachi mambo mbalimbali. Akiwa katika mkutano huo Waitara alisema: "Muda wa kubembelezana sasa umeisha, siku ile mliniona nalia nilikuwa natoa sumu. Siku ile ningekuwa hapa leo tungekuwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waitara aanza kuongea lugha ya watu

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Hizi ndiyo lugha ambazo serikali dhwalimu huzielewa. Bila lugha hizi tutasubiri sana kwa madai yetu yote. Kwani imekuwaje hatimaye Ruto na Gachagua kuongea lugha za kiutu kama hizi? Viva wapambanaji wote viva!
  9. JamiiForums Tanzania Machozi ya Mwita Waitara (Mb) Vs Ubabe wa RC Mzee: Hitajio la Busara za Rais Samia Suhuhu

    Machozi ya waitara,ubabe wa Julius Marwa Tarime - Mara Bila shaka yanayoendelea mkoani mara wilayani tarime kata ya nanyungu si ya kuachwa na kutazamwa yapite bali busara za mama zinahitajika haraka Labda niwakumbushe kidogo watanzania wenzangu eneo hili lenye...
  10. JamiiForums Tanzania Mwita Waitara zake ni porojo tu, analia uongo

    Watu wanaweza kuhamishwa na kuishi magorofani lakini wanyama, mifugo, madini na kilimo lazima viishi ardhini, Mwita hataki watu wa tarime wasogezwe kupisha mbuga ya Serengeti lakini anaona ni sawa watanzania wengine kuhamishwa Ngorongoro na wengine kuhamishwa kupisha ujenzi wa viwanja vya ndege...
  11. JamiiForums Tanzania Mwita Waitara, jiwe la chumvi

    Kwako bwana Mwikwabwe Mwita, kiranja mkuu wa Azania zamani, mwenyekiti wa kitivo cha sayansi UDSM zamani, Rais wa DARUSO zamani, mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa TANGA zamani, mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa kivule CHADEMA zamani. Mbunge wa ukonga CHADEMA zamani, mbunge wa Ukonga CCM na sasa wa...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Mwita Waitara amwaga machozi mbele ya Wanahabari

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameilalamikia Serikali ya mkoa wa Mara kwa kutomshirikisha katika zoezi la uwekaji wa vigingi vya mipaka katika hifadhi ya Serengeti. Waitara ametoa malalamiko hayo leo mach 28, 2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni mwanzo wa mwisho wa Mwita Waitara mbunge wa Tarime Vijijini?

    Ni dhahiri kwamba Waitara "ameshauona mwisho" kabla ya kuufikia. Leo amefanya mahojiano na waandishi wa habari akilalamika kwamba serikali imeweka mipaka ya hifadhi ya Serengeti bila kumshirikisha, Waitara alikuwa akilia kwa kwikwi na akijiapiza kwa kidole. Anadai Chadema wamepita jimboni...
  14. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Antony Diallo, George Waitara wateuliwa Uenyekiti TANAPA na TFRA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) Anthony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Waitara nusura atolewe Bungeni kwa kugoma kukaa

    Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara nusura atolewe nje ya ukumbi baada ya kuonyesha kukaidi agizo la Mwenyekiti wa kikao alipomtaka akae chini. Hali hiyo imetokea ndani ya bunge leo Jumatano Novemba 9, 2022 wakati Bunge lilipoketi kama Kamati ya Mipango kwa ajili ya kujadili Mpango wa Taifa...
  16. JamiiForums Tanzania Mnaomchukia Mwita Waitara kisa tu aliwamaliza kisiasa tambueni kuwa yupo njema na atarudi tena mjengon.

  17. JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson ampa Onyo kali Mwita Waitara kutorudia kudharau madaraka ya Spika

    Leo Juni 14, 2022 amesema Mwita Waitara ameshindwa kuthibitisha watu kuuawa jimboni kwake pia alibeza maamuzi ya Spika alipoipa Serikali siku 90 kuchunguza. Waitara amekiuka kanuni ya 5 ya Bunge inayomtaka kukata rufaa kwa maandishi endapo hataridhika na maamuzi ya Spika badala yake akaenda...
  18. JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Serikali inaua wananchi wangu wa Tarime vijijini. Tume zinaundwa na hakuna majibu

    Namsikiliza mbunge wa Tarime vijijini ana hoja nzito juu ya raia ambao ni wananchi wa jimbo la Tarime vijijini anatoa ushahidi wa majina na ya raia waliopigwa risasi na waliouwawa na waliojeruhiwa. Blah blah za George Simbachawene zikataka kumziba Waitara. Spika akaomba ushahidi juu ya tuhuma...
  19. JamiiForums Tanzania CCM imeanza kupasuka, Ally Hapi na Mwita Waitara wanatuhumiana kupiga madili ya ufisadi

    Uchaguzi wa 2025 utakuwa na mtafaruku sana. Huko Mkoani mara tayari Ally Hapi anadaiwa kupiga ufisadi mkubwa huku yeye akidai ni Mbunge wa Tarime ndie fisadi na amemzibia madili. Mbunge Mwita anadai anazibiwa fursa ili shughuli zake za ubunge zisiende sawa ili ahujumiwe kwenye uchaguzi 2025
  20. JamiiForums Tanzania Mwita Waitara ashiriki uchaguzi wa ndani ngazi ya shina Tarime. Mahudhurio ni hafifu kabisa dah!

    "Wenyeviti wa mashina na wajumbe wake ni watu muhimu sana kwa sababu wanakaa na wananchi, ndiyo wanaopokea changamoto na kutupa sisi taarifa kama viongozi wao hivyo tuendelee kushirikiana ili tuweze kuwaleta wananchi maendeleo" Mwita Waitara, mbunge wa himbo la Tarime vijijini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…