waislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr. Sulle unatudanganya sana hapa waislam na raia kwa ujumla

    Asalaam Aleykhum Warahmatullah wabarakatul Sheikh wangu Dr. Sulle unatudanganya sana na kupotezea Waislam mwelekeo wa kupata Elimu sahihi hasa ILMU DUN'YA Umesema kuwa jina la jiji kubwa Marekani LOS ANGELES limetokana na neno LOST ANGELS ndio maana kunq madhambi sana Marekani, kitu ambacho ni...
  2. Mashindano ya kufuturisha: Waislam are you happy?

    Kila ukigeuka huku unakuta waislam wanafuturishwa. Na huku wanasema kesho watafututisha. Ni kama mashindano fulani hivi au kuna maagizo kutoka ngazi za juu kila taasisi ifuturushe? Nakuja kwa upande wa waislamu, mko happy kufuturishwa? Je nyinyi ni wahitaji? Kwa nini ufuturishwe? Mbaya zaidi...
  3. Unyanyasaji Wanawake Kingono: Waislam Watoa Wito Pawepo Utenganisho wa Kijinsia wakati wa Ibada ya Tawaf huko Makkah

    Kutokana na malalamiko ya wanawake kunyanyaswa kingono wakati wa utekelezaji wa ibada ya Tawaf huko mji mtakatifu wa Waislam wa Makkah, Waislam wametoa wito wa eneo hilo kutenganishwa ili pawe na sehemu ya Waislam wanawake peke yao na waislam wanaume peke yao ili kuzuia unyanyasaji kingono...
  4. M

    Waislam msiwaite wenzenu makafiri,sio jina zuri

    Ndio, maana kimaana ya kugha ya kiswahili 'kafiri' ni mtu asiyeamini. Na hii ipo hasa kwenye hizi dini kubwa mbili duniani. Eti we muislam,mtu ambaye hakuzuii kujifuza dini yako,hakuzuii kufanya ibada,pengine mtu huyo ni mfanyakazi wako/boss wako/mama/baba yako n.k. je ukafiri wake ni upi ikiwa...
  5. Kwanini Waislam matajiri wanapenda ibada kuliko wakristo waliofanikiwa kifedha?

    Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi. Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona...
  6. Huu mwezi mbona umeanza na nyuzi nyingi kuhusu waislamu. Wapumzisheni hawa ndugu zenu

    Yani wanaanza mfungo, mara ttiiii, nyuzi karibia laki 😂😂 Mishe mishe zao mwezi huu mnaona kama zinawakera? Anyway maisha yaendelee, mwanadamu ni zaidi ya dini ndio maana imemshinda.
  7. I

    Jinsi waislam walio wachache wanavyonyanyaswa nchini India na wahindu wenye itikadi kali

    Katika onyesho la kushangaza la kutovumiliana kidini, Wahindu wenye itikadi kali nchini India walibomoa nyumba ya raia wa Kiislamu kwa madai ya kuimba "Pakistan Zindabad" wakati wa mechi ya kriketi kati ya Pakistan na India. Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari nchini humo, tukio hilo...
  8. Waislam, Ramadan/Ramadhan Imekaribia , Kisiwe Kikwazo Kwa Dini Nyingine Hasa Masuala Ya Ulaji Na Mfumo Wa Maisha .

    Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata mtindo wa maisha wa kufunga. . Jambo la msingi katika jamii zenye mchanganyiko wa imani. Ramadhan ni...
  9. M

    Jamani wakiristo na wasiokuwa waislam. Mnasubiri nini?

    1. Maisha ya Waislamu Baada ya Kufa Kwa mujibu wa Qur'an na Hadithi, Waislamu waumini wenye matendo mema wanapokufa hupata neema katika hatua zifuatazo: a) Kaburi na Barzakh Waislamu waumini hupokea bishara njema ya Pepo wakati wa kufa: Qur'an 41:30-31 “Hakika wale waliosema: Mola wetu ni...
  10. Sudan hawana ndugu? Waliwakosea nini watu si waislam au WA Africa

    Amani iwe kwenu wakuu Kwani Sudan wana kosa walilokosea dunian hapa Wanachinjana kila siku tena maelf kwa mamia lakin husikii ostaz au padre akiwazungumzia, wala huwezi Kuta mwafirika au mzungu anawazungumzia Je walikosea nini hawa watu? Hawana ndugu? Mbona Kongo ikiguswa kidogo tu kila...
  11. D

    Na sisi wakatoliki tunaomba kilatini kiingizwe kwenye mtaala kama kiarabu kilivyo ingizwa kwa ajili ya waislam

    kwa sisi wakatoliki tunaitaka serikali ya dr. Samia, aingize kilatini katika mitaala yetu. Japo najua kiarabu kitafutwa siku raisi mwingine akiapishwa.
  12. Konganano la Mwinyi Baraka: Uislam, Waislam na Uzalendo

    https://youtu.be/flAHcqxtR2s?si=PHKyLVAvpsOunFa5
  13. Pamoja na kuwa na kalenda yao, na dunia kuwa na AI kuweza kutengeneza kalenda isiyofugamana na imani hizi kwanini waislam hutumia kalenda ya kikristo?

    Japo haijulikani wala kupewa umuhimu na kila mwanadamu, waislam wana kalenda yao. Waliamua kuwa na kalenda yao wakidukua Ukristo ulioanza kuhesabu tangu alipozaliwa Yesu. Pamoja na yote hayo, kwanini waislam, kisheria, wanatumia kalenda ya Kikristo? Je ni halali kwa mataifa yote kutumia...
  14. M

    UCHAGUZI CHADEMA UNATUFUNZA NINI WAISLAM?

    Mtume Muhammad (SAW) alitoa muongozo thabiti kuhusu namna ya kupata kiongozi wa jamii. Uongozi katika Uislamu ni jukumu kubwa na ni amana inayopaswa kutekelezwa kwa haki, uadilifu, na unyenyekevu. Muongozo wa Mtume (SAW) unajikita kwenye sifa za kiongozi, njia ya kumchagua, na maadili ya...
  15. Wokovu kwa ndugu zangu waislam

    Swali: Je, Uislamu unahakikishia wokovu wa mtu kwa hakika, au kuna kutokuwa na uhakika kuhusu hatima ya mwisho ya kila Mwislamu? Katika Uislamu, wokovu unategemea mizani ya matendo mema na mabaya (Sura Al-Zalzalah 99:7-8). Hata hivyo, hakuna Mwislamu anayehakikishiwa pepo, isipokuwa wale...
  16. Injili kwa ndugu zangu waislam

    Quran inasema injili na torati ni neno la Mungu na inakumbusha kuwa hakuna mwanadamu anawezakubadili neno la Mungu. Unaposema Bibliia iliaribiwa unakuwa kinyume na Quran, maana kwa mujibu wa Quran huwezi kuaribu neno la Mungu. Mungu aliumba mwanadamu kwa mfano wake, inaposema Mungu afanani na...
  17. Nawaonea huruma waislam waliofariki wakidhan wanapigania dini kwenye biashara za watu.

    Masheikh na vijana wa kiislam walioingia kichwa kichwa wakidhan maeneo mbali mbali ni vita ya dini ila ukweli. Leo ni ajabu neno jihad na friendly linawekwa kwenye sentence moja Wito wangu kwa vijana wa kiislam, 1. Fanya ibada zako. 2. Tenda haki, usidhulumu wala kudhulumiwa 3. Jiimalishe...
  18. Waislam wana nia ila hawana mipango. Kinachoendelea Syria ni ushahidi tosha

    Ni rahisi muislam kushawishika na kua na nia, kuatayari kujitolea au kupigania dini bila ya kua na mpango unaoeleweka. kwa sababu hiyo, watu wenye mipango wanawatumia sana waislam kwa kigezo cha itikadi kutimiza mipango yao. Ukiweza kushika kisha cha kiongozi wa kiislam akawaaminisha waislam...
  19. Kwanini Waarabu wanapendaga vurugu sana

    Wazungu ni watu wakuwapigia sana saluti wamevumilia waarabu na ndugu zao waislam naona sasa kutafika kipindi wataanza kuwaua hadharani Vita vinapigwa palestina na lebanon weo wanaandamana Canada kwa kuvunja maduka ya watu na kuunguza magari ya watu eti free palestina huu sio ujambazi ? Wao...
  20. Nahodha wa Ipswich Town, Sam Morsy agomea kuvaa kitambaa cha Unahodha chenye Upinde kwa sababu za Kidini

    Mchezaji na nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy ndio nahodha pekee wa timu za EPL aliyekataa kuvaa kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde zikiashiria LGBTQ plus wikiendi iliyopita, Sam alisema kwa imani ya dini yake (Uislamu) hatovaa kitambaa hicho. Klabu yake Ipswich Town ilimruhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…